Kama Magufuli alikuwa kichaa kama watu wanavyodai, kwanini Kikwete na Mkapa walimteua kama Waziri?

Muasisi wa nchi Nyerere alikuwa na matatizo ya akili, mpaka karithisha familia yake matatizo hayo.

Kwani Tanzania kuna vetting process?
 
Psychopaths are everywhere. Many are well-functioning individuals in society, high achievers, non-compromising types. Magufuli was a psychopath. Kabendera presents his characterization of Magufuli with a lot of conviction. I believe him when he says his book has gone through years of tedious and careful editorial and legal due diligence before final publishing.
 
Mtake radhi mbaba wa watu,kwani kigwendu sio mtu? Sio mtanzania? Hana haki ya kuchaguliwa? Mfano mbovu sana punguza chuki kwa binadamu wenzio
Bongo kila kitu kinawezekana.

Hata Kingwendu akijipanga vizuri, kesho anaweza kuwa Amiri Jeshi Mkuu na mpaka astaafu, atakuwa na PhD za heshima za kutosha kabisa kutoka vyuo vya jalalani, n.k.

Sisi tu ndio tunalialia.
 
Sio wote wenye mafaili Mirembe ni vichaa. Kuna magonjwa ya akili mfano Narcissism ambayo ni mabaya sana na akiwa nayo mtu mwenye power ni hatari mno.
"UKichaa" ni nini? Wazimu ni nini? Mwehu ni mgonjwa wa aina gani?

Matatizo ya Afya ya Akili yako ya aina nyingi sana sana na bado mengine yanaendelea kugunduliwa.

Ukimuangalia Magufuli japokuwa sijasomea mental health alikuwa na dalili za Schizoaffective disorder.


View: https://youtu.be/jc4R8lWTl8Y?si=ac7LHCCrhAlAqAH_
 
Watu wanasahau,kuna jamaa kipindi alotoa katuni.Magu the police,Magu the procecutor,magu the judge..Magu.....hacha watoe watu watoa vitabu! Kama mshauriwa aligeuka kua mshauri wa washauri wake!!
 

Neno kichaa linatukika vibaya kwenye kiswahili kwa vile lugha haina misamiati mingi. It's better kama wakija na neno ambalo litadefine condition ya the late Bwana Mkubwa kiuhalisia. Kiuhalisia wote tunakubaliana kuwa alikuwa na mental condition but how to we call it is something else.

Hata Hitler alikuwa na tatizo la kiakili. Most of the dictators wanalo. I believe Dr. Kabendera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…