Mchina alifanya yakeNi dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
NDIOUnajua kusoma?
Sasa kwenye suala hayati anahusishwaje?,suala hapa ni Rais Samia,amesha toa order waliochepusha maji waache Mara moja agizo limetimizwa na matunda yameanza kuonekana, that's all,sasa marehemu marehemu muacheni apumzike Kwa Amani.Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Upo huru ki avator, lakini una utumwa wa akili! Kumshambulia baba wa watu haibadilishi ugumu wa maisha yako.Nendeni mkalilie kaburini kwake Chato,msitupigie kelele.
Nimeshangaa tangu jana umeme haujakatika huku nkalisi Hamashauari ya Busokelo .Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Kwanini wewe usiende kwenye kaburi la mama na baba yako aliyekufa kwa ukimwi mkuu??Nendeni mkalilie kaburini kwake Chato,msitupigie kelele.
Naona upo imara kwa hiloSasa kwenye suala hayati anahusishwaje?,suala hapa ni Rais Samia,amesha toa order waliochepusha maji waache Mara moja agizo limetimizwa na matunda yameanza kuonekana, that's all,sasa marehemu marehemu muacheni apumzike Kwa Amani.
Fanyeni mipango mchukue umeme kutoka Malawi maana hapo ni karibu sana muachane na vibatari vya bongoNimeshangaa tangu jana umeme haujakatika huku nkalisi Hamashauari ya Busokelo .
Yani unataka kusema hayo maji yalianza kuchepushwa mwaka huuu? mbona mnawafanya watanzania wajing? Hivi huyo mkulima awepo hapo bila vibali yeye ni mjinga? hata angetumi lita milion 3 kamwe yeye awezi kuwa chanzo cha mgao wa maji...... huu ujinga wa kutafuta pakutupia lawama acheni bali tatueni tatizo....kama kina cha maji kimeongezeka ujue ni mvua zinazoendelea kunyesha mikaoani na wala si ujinga huu wa kusingizia mchina...Sasa kwenye suala hayati anahusishwaje?,suala hapa ni Rais Samia,amesha toa order waliochepusha maji waache Mara moja agizo limetimizwa na matunda yameanza kuonekana, that's all,sasa marehemu marehemu muacheni apumzike Kwa Amani.
Haiwezekani binadamu ukampenda adaui yako mkuu hayo ni maadiko tu kwenye vitabu.Upo huru ki avator, lakini una utumwa wa akili! Kumshambulia baba wa watu haibadilishi ugumu wa maisha yako.
Love every body even your enemy for betterness of your health
Afadhali umeligundua hilo mkuuYani unataka kusema hayo maji yalianza kuchepushwa mwaka huuu? mbona mnawafanya watanzania wajing? Hivi huyo mkulima awepo hapo bila vibali yeye ni mjinga? hata angetumi lita milion 3 kamwe yeye awezi kuwa chanzo cha mgao wa maji...... huu ujinga wa kutafuta pakutupia lawama acheni bali tatueni tatizo....kama kina cha maji kimeongezeka ujue ni mvua zinazoendelea kunyesha mikaoani na wala si ujinga huu wa kusingizia mchina...
Watu hawajaanza leo kulima kwenye vyanzo vya maji na wala hajawai kuwa sababu ya ukame au kukosekana kwa maji nnchi hiii.... huu ni uongo na utoto
Watanzania wanahitaji kula pia. Ili kuzalisha chakula maji yanahitajika pia. Kinachotakiwa ni kuwa na mpango wa muda mrefu ili kilimo kiendelee maji yawepo na umeme upatikane.Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Unajua nini kinaendelea?Sasa kwenye suala hayati anahusishwaje?,suala hapa ni Rais Samia,amesha toa order waliochepusha maji waache Mara moja agizo limetimizwa na matunda yameanza kuonekana, that's all,sasa marehemu marehemu muacheni apumzike Kwa Amani.
Hiyo nayo propaganda tu. Miaka 3 mfululizo mvua zilikuwa nyingi mafuriko kila siku. Sasa kuna ukame maji ya kidatu lazima yapungue.Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Magufuli tutamkumbuka,na bado.Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Hawa wasenge wanacheza saana na akili zetu, wameshatuona mazoba basi wanatupeleka peleka tu..
Inauma, inakera lakini mwishowe unajikuta unacheka kwa ujinga tulio nao wa kuendekeza hawa kenge.
Huko nyuma umejikagua?Hujui huyo mungu wako kama amekufa? Mfufueni basi.
Umelewa gongo la mabiboFanyeni mipango mchukue umeme kutoka Malawi maana hapo ni karibu sana muachane na vibatari vya bongo
Wabunifi wa matatizo ndio wabunifu wa masuluhisho na chenji wanabaki nayo.Hawa wasenge wanacheza saana na akili zetu, wameshatuona mazoba basi wanatupeleka peleka tu..
Inauma, inakera lakini mwishowe unajikuta unacheka kwa ujinga tulio nao wa kuendekeza hawa kenge.