Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Sasa kama biashara ndogo tu imemshinda, anajua ugumu wa kuongoza nchi na kulipa mishahara wafanyakazi wote wa umma kwa wakati? au angeifilisi nchi na angeshindwa kuisimamia nchi hata kulipa mishahara kwa umma. Nani kichaa hapo?Sasa kama anafifilisika atalopaje Kofi su mshahara.
Anyway, Diablo alidai kuwa Jamaa ni Psycho ... je ni kweli alikuwa na file Mirembe...?
Sasa kama biashara ndogo tu imemshinda, anajua ugumu wa kuongoza nchi na kulipa mishahara wafanyakazi wote wa umma kwa wakati? au angeifilisi nchi na angeshindwa kuisimamia nchi hata kulipa mishahara kwa umma. Nani kichaa hapo?
Unaandika tu au unawaza nje ya Box! Swala lilifunikwa na likamalizika kifamilia, hivyo basi hakuna legal grounds za kuweza kulifanya iwe sababu ya kumnyima nafasi aliyoiomba au kupewa ukizingatia kwamba serikali ya Ccm inaongozwa Kwa kulinda wahalifu ndani ya chama akiwemo mkuu wa Mkoa aliyeachiwa hivi karibuni na mahakama ambazo kada wa Ccm Rostam alisema simu Moja inapigwa tu jaji au hakimu anaamua!Sawa.
Lakini tufike sehemu mtu akiwa na rekodi mbaya kama ya kumbaka binti yake wa miaka 16 na kumuambukiza HIV, halafu ampige mpaka kumuua, asiruhusiwe kuwa rais wa nchi.
Unakubaliana na hilo?
Mmesahau kwamba Huwa mnasema Urais ni Taaisisi na sio individual personSasa kama biashara ndogo tu imemshinda, anajua ugumu wa kuongoza nchi na kulipa mishahara wafanyakazi wote wa umma kwa wakati? au angeifilisi nchi na angeshindwa kuisimamia nchi hata kulipa mishahara kwa umma. Nani kichaa hapo?
Taasisi inaongozwa na sera, maono, vipaumbele, mikikakati, seriousness ya Kiongozi wa juu.Mmesahau kwamba Huwa mnasema Urais ni Taaisisi na sio individual person
Nawe wewe usitusumbue. Kama unamchukia kwasababu alikukopa kalie na wanao! Na kaburini hata wewe utaenda ila bahati hatutajua. Utaenda kama mbwa aliyegongwa na gari. Nyambafu!Usitusumbue mkuu. Kama unampenda sana kamfuate kaburini
Unaandika tu au unawaza nje ya Box! Swala lilifunikwa na likamalizika kifamilia, hivyo basi hakuna legal grounds za kuweza kulifanya iwe sababu ya kumnyima nafasi aliyoiomba au kupewa ukizingatia kwamba serikali ya Ccm inaongozwa Kwa kulinda wahalifu ndani ya chama akiwemo mkuu wa Mkoa aliyeachiwa hivi karibuni na mahakama ambazo kada wa Ccm Rostam alisema simu Moja inapigwa tu jaji au hakimu anaamua!
Untold stories will be told
Unless haukua Tanzania or haupo kabisa nchini or else some tu ulicho quote, kinajieleza chenyewe.Aliweka rekodi gani?
Rekodi gani?.. sijawahi toka nje ya nchiUnless haukua Tanzania or haupo kabisa nchini or else some tu ulicho quote, kinajieleza chenyewe.
Mimi wala sina maslahi na JPM, nilikuwa critical sana kwa JPM, lakini nafikiri ciritically siyo kama wewe nyumbu unasombwa na chuki tu. Wewe unaamini Ikulu Rais ampige Risasi mtu mchana kweupe au Rais avae Pajama aende kutaka kumbaka Makamu, kwanza nikuulize umewahi kuingia Ikulu?Ninyi Wahutu wenzake mlikua mkifaidika na utawala wake.
Ukiona hiyo reasoning yako ndiyo unaamini waTanzania ni IQ ndogo. Wewe hukufuatilia? JK aliingia na kikaratasi cha mfukoni, alikuwa amekata majina na lowassa na wengine ili kumsaidia Membe, ilipofika kupiga kura Kambi ya Lowassa ikapiga kwa wengine Membe akaondolewa. JKalifikiri JPM ni boya, akashangaa kambi ya Lowassa yote inamchagua JPM badala ya washikaji wa JK. Wewe hukuona? Nchimbi, Lowassa, na yule Mzee Kingunge wote walilalamika?Yule hakuteuliwa kwa kupangwa aliteuliwa kwa sababu walikuwa wanatafuta mbadala wa Lowassa hawakutaka Lowassa agombee. Kuanzia Nyerere mpaka Kikwete Rais wa Tanzania walikuwa anajulikana toka harakati za mwanzo za kugombea. Ila mwaka 2015 Chama hakikuandaa mtu na Lowassa ndio alikuwa anakubalika kuliko wote. Sasa chama ikabidi imteue Mvuta Bangi mwenye kichaa cha mbwa.
Ndio maana nakuambia kuwa Magufuli alikuwa na ugonjwa wa akili, na kwa taarifa yako mimi nilikuwa ni mshabiki sana wa Magufuli na nilikuwa mwanaCCM kindaki ndaki, hata humu JF soma comment zangu za 2016 nilikuja kushtuka alipomtuma Makonda amshambulie Lissu Mughwai kwa lengo la kumuua.Mimi wala sina maslahi na JPM, nilikuwa critical sana kwa JPM, lakini nafikiri ciritically siyo kama wewe nyumbu unasombwa na chuki tu. Wewe unaamini Ikulu Rais ampige Risasi mtu mchana kweupe au Rais avae Pajama aende kutaka kumbaka Makamu, kwanza nikuulize umewahi kuingia Ikulu?
Ndugu rudi kafuatilie Mgombea anachaguliwa na kamati kuu na si kupigiwa Kura. 2015 Hakuna aliyeandaliwa kugombea Urais kupictia CCM. Bali Lowassa alijiandaa yeye kama yeye na alikuwa na watu mpaka kamati kuu. Lakini Mweyneketi Kikwete hakutaka kumpa Lowassa kiti. Na Huyo Membe unayemsema hakuandaliwa ni kuwa tu Kikwete alitaka kumpitisha. Kamati kuu ndiyo ilimpitisha Magufuli na ndiyo akapata nafasi ya upigiwa kura na wajumbe. Hata uiangalia wajumbe waliopita na Magu walikuwa hawana nafasi. JPM alikuwa hana kambi na ndio maana ndio maana ukikumbuka 2015 hela nyingi sana zilitumika katika kampeni za Lowassa alipokuwa ndani na nje ya CCM. JPM alipata kambi baada ya kushinda tiketi ya kugombea kupitia CCM. Na bado waénye fedha walikuwa na imani na Lowassa na alipata nguvu kidogo ya kumsaidia.Ukiona hiyo reasoning yako ndiyo unaamini waTanzania ni IQ ndogo. Wewe hukufuatilia? JK aliingia na kikaratasi cha mfukoni, alikuwa amekata majina na lowassa na wengine ili kumsaidia Membe, ilipofika kupiga kura Kambi ya Lowassa ikapiga kwa wengine Membe akaondolewa. JKalifikiri JPM ni boya, akashangaa kambi ya Lowassa yote inamchagua JPM badala ya washikaji wa JK. Wewe hukuona? Nchimbi, Lowassa, na yule Mzee Kingunge wote walilalamika?
Unaona nyie wapambe wa mama Ushungi hiki kitabu kimewapa nguvu sana. Nani yupo nyuma ya hiki kitabu? I want to believe TISS wapo nyuma ya hiki kitabu.Kichaa Huwa hapewi Rungu ila anachungwa so alipewa uwaziri Kwa sababu Mchungaji wake yupo.
Ndio maana alipoleta ukichaa wake kwenye ishu ya malori,Mwenye mbwa alimpiga stop.
Fuatilia reference yangu, kwenye comments zangu, sijawa fun wa JPM.Ndio maana nakuambia kuwa Magufuli alikuwa na ugonjwa wa akili, na kwa taarifa yako mimi nilikuwa ni mshabiki sana wa Magufuli na nilikuwa mwanaCCM kindaki ndaki, hata humu JF soma comment zangu za 2016 nilikuja kushtuka alipomtuma Makonda amshambulie Lissu Mughwai kwa lengo la kumuua.
Nilitoka CCM nikahamia CDM nikawa nampiga mawe Magufuli bila uwoga sio wewe wa kung'ata na kupuliza.
Na nimetoka mitaa hiyo hiyo ta Buzirayombo.
Sasa kwani Mama ushungi anashindana na marehemu? Hayo ni maoni yangu binafsi Kwa sababu simkubali Mwendazake na hayana uhusiano na SSH.Unaona nyie wapambe wa mama Ushungi hiki kitabu kimewapa nguvu sana. Nani yupo nyuma ya hiki kitabu? I want to believe TISS wapo nyuma ya hiki kitabu.
Sasa povu lako juu yangu ni nini?! Mimi nimemuamini Kibendera alichokisema kama wewe unaona kuwa alichoandika sio cha kuingia akilini ni wewe, mimi namjuua Magufuli kwa miaka mingi.Fuatilia reference yangu, kwenye comments zangu, sijawa fun wa JPM.
Umeandika asi if Taasisi ni mti uko mahali! As if an institution is an object! Shuleni ulisoma kidogo issue za administration & Management and Leadership? Kama ulisoma nenda kasome madesa Yako halafu ufanye contextualization! Na baada ya hapo uje na argument ambayo itahold waterTaasisi inaongozwa na sera, maono, vipaumbele, mikikakati, seriousness ya Kiongozi wa juu.
Ili taasisi iwe imara inahitaji kiongozi imara. Taasisi inahitajika kumsaidia kiongozi, ila kiongozi akiwa kilaza wa kutupwa, ufanisi utapungua pamoja na jitihada kubwa za taasisi nzima.