Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Nenda burigi huko ndio mnakoweza kudanganyanaUnajua kusoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda burigi huko ndio mnakoweza kudanganyanaUnajua kusoma?
Maneno kuntuNi dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Kwanini yalioungua na leo yaongezeke wakati hakuna siku imenyesha mvua?Maji yameongezeka
Umelewa chimpumu?Nenda burigi huko ndio mnakoweza kudanganyana
Wanaamini yeye ni mtume au masia waoHujui huyo mungu wako kama amekufa? Mfufueni basi.
Usikarike atafufuka march mwakani basi.We hujatiwa najisi huko nyuma yako?
Wewe ni zaidi ya kenge maana hajijui kuwa yupo sehemu hatarishi mpaka aone damu zinamtoka puani.Subiri uone mafisadi yanavyojifanya yanajua kupinga!
InsaneMaji yameongezeka
HapanaUmelewa chimpumu?
Waendelee kusubiriWanaamini yeye ni mtume au masia wao
Wanategemea miujiza labda atarudiWaendelee kusubiri
JPM huyo huyo aliruhusu kulima kwenye vyanzo vya maji na ukingoni mwa mito.Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Agiza balimi ya bariiiidi upunguze joto mkuu[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Hawa wasenge wanacheza saana na akili zetu, wameshatuona mazoba basi wanatupeleka peleka tu..
Inauma, inakera lakini mwishowe unajikuta unacheka kwa ujinga tulio nao wa kuendekeza hawa kenge.
Bado najaribu kutafakari wanakuwa na muonekano gani hao kondoo..Washatuona kama makondoo walio nusulika na msako wa simba wenye njaa.
Kondoo wapo kwenye hofu kuu maishani mwao.Bado najaribu kutafakari wanakuwa na muonekano gani hao kondoo..
Umenikumbusha mwamba James Hadley Chase.Kwamba mchina na karoti zake mdio walimaliza maji ya Ruvu?
Believe this, and you'll believe anything!
Hata bwawa la Nyumba ya Mungu yaweza kuwa ndiyi sababu.yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la
NDIOMaji yameongezeka