Kama Magufuli angekuwepo tusingechezewa hivi na Tigo

Umeme umekata ghafla, giza, joto unaamua kununua umeme kupitia tigo, 30,000/= cash, unasubiriiiii weeee hakuna token zinatumwa, unawapigia unasikilizishwa mzikiiii weeee nusu saa ndio wanapokea, unawaeleza shida yako kwa utulivu ili angalau waKusomee hizo token uendelee kufanya biashara ni usiku shughuli zimechangamka.

Unajibiwa majibu mepesi sana eti subiri masaa 24 utashughulikiwa, serious?

Hawa ni wezi kuliko wezi wenyewe.

Nashauri kwakuwa Magufuli hayupo wa kuwashughulikia basi Watanzania tuungane kwa umoja wetu tujitoe soooote kwenye kampuni hii tuingie soooote TTCL angalau tumuenzi Magufuli.

Kama kuna mteja angalau mmoja ambaye hajanyanyaswa na tigo nampa hongera sana.

Huduma zenu mbovu na hiyo hela labda musiirudishe tena lakini siku mukiirudisha tu na likadi lenu nalitia chooni.
Wahi yuko pale Chato utamkuta
 
Magufuli alikuwa na cheo gani hapo Tigo!?
 
Kile ni chuma, mwamba usiotingishika, wezi kama hawa tigo waliteseka sana
Na mifisadi yote ilipotea kabisa,
Magu alikuwa rais wa tanzani yote wakiwemo wezi Tigo,
Tutarudi kivingine wezi na mafisadi kaeni chonjo
 
Ndio kashakufa sasa na anapokea marungu muda huu kwa ukatili wake
 
Duh na marungu tena?
Haki ya mungu safari hii tukija mutajuta
Kuzaliwa, we subiri tu
Anapigwa marungu kwa kuhusika kwenye vifo vya akina Ben Saanane,Mawazo na wengineo kwenye viroba halafu muda huohuo alikuwa ananatuambia tumuombee,Watz hatukuwa na hiyana tukamuombea afe akafa kweli Mungu alisikiliza maombi yetu
 
Makampuni yapo mengi, silaumu TIGO ila nakulaumu wewe kuendelea na hiyo kampuni.
 
Anapigwa marungu kwa kuhusika kwenye vifo vya akina Ben Saanane,Mawazo na wengineo kwenye viroba halafu muda huohuo alikuwa ananatuambia tumuombee,Watz hatukuwa na hiyana tukamuombea afe akafa kweli Mungu alisikiliza maombi yetu
Hizo ni dhana tu na chuki zenu mafisadi,
Kila aliyempinga magu alikuwa ni wa mchongo
Jamaa nilimkubali sana
Muda utasema, atakaekuja atakuwa zaidi ya magu
Wa michongo wote mutahama inchi
 
Back
Top Bottom