Kama Maboresho ya Reli ya TAZARA ni ili tutumie treni ya dizeli tukatae huo mradi

Kama Maboresho ya Reli ya TAZARA ni ili tutumie treni ya dizeli tukatae huo mradi

Kuna haja kubwa sana ya sisi ngozi nyeusi kufanyiwa utafiti wa bongo zetu. Nakubaliana na wewe mkuu
Sema ccm mfanyiwe utafiti maana mnasema serikali ni ya ccm na hilo kama unaloona ni upuuzi basi ni lenu ccm. Wapinzani wanadai katiba ili rais awajibike nyie mnasema katiba haileti ugali mezani. Sasa kama unasema mpinge treni ya diesel mtapinga wapi? Mtaandamana
 
Kwani Reli y TAZARA si ni diesel siku zote?
ni maboresho tu yanafanyika na si kuifanya iwe ya diesel! Kwa hiyo treni hizo zilikuwa zinatumia nini?
 
Pia hajui hiyo reli walijenga wachina sio tanzania ...bure bure kabisa sasa nae kujitia ana uchungu mwaka 2024.......wakati wachina waliona huruma tu mwaka 1970.....na kutoa aid bila riba bila mashart yeyote yale

Sasa leo wanataka kutoa msaada tena mnajifanya wakali

Reli hiyo baadae tu kumaliza kujenga wachina wakakabidhi tanzania na zambia 1980 reli ikaaanza kusua sua mikopo kila siku wachina wakawa wanashangaaa 2010 reli karibu ife kabisa ndo wakatoa pesa tena
Mawazo tunduizi kabisa....

Kudos[emoji7]
 
Ni Mao Tse Tung aliyetoa FEDHA yao BILA MASHARTI ya kiuchumi kuijenga hiyo TAZARA....

Sijui tunafeli wapi kufikiri ?!! [emoji1787]
 
Tanzania Zambia Railway (Tazara)
Top Leaders Wamesha Weka Saini Maana Yake Imeisha Hiyo
 
Tulieni hivyo hivyo msitingishike mtakata sindano tupo huku tunawachagulia " mizigo"
1000197984.jpg
hiii vipi hiii

1000197985.jpg

Kuna hii nayo diesel ikikata inatumia makaa yani ina back up mpewe nini nyie

Haya mwisho kabisa japo sio kwa umuhimu kula chuma hikooo
1000197986.jpg
hilo tumezingatia rangi zake
Tutawatangazia tarehe ya mapokezi kaeni kwa utulivu
 
Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya.

Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania kuukataa huu mradi.

Kama tumeweza kujenga reli yetu ya kati kwa kiwango cha SGR tena umeme itakuwa ni aibu na fedheha kuu tukijengewa kwa mkopo reli ya TAZARA iliyo na kiwango cha kutumia dizeli.

Mchina asitupande kichwani. Kama Zambia hawawezi kuwa na treni ya Umeme tumwambie kwa kujiamini kuwa kipande cha reli hii kwa upande wa Tanzania lazima kiwe na viwango vya kutumia umeme.

Akibisha tuachane nae tufanye kama Magufuli alivyoachana nao na kwenda kwa Waturuki kwenye SGR Reli ya Kati

PIA SOMA
- Maboresho ya Reli ya TAZARA yaangalie usifanyike udanganyifu kama wa Kenya

Lazima tuelewe Wachina wanakata reli ya Tazara ili waweze kusafarisha shaba kutoka Zambia hawajali lingine lolote. Hawaweki kwasababu ya watu
 
Tuele
Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya.

Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania kuukataa huu mradi.

Kama tumeweza kujenga reli yetu ya kati kwa kiwango cha SGR tena umeme itakuwa ni aibu na fedheha kuu tukijengewa kwa mkopo reli ya TAZARA iliyo na kiwango cha kutumia dizeli.

Mchina asitupande kichwani. Kama Zambia hawawezi kuwa na treni ya Umeme tumwambie kwa kujiamini kuwa kipande cha reli hii kwa upande wa Tanzania lazima kiwe na viwango vya kutumia umeme.

Akibisha tuachane nae tufanye kama Magufuli alivyoachana nao na kwenda kwa Waturuki kwenye SGR Reli ya Kati

PIA SOMA
- Maboresho ya Reli ya TAZARA yaangalie us ifanyike udanganyifu kama wa Kenya
Tueleze kwanza faida na hasara ya RELI ya dizeli
 
Ushahidi wa Kenya kuchukua mkopo Exim bank China ili kupgrade reli yao?
Kenya wana extend Reli yao ya SGR from Nairobi Naivasha to Malaba Uganda. Ndicho walichosaini Ruto uko China sio Ku updrade ulichosema. Hiyo TAZARA ilijengwa na China kwa mkopo wa nchi 2 TZ na Zambia na mkopo bado haujaisha kulipwa, kwahiyo China kutoa ela ya marekebisho mnalalamika, tumieni ela zenu kujenga mnachokitaka mnashindwa. Bongo shida sana
 
Bado najiuliza kama sisi Waafrika weusi ni binadamu halisi au ni viumbe tunaofanana sana na binadamu.
Hapa jiulizie mwenyewe na hao viongozi wako. Usituhusishe na sisi tusio kubaliana na udhaifu wenu huo.
 
Kapimwe akili

Kwa hiyo unaona sawa reli ya kati iwe ya umeme na reli ya TAZARA iwe ya dizeli?

Hujajifunza kwa Kenya ambao walijengewa ya dizeli sasaivi wanaomba tena mkopo ili wajenge ya umeme kama sie?
Ujinga ni janga kubwa sana la nchi hii.
Wapi Kenya "wanaomba tena mkopo ili wajenge ya umeme"?
 
Sasa unafikiri wa china hawana akili wanajua wakiioboresha hii Kwa viwango vya kisasa iwe ya umeme that's means viwanda vyao vyakutengeneza trucks vitakosa soko kama haitoshi that's means viwanda vyao vya kutengeneza mabasi vitakosa masoko, yaa kinachofanyika hapa ni kama jamaa (wachina )wanacheza chase na akili ya muafrika wakijua calculation zote haya yote wanayoyafanya ni kuwapumbaza akili msifikiri nje ya box at the end wao ndio wanakuwa washindi sababu ukiangalia malori na mabasi karibia asilimia 90% Kwa mataifa haya mawili ni Chinese made
 
Back
Top Bottom