pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Umeme umekata ghafla, giza, joto unaamua kununua umeme kupitia tigo, 30,000/= cash, unasubiriiiii weeee hakuna token zinatumwa, unawapigia unasikilizishwa mzikiiii weeee nusu saa ndio wanapokea, unawaeleza shida yako kwa utulivu ili angalau waKusomee hizo token uendelee kufanya biashara ni usiku shughuli zimechangamka.
Unajibiwa majibu mepesi sana eti subiri masaa 24 utashughulikiwa, serious?
Hawa ni wezi kuliko wezi wenyewe.
Nashauri kwakuwa Magufuli hayupo wa kuwashughulikia basi Watanzania tuungane kwa umoja wetu tujitoe soooote kwenye kampuni hii tuingie soooote TTCL angalau tumuenzi Magufuli.
Kama kuna mteja angalau mmoja ambaye hajanyanyaswa na tigo nampa hongera sana.
Huduma zenu mbovu na hiyo hela labda musiirudishe tena lakini siku mukiirudisha tu na likadi lenu nalitia chooni.