Kama maji yameongezeka mto Ruvu ndani ya saa 48, basi hata Kidatu, Kihansi na Pangani yataongezeka kama wanaohujumu wakidhibitiwa

Maneno kuntu
 
Wataalam na wanaoitwa wasomi wetu hutumiwa kuanzisha mamlaka na taasisi za kudhibiti wazalishaji mali badala ya kuongeza ufanisi kwenye uzalishaji.
Hii ni sababu ya msingi kabisa ya umasikini wa taifa.
 
Subiri uone mafisadi yanavyojifanya yanajua kupinga!
Wewe ni zaidi ya kenge maana hajijui kuwa yupo sehemu hatarishi mpaka aone damu zinamtoka puani.

Nakushauri hama huko ccm siyo salama kwako maana wazee wako wanakutegemea angalau kwa kuwatafutia kuni kwenye msitu wa rubondo.
 
JPM huyo huyo aliruhusu kulima kwenye vyanzo vya maji na ukingoni mwa mito.
Wakati mwingine shutuma za wapinzani zina ukweli.
 

Attachments

  • VID-20211121-WA0003.mp4
    6.2 MB
Hawa wasenge wanacheza saana na akili zetu, wameshatuona mazoba basi wanatupeleka peleka tu..

Inauma, inakera lakini mwishowe unajikuta unacheka kwa ujinga tulio nao wa kuendekeza hawa kenge.
Agiza balimi ya bariiiidi upunguze joto mkuu[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Kwamba mchina na karoti zake mdio walimaliza maji ya Ruvu?

Believe this, and you'll believe anything!
Umenikumbusha mwamba James Hadley Chase.

Muktadha ulioutumia usemi huo ni sahihi kabisa - naunga mkono.

Watu huangushia jumba bovu hata pasipostahili kuficha ukweli wa mipango hafifu.
 
Miaka 60 ya utawala wa Ccm, maji mgao, umeme mgao, watoto wana kalia tofali shule, kina mama wanajifungulia vichakani. Bado Ccm mnaimba iyena iyena. Laana hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…