Kama Maboresho ya Reli ya TAZARA ni ili tutumie treni ya dizeli tukatae huo mradi

Kuna haja kubwa sana ya sisi ngozi nyeusi kufanyiwa utafiti wa bongo zetu. Nakubaliana na wewe mkuu
Sema ccm mfanyiwe utafiti maana mnasema serikali ni ya ccm na hilo kama unaloona ni upuuzi basi ni lenu ccm. Wapinzani wanadai katiba ili rais awajibike nyie mnasema katiba haileti ugali mezani. Sasa kama unasema mpinge treni ya diesel mtapinga wapi? Mtaandamana
 
Kwani Reli y TAZARA si ni diesel siku zote?
ni maboresho tu yanafanyika na si kuifanya iwe ya diesel! Kwa hiyo treni hizo zilikuwa zinatumia nini?
 
Mawazo tunduizi kabisa....

Kudos[emoji7]
 
Ni Mao Tse Tung aliyetoa FEDHA yao BILA MASHARTI ya kiuchumi kuijenga hiyo TAZARA....

Sijui tunafeli wapi kufikiri ?!! [emoji1787]
 
Tanzania Zambia Railway (Tazara)
Top Leaders Wamesha Weka Saini Maana Yake Imeisha Hiyo
 
Tulieni hivyo hivyo msitingishike mtakata sindano tupo huku tunawachagulia " mizigo" hiii vipi hiii


Kuna hii nayo diesel ikikata inatumia makaa yani ina back up mpewe nini nyie


Haya mwisho kabisa japo sio kwa umuhimu kula chuma hikooohilo tumezingatia rangi zake
Tutawatangazia tarehe ya mapokezi kaeni kwa utulivu
 


Lazima tuelewe Wachina wanakata reli ya Tazara ili waweze kusafarisha shaba kutoka Zambia hawajali lingine lolote. Hawaweki kwasababu ya watu
 
Tuele
Tueleze kwanza faida na hasara ya RELI ya dizeli
 
Ushahidi wa Kenya kuchukua mkopo Exim bank China ili kupgrade reli yao?
Kenya wana extend Reli yao ya SGR from Nairobi Naivasha to Malaba Uganda. Ndicho walichosaini Ruto uko China sio Ku updrade ulichosema. Hiyo TAZARA ilijengwa na China kwa mkopo wa nchi 2 TZ na Zambia na mkopo bado haujaisha kulipwa, kwahiyo China kutoa ela ya marekebisho mnalalamika, tumieni ela zenu kujenga mnachokitaka mnashindwa. Bongo shida sana
 
Bado najiuliza kama sisi Waafrika weusi ni binadamu halisi au ni viumbe tunaofanana sana na binadamu.
Hapa jiulizie mwenyewe na hao viongozi wako. Usituhusishe na sisi tusio kubaliana na udhaifu wenu huo.
 
Kapimwe akili

Kwa hiyo unaona sawa reli ya kati iwe ya umeme na reli ya TAZARA iwe ya dizeli?

Hujajifunza kwa Kenya ambao walijengewa ya dizeli sasaivi wanaomba tena mkopo ili wajenge ya umeme kama sie?
Ujinga ni janga kubwa sana la nchi hii.
Wapi Kenya "wanaomba tena mkopo ili wajenge ya umeme"?
 
Sasa unafikiri wa china hawana akili wanajua wakiioboresha hii Kwa viwango vya kisasa iwe ya umeme that's means viwanda vyao vyakutengeneza trucks vitakosa soko kama haitoshi that's means viwanda vyao vya kutengeneza mabasi vitakosa masoko, yaa kinachofanyika hapa ni kama jamaa (wachina )wanacheza chase na akili ya muafrika wakijua calculation zote haya yote wanayoyafanya ni kuwapumbaza akili msifikiri nje ya box at the end wao ndio wanakuwa washindi sababu ukiangalia malori na mabasi karibia asilimia 90% Kwa mataifa haya mawili ni Chinese made
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…