Kama Magufuli angekuwepo tusingechezewa hivi na Tigo

Umeme umekata ghafla, giza, joto unaamua kununua umeme kupitia tigo, 30,000/= cash, unasubiriiiii weeee hakuna token zinatumwa, unawapigia unasikilizishwa mzikiiii weeee nusu saa ndio wanapokea, unawaeleza shida yako kwa utulivu ili angalau waKusomee hizo token uendelee kufanya biashara ni usiku shughuli zimechangamka.

Unajibiwa majibu mepesi sana eti subiri masaa 24 utashughulikiwa, serious?

Hawa ni wezi kuliko wezi wenyewe.

Nashauri kwakuwa Magufuli hayupo wa kuwashughulikia basi Watanzania tuungane kwa umoja wetu tujitoe soooote kwenye kampuni hii tuingie soooote TTCL angalau tumuenzi Magufuli.

Kama kuna mteja angalau mmoja ambaye hajanyanyaswa na tigo nampa hongera sana.

Huduma zenu mbovu na hiyo hela labda musiirudishe tena lakini siku mukiirudisha tu na likadi lenu nalitia chooni.
Nilinunua Umeme kwenye tiGO Pesa, leo ni zaidi ya Mwezi sijapata hela na sijapata Umeme
 
Amtegemeaye binadamu amelaaniwa. Badala utatue changamoto umeanza kulalamika. Endelea kumuwaza
Umeme umekata ghafla, giza, joto unaamua kununua umeme kupitia tigo, 30,000/= cash, unasubiriiiii weeee hakuna token zinatumwa, unawapigia unasikilizishwa mzikiiii weeee nusu saa ndio wanapokea, unawaeleza shida yako kwa utulivu ili angalau waKusomee hizo token uendelee kufanya biashara ni usiku shughuli zimechangamka.

Unajibiwa majibu mepesi sana eti subiri masaa 24 utashughulikiwa, serious?

Hawa ni wezi kuliko wezi wenyewe.

Nashauri kwakuwa Magufuli hayupo wa kuwashughulikia basi Watanzania tuungane kwa umoja wetu tujitoe soooote kwenye kampuni hii tuingie soooote TTCL angalau tumuenzi Magufuli.

Kama kuna mteja angalau mmoja ambaye hajanyanyaswa na tigo nampa hongera sana.

Huduma zenu mbovu na hiyo hela labda musiirudishe tena lakini siku mukiirudisha tu na likadi lenu nalitia chooni.
 
0657108782
Nina hakika hawa jamaa wamo humu, yaani baada ya kukuomba namba tu wamerudisha hela zangu, asante sana jamii forum na member wote kwa kupaza sauti, asanteni tigo ila kuhama kuko pale pale,
Nasubiri niwakope kwanza halafu ndukii
 
Umeme umekata ghafla, giza, joto unaamua kununua umeme kupitia tigo, 30,000/= cash, unasubiriiiii weeee hakuna token zinatumwa, unawapigia unasikilizishwa mzikiiii weeee nusu saa ndio wanapokea, unawaeleza shida yako kwa utulivu ili angalau waKusomee hizo token uendelee kufanya biashara ni usiku shughuli zimechangamka.

Unajibiwa majibu mepesi sana eti subiri masaa 24 utashughulikiwa, serious?

Hawa ni wezi kuliko wezi wenyewe.

Nashauri kwakuwa Magufuli hayupo wa kuwashughulikia basi Watanzania tuungane kwa umoja wetu tujitoe soooote kwenye kampuni hii tuingie soooote TTCL angalau tumuenzi Magufuli.

Kama kuna mteja angalau mmoja ambaye hajanyanyaswa na tigo nampa hongera sana.

Huduma zenu mbovu na hiyo hela labda musiirudishe tena lakini siku mukiirudisha tu na likadi lenu nalitia chooni.
Sijawahi kuielewa tigo tangu ilipoanza bongo pamoja na promosheni zao za kutunasa wateja kwenye nyavu.Mimi nilikuwa airtel nikaona miyeyusho hasa kwenye miamala kwenye airtel money ukipoteza line au kukosea kutuma pesa utapata taabu sana, nikaona isiwe shida nikahamia voda huku ni mwendo mserereko, pamoja na mapungufu machache lkn hawa jamaa kwenye miamala wako vizuri sana, nashauri mitandao mingine waige kwao.
 
Umeme umekata ghafla, giza, joto unaamua kununua umeme kupitia tigo, 30,000/= cash, unasubiriiiii weeee hakuna token zinatumwa, unawapigia unasikilizishwa mzikiiii weeee nusu saa ndio wanapokea, unawaeleza shida yako kwa utulivu ili angalau waKusomee hizo token uendelee kufanya biashara ni usiku shughuli zimechangamka.

Unajibiwa majibu mepesi sana eti subiri masaa 24 utashughulikiwa, serious?

Hawa ni wezi kuliko wezi wenyewe.

Nashauri kwakuwa Magufuli hayupo wa kuwashughulikia basi Watanzania tuungane kwa umoja wetu tujitoe soooote kwenye kampuni hii tuingie soooote TTCL angalau tumuenzi Magufuli.

Kama kuna mteja angalau mmoja ambaye hajanyanyaswa na tigo nampa hongera sana.

Huduma zenu mbovu na hiyo hela labda musiirudishe tena lakini siku mukiirudisha tu na likadi lenu nalitia chooni.
Utoke Tigo uhamie TTCL.?? Ni sawa na kushuka kwenye shabiby upande Alhushoom(dodoma-moro masaa 8)
 
Umeme umekata ghafla, giza, joto unaamua kununua umeme kupitia tigo, 30,000/= cash, unasubiriiiii weeee hakuna token zinatumwa, unawapigia unasikilizishwa mzikiiii weeee nusu saa ndio wanapokea, unawaeleza shida yako kwa utulivu ili angalau waKusomee hizo token uendelee kufanya biashara ni usiku shughuli zimechangamka.

Unajibiwa majibu mepesi sana eti subiri masaa 24 utashughulikiwa, serious?

Hawa ni wezi kuliko wezi wenyewe.

Nashauri kwakuwa Magufuli hayupo wa kuwashughulikia basi Watanzania tuungane kwa umoja wetu tujitoe soooote kwenye kampuni hii tuingie soooote TTCL angalau tumuenzi Magufuli.

Kama kuna mteja angalau mmoja ambaye hajanyanyaswa na tigo nampa hongera sana.

Huduma zenu mbovu na hiyo hela labda musiirudishe tena lakini siku mukiirudisha tu na likadi lenu nalitia chooni.

Your just an idiot, ukinunua umeme kupitia tigo pesa usipopata token nani kakwambia ni shida ya Tigo?

Shida sio Tigo, mitandao ya simu imekaa kama midlemen tu kurahisisha huduma (mtu wa katikati) anayeku link wewe na Serikali ( Tanesco) anachukua pesa yako anaifikisha kwa Tanesco na ndio maana unapata message kutoka tigo inayoonesha fedha zimepelekwa mahala husika kutokupata Token ni issue nyingine ya sever ya serikali kushindwa kurudisha message so sio tatizo ka Tigo.

Ushawai kuskia mtu anatumiwa token baada ya kununua umeme ila still Token zinagoma kuingia then anaenda mtandao wa simu kuuliza mbona toen azikubali kwa akili ya kawaida mtu uwa anajua mtandao wa simu ndio unatoa token ila sivyo inabid aende au awasiliane na Tanesco
 
Kwani wakati wa huyo Jiwe walikuwa hawafanyi hivyo?
 
Idiot ndio nini?
Kama ni tusi basi ungeanza kumwambia anaekulisha,
Mengine niachie mimi na tigo
 
Umeme umekata ghafla, giza, joto unaamua kununua umeme kupitia tigo, 30,000/= cash, unasubiriiiii weeee hakuna token zinatumwa, unawapigia unasikilizishwa mzikiiii weeee nusu saa ndio wanapokea, unawaeleza shida yako kwa utulivu ili angalau waKusomee hizo token uendelee kufanya biashara ni usiku shughuli zimechangamka.

Unajibiwa majibu mepesi sana eti subiri masaa 24 utashughulikiwa, serious?

Hawa ni wezi kuliko wezi wenyewe.

Nashauri kwakuwa Magufuli hayupo wa kuwashughulikia basi Watanzania tuungane kwa umoja wetu tujitoe soooote kwenye kampuni hii tuingie soooote TTCL angalau tumuenzi Magufuli.

Kama kuna mteja angalau mmoja ambaye hajanyanyaswa na tigo nampa hongera sana.

Huduma zenu mbovu na hiyo hela labda musiirudishe tena lakini siku mukiirudisha tu na likadi lenu nalitia chooni.
Uzi wako ulikuwa mzuri tu na una point yake ila ulipoharibu ni huyo jamaa uliyemtaja !
Itabidi umfuate aje kukusaidia suala lako
 
Ilkua saa ngapi? Mana nilipata msg kua kuna marekebisho tigo pesa
 
Back
Top Bottom