Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndio alikuwa kiboko yao,Uzi wako ulikuwa mzuri tu na una point yake ila ulipoharibu ni huyo jamaa uliyemtaja !
Itabidi umfuate aje kukusaidia suala lako
Ahsante kwa kukazia.. I just told the man the same thing..Your just an idiot, ukinunua umeme kupitia tigo pesa usipopata token nani kakwambia ni shida ya Tigo?
Shida sio Tigo, mitandao ya simu imekaa kama midlemen tu kurahisisha huduma (mtu wa katikati) anayeku link wewe na Serikali ( Tanesco) anachukua pesa yako anaifikisha kwa Tanesco na ndio maana unapata message kutoka tigo inayoonesha fedha zimepelekwa mahala husika kutokupata Token ni issue nyingine ya sever ya serikali kushindwa kurudisha message so sio tatizo ka Tigo.
Ushawai kuskia mtu anatumiwa token baada ya kununua umeme ila still Token zinagoma kuingia then anaenda mtandao wa simu kuuliza mbona toen azikubali kwa akili ya kawaida mtu uwa anajua mtandao wa simu ndio unatoa token ila sivyo inabid aende au awasiliane na Tanesco