Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Lisu alikuwepo hapa na Mbowe kila siku alikuwa hakosi mahakamani, wanasheria wanasiasa wanapenda Sana kesi ndio mtaji wao mkubwaLissu ni defence lawyer mzuri anajua njama zote za polisi na waendesha mashitaka...
Hivi mikutano ya kutaka Katiba Mpya bado inaendelea? Au ilimalizikia Mwanza?Lissu ni defence lawyer mzuri anajua njama zote za polisi na waendesha mashitaka...
Angekuwa amesha uawa( Nadhani)..Lissu angekuwepo nchini na yeye angekuwa na kesi kubwa, mbaya, kama hii inayomkabili Mbowe.
So ndio maana mkampiga risasi?Lisu alikuwepo hapa na mbowe kila siku alikuwa hakosi mahakamani, wanasheria wanasiasa wanapenda Sana kesi ndio mtaji wao mkubwa
USSR
Utakuwa form two wewe kwani hujui hiyo mikutano ndio imezaa kesi feki ya Mbowe ya ugaidi?Hivi mikutano ya kutaka Katiba Mpya bado inaendelea? Au ilimalizikia Mwanza?
Baada ya kampeni kuisha mkafanyaje?Lissu alikuwa calculated,alijua hawezi kukamatwa akiwa mgombea Urais ila uchaguzi ukiisha tu angeshughulikiwa!Kwani kafukuzwa nchini? Mbona wakati wa kampeni ameishi nchini kwa miezi mitatu huku akijichanganya hadi kwenye mwendojasi.
Serikali ingemhitaji ingemkamata muda wowote. Isipokuwa alichofanya lissu ni kucheza na akili za nyie wachache msiojielewa, ili apate nafasi ya kuondoka bila nyie wafuasi wake kuhoji maana hadi familia yake alishaiamishia ubelgiji ambako wanakula, kusoma na kulala bure.Baada ya kampeni kuisha mkafanyaje?Lissu alikuwa calculated,alijua hawezi kukamatwa akiwa mgombea Urais ila uchaguzi ukiisha tu angeshughulikiwa...
Baada ya kampeni kuisha mkafanyaje?Lissu alikuwa calculated,alijua hawezi kukamatwa akiwa mgombea Urais ila uchaguzi ukiisha tu angeshughulikiwa!Uzuri tayari alikuwa ameshapewa taarifa hivyo akakimbilia ubalozini!Huku nje dola ikimtolea macho,ikawa inamfuatilia mpaka airport kama fisi anavyosubiri mkono uanguke!Kwani kafukuzwa nchini? Mbona wakati wa kampeni ameishi nchini kwa miezi mitatu huku akijichanganya hadi kwenye mwendojasi.
Tuliona jinsi polisi walivyokuwa wanamsubiri nje ya Geti la ubalozi!Balozi akaona isiwe kazi,akamsindikiza yeye mwenyewe mpaka airport!Mngevamia basi huo msafara kama mna mbavu,shwain!Serikali ingemhitaji ingemkamata muda wowote. Isipokuwa alichofanya lissu ni kucheza na akili za nyie wachache msiojielewa, ili apate nafasi ya kuondoka bila nyie wafuasi wake kuhoji maana hadi familia yake alishaiamishia ubelgiji ambako wanakula, kusoma na kulala bure.
Unadhani hao ujerumani hawajui kama nchi ina taratibu na sheria zake? Au unadhani serikali ya Magu ilikuwa inawaogopa hao watu?
Wangemshika basi siku mliyompokea airport pale. Ye kama mwanasheria anaogopaje sheria.? Ndio ilikuwa nafasi nzuri ya kuonyesha umahiri wake. Haya sasa amefutiwa kesi arudi basi mzee wa miga.Baada ya kampeni kuisha mkafanyaje?Lissu alikuwa calculated,alijua hawezi kukamatwa akiwa mgombea Urais ila uchaguzi ukiisha tu angeshughulikiwa!Uzuri tayari alikuwa ameshapewa taarifa hivyo akakimbilia ubalozini!Huku nje dola ikimtolea macho,ikawa inamfuatilia mpaka airport kama fisi anavyosubiri mkono uanguke!
Mngemgusa akiwa chini ya Balozi wa ujerumani ndio mngejua,shwain!
Tuliona jinsi polisi walivyokuwa wanamsubiri nje ya Geti la ubalozi!Balozi akaona isiwe kazi,akamsindikiza yeye mwenyewe mpaka airport!Mngevamia basi huo msafara kama mna mbavu,shwain!
Serikali ilishindwa kumkamata wakati wa kampeni kwani ingejichafua na kuwekewa vikwazo vyenye mbinyo mkali!Wakategesha uchaguzi ukiisha,kumbe kuna masnitch humo humo yakampa infoz Lissu,Lissu akawala chenga ya mwili!
Juzi tu hapa ndio DPP anajifanya kumfutia kesi[emoji16][emoji16][emoji16]!
Unaonesha umahiri wako wa kisheria wakati mmetengeneza loop holes za kuwaweka watu ndani bila dhamana?Kesi ikikaribia mwisho,unasikia DPP anasema,"sina nia ya kuendelea na kesi",shwain!Wangemshika basi siku mliyompokea airport pale. Ye kama mwanasheria anaogopaje sheria.? Ndio ilikuwa nafasi nzuri ya kuonyesha umahiri wake. Haya sasa amefutiwa kesi arudi basi mzee wa miga.
Basi atulie tu huko ughaibuni. Aache kelele sasa.Unaonesha umahiri wako wa kisheria wakati mmetengeneza loop holes za kuwaweka watu ndani bila dhamana?Kesi ikikaribia mwisho,unasikia DPP anasema,"sina nia ya kuendelea na kesi",shwain!
Suala la kurudi au kutokurudi ni uamuzi wake na intel zake!
Unampangiaje cha kufanya?Apige kelele au asipige ni uamuzi wake,huna haki ya kuingilia uhuru wake!Basi atulie tu huko ughaibuni. Aache kelele sasa.