Kama Magufuli angekuwepo tusingechezewa hivi na Tigo

Una suggest tujiunge TTCL hivi unajua huo mtandao ama mhemko tu baba usiingize watu choo cha kike

Uko tatizo la internet linaweza kutatuliwa baada ya siku hata 3 hupati internet IT wao jmos& jpil wapo home mapumzikoni
 
Pia, TIGO wamehusika kufanya UTAPELI kwa baadhi ya wateja wao.

Wanawatumia hawa Freelances kufanya utapeli, na wanaofanya ni baadhi ya watu waliofanya kazi na kampuni ya Tigo wakijifanya kusajilia watu line mitaani.

Hili nina uhakika nalo.
 
Ahsante kwa kukazia.. I just told the man the same thing..
 
Huu mtandao ni wa hovyo sana Leo upande wa tigo pesa inakataa kabisa ...Huduma kwa wateja napo simu inajikata automatic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…