Kama maji yameongezeka mto Ruvu ndani ya saa 48, basi hata Kidatu, Kihansi na Pangani yataongezeka kama wanaohujumu wakidhibitiwa

Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.

Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.

My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Mchina alifanya yake
 
Sasa kwenye suala hayati anahusishwaje?,suala hapa ni Rais Samia,amesha toa order waliochepusha maji waache Mara moja agizo limetimizwa na matunda yameanza kuonekana, that's all,sasa marehemu marehemu muacheni apumzike Kwa Amani.
 
Hivi mto ukipita kijijini kwangu nikitumia fursa ya hayo maji kwa kilimo nitakuwa navunja sheria?
Hili jambo litakuwa limeumiza watu wengi sana kama hakuna sheria inayokataza jambo hili serikali iburuzwe mahakamani
Imagine tu mchina kuzuiwa kutumia haya maji anaenda kupata hasara kiasi gani

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.

Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.

My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Nimeshangaa tangu jana umeme haujakatika huku nkalisi Hamashauari ya Busokelo .
 
Sasa kwenye suala hayati anahusishwaje?,suala hapa ni Rais Samia,amesha toa order waliochepusha maji waache Mara moja agizo limetimizwa na matunda yameanza kuonekana, that's all,sasa marehemu marehemu muacheni apumzike Kwa Amani.
Naona upo imara kwa hilo
 
Sasa kwenye suala hayati anahusishwaje?,suala hapa ni Rais Samia,amesha toa order waliochepusha maji waache Mara moja agizo limetimizwa na matunda yameanza kuonekana, that's all,sasa marehemu marehemu muacheni apumzike Kwa Amani.
Yani unataka kusema hayo maji yalianza kuchepushwa mwaka huuu? mbona mnawafanya watanzania wajing? Hivi huyo mkulima awepo hapo bila vibali yeye ni mjinga? hata angetumi lita milion 3 kamwe yeye awezi kuwa chanzo cha mgao wa maji...... huu ujinga wa kutafuta pakutupia lawama acheni bali tatueni tatizo....kama kina cha maji kimeongezeka ujue ni mvua zinazoendelea kunyesha mikaoani na wala si ujinga huu wa kusingizia mchina...

Watu hawajaanza leo kulima kwenye vyanzo vya maji na wala hajawai kuwa sababu ya ukame au kukosekana kwa maji nnchi hiii.... huu ni uongo na utoto
 
Upo huru ki avator, lakini una utumwa wa akili! Kumshambulia baba wa watu haibadilishi ugumu wa maisha yako.

Love every body even your enemy for betterness of your health
Haiwezekani binadamu ukampenda adaui yako mkuu hayo ni maadiko tu kwenye vitabu.
 
Yani unataka kusema hayo maji yalianza kuchepushwa mwaka huuu? mbona mnawafanya watanzania wajing? Hivi huyo mkulima awepo hapo bila vibali yeye ni mjinga? hata angetumi lita milion 3 kamwe yeye awezi kuwa chanzo cha mgao wa maji...... huu ujinga wa kutafuta pakutupia lawama acheni bali tatueni tatizo....kama kina cha maji kimeongezeka ujue ni mvua zinazoendelea kunyesha mikaoani na wala si ujinga huu wa kusingizia mchina...

Watu hawajaanza leo kulima kwenye vyanzo vya maji na wala hajawai kuwa sababu ya ukame au kukosekana kwa maji nnchi hiii.... huu ni uongo na utoto
Afadhali umeligundua hilo mkuu
 
Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.

Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.

My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Watanzania wanahitaji kula pia. Ili kuzalisha chakula maji yanahitajika pia. Kinachotakiwa ni kuwa na mpango wa muda mrefu ili kilimo kiendelee maji yawepo na umeme upatikane.
 
Sasa kwenye suala hayati anahusishwaje?,suala hapa ni Rais Samia,amesha toa order waliochepusha maji waache Mara moja agizo limetimizwa na matunda yameanza kuonekana, that's all,sasa marehemu marehemu muacheni apumzike Kwa Amani.
Unajua nini kinaendelea?
 
Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.

Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.

My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Hiyo nayo propaganda tu. Miaka 3 mfululizo mvua zilikuwa nyingi mafuriko kila siku. Sasa kuna ukame maji ya kidatu lazima yapungue.

Enzi za Magufuli alilazimisha wenye viwanda wazime mitambo ili kuepusha mgao wa umeme.
 
Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.

Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.

My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Magufuli tutamkumbuka,na bado.

Mgao huu umenza ghafla mno,hii inaonyesha dhahiri kwamba ni kweli ipo hujuma.Binafsi siwaamini watumishi wa TANESCO kabisa,nawajua, kwa kuwa nimefanya mradi fulani nao,sio watu waaminifu kabisa.

Isitoshe wana vita na serikali,kwa kuwa-walinyang'anya tenda ya nguzo na serikali ilishusha bei ya kuunganisha umeme to 27,000/=,they are very unhappy about this,na hili hawafichi.Tembo wawili wanapogombana zinazoumia ni nyasi,na sisi wananchi ndio nyasi.
 
Hawa wasenge wanacheza saana na akili zetu, wameshatuona mazoba basi wanatupeleka peleka tu..

Inauma, inakera lakini mwishowe unajikuta unacheka kwa ujinga tulio nao wa kuendekeza hawa kenge.
Wabunifi wa matatizo ndio wabunifu wa masuluhisho na chenji wanabaki nayo.
 
Back
Top Bottom