Kama Mama Malecela hafai, je Mbowe anafaa?

Kama Mama Malecela hafai, je Mbowe anafaa?

Mkuu inaonekana wewe una msimamo wako kuhsiana na mtizamo wako on Hitler na Germany, mimi nina mtizamo wangu on Hitler na Germany, na ni clear kuwa tuna mitizamo tofauti sasa kwa nini unakimbilia neno kukosoa?

Unamkosoa mtu ambaye haelewi anachokisema, au yuko mbali na ukweli unaokubalika na dunia nzima kama ukweli, lakini humkosoi mtu mwenye mtizamo tofauti na mtizamo wako, kwa sababu kama ni vitabu kuhusu Hitler na Germany viko vingi sana mkuu sidhani kama umevisoma vyote, na hakuna mahali popote inasema kuwa ulivyosoma wewe tu ndio vina ukweli wa Hitler na Germany,

Nona hili neno linawate sa na na mimi na kukosolewa, nimesema nikikosa sihitaji kuambiwa na mtu yoyote mimi ni mtu mzima, ila siwezi kulazimishwa kukosea ili furaaha ya watu kama wewe itimilike ya kunikosoa bado mkuu, endelea kusubiri kwa hamu lakini not on this, halafu turudi kwenye topic mkuu sina mpango wa kuibadili topic!

ES, huwezi kuwa na mitazamo tofauti kwenye FACTS, labda kwenye OPINIONS !
 
Mimi sikuongea na facts ila nime-generalize, lakini yeye ameongea na facts zake hata mimi nikiwa na nafasi ninaweza kufanya hivyo, lakini aanzishe hiyo topic sio ndani ya hii topic ni kweli kabisa ameongea ana facts anazozijua, hata mimi ninaweza kufanya hilo mkuu ila hapa sio mahali pake kwenye hii topic, si wewe na yeye mnakumbuka ile topic yetu mnataka nianze tena?

Mara ngapi hapa kumekua na majadiliano kuhusu Mwalimu na legacy yake, hebu niambieni nani ana facts na nani hana? Ni lini kumekuwa na collectivelly makubaliano on Mwalimu na legacy yake? Sasa kwa nini iwe tofauti kwenye Hitler na Germany?
 
... nimesema nikikosa sihitaji kuambiwa na mtu yoyote mimi ni mtu mzima

Field Marshall, hapo ndio unapokosea!

Hata Mungu hajui kila kitu kwa sababu anatuambia ukitenda mema utaenda ahera. Kwa maana ya kwamba, hajui kama tutatenda mema au mabaya. Vinginevyo angesema msihangaike, atakaekwenda ahera anajulikana tayari. Hiyo dhana ya Mungu kutokujua kila kitu cha binadambu inaitwa " Free Will. "

Sasa wewe "mtu mzima" ulimuumba Mungu? Wewe unaekosea na kugundua mwenyewe umekosea, bila kuhitaji kuambiwa na mtu!

Ukimsifu Hitler kwa mafanikio ya Ujerumani ya leo utachekwa. Hii ni taaluma iliyotathminiwa na wengi, siyo mawazo au "dataz' zangu mimi. Nimesema, hakuna uchambuzi unaoheshimika unaomsifu Hitler kwa mafanikio ya Ujerumani ya leo. Nikimaanisha kwamba inawezekana wapo waandishi wanaodai hivyo, kama ambavyo wapo waliowahi kumchambua Nyerere kama Fisadi, mpaka ikabidi Nyerere asema "sina senti nje!" Japo wapo walioandika hivyo, ukisema Nyerere alikuwa Fisadi utachekesha! Sijui unanielewa we mtu?

Na hukusu kutoka nje ya mada, tukiwa tunaongelea mada X, halafu ukaunganisha vitu vilivyopinda kuhusu Y, utaambiwa mjomba umechemsha kuhusu Y, na kwamba, hata huo uchambuzi wa mada X unaoungaunga kutoka Y iliyopinda, inawezekana unaharibu. Natumaini unaninelewa!
 
Mkuu check vizuri historia yako kuhusu Germany. Hitler wajerumani wengi wenye mrengo wa kulia wanamwona shujaa. Mapinduzi kwenye sector ya kivita yalipelekea pia mafanikio kwenye mambo mengine. Hujawahi kusikia msemo kuwa ukitaka injinia bora duniani basi tafuta mjerumani mwanajeshi?

Katika hili wote mko sawa kwenye mtizamo na labda vile vile kwenye facts. Wewe una mtizamo hasi kwa hitler (justifiably) na ES ana mtizamo chanya kwake accordingly. Yote ni mitizamo sawa inategemea unatumia chanzo kipi.
 
Wanaukumbi,

Nakumbukia ule mfano wa Nyerere alioutoa pale Mzumbe kama sijasahau maana ni kitambo kidogo. Alifananisha kuelimika kuwa sawa na mwangaza wa taa. Akaiweka elimu katika makundi matatu makubwa ya waelimika.

Alisema unapoelimika, yale unayokuwa unayafahamu ni sawa sawa na mduara wa mwangaza unaotengenezwa na taa za kibatali, kandili au karabai. Halafu Giza linalopakana na huo mduara wa mwanga, linakuwa ni yale unayofahamu kuwa huyafahamu na unahitaji msaada.
  1. Nyerere akasema, elimu ya msingi ni sawa na mwangaza wa kibatali. Unasaidia kuona lakini hauoni mbali. Mduara wake wa mwangaza ni mdogo lakini pia mpaka wake na giza ni mdogo vile vile. Kwa hiyo mtu wa kiwango cha elimu hii ya awali, huwa anakua na ufahamu kiasi lakini kibaya kwake ni kuwa, huyu pia huwa anakuwa na ufahamu mdogo sana wa yale asiyojua. Anapovurunda, anavurunda hata yale ambayo mtu mwingine hushangaa kwa nini alifanya hivyo.
  2. Sehemu ya pili ya elimu akaifananisha na taa ya Kandili. Kandili inakuwa na mduara wa mwanga mkubwa zaidi ya kibatali lakini vile vile mpaka wake na giza nao pia huongezeka. Hii aliifananisha na elimu ya upili (sekondari, ufundi chuma n.k.). Watahiniwa wa kundi hili huwa na uelewa zaidi ya wale wa kibatali, lakini zuri zaidi ni kuwa wao pia huwa wanakuwa na uelewa mkubwa zaidi wa yale wasiyojua kuliko wa kibatali. Kwa hiyo utaona kuwa mwanga wa kandili unapoongezeka (sawa na ongezeko la elimu), mpaka wake na giza nao unaongezeka (sawa na ongezeko la uelewa wa usiyojua). Hivyo mtu anapoelimika hufaidika na lile ongezeko la elimu, lakini zuri zaidi ni kuwa pia anapata ongezeko la ufahamu wa yale asiyojua ambayo anahitaji msaada.
  3. Halafu mwishoni akafananisha Elimu za utatu (tertiary education), degree, diploma, PhD, Masters n.k., na mwangaza wa karabai. Chombo hiki hutoa mwangaza mkubwa sana (elimu kubwa), na kwenye eneo kubwa zaidi kuliko kibatali au karabai, lakini pia mpaka wake na giza nao huongezeka sana (ufahamu wa wasiyojua). Mtu wa elimu hii ni mzuri katika kutatua mambo kwani anajua mengi na pia anajua kwa upeo mkubwa asiyofahamu ambayo angehitaji msaada.
Kwa hiyo ni muhimu tukatumia mfano huu mdogo kuelezea umuhimu wa elimu, sio tu kwa viongozi wetu bali hata kwa wananchi kwa ujumla. Kwenye mjadala huu kumekuwa na maelezo mengi ambayo yamekuwa yakijaribu kuonyesha kuwa elimu sio muhimu tena kwa watanzania au viongozi wao, sababu kubwa ikiwa ni kuwepo kwa viongozi walioelimika, lakini ambao wamekua wakikiuka maadili yao ya uongozi wa taifa letu. Nafikiri hiki ni kipimo kibaya sana kwani hao ni wachache sana, ingawa wasomi wengine wengi wamechangia mengi mengine yaliyoisaidia nchi yetu hadi hivi sasa. Itakuwa ni jambo la ajabu sana kwetu, ambapo tuna wasomi kwenye kila chama, kurudi kwenye kibatali au kandili. Ni vema tukabadilisha ile karabai isiyofanya kazi vema kwa kuweka karabai nyingine ili tuendelee kuwa na mwanga wa kutosha, badala ya kukimbilia kibatali ambacho tunajua kabisa kuwa mwanga wake hautoshi.

Namalizia tu kwa kuhimiza, tusiache elimu ikashushiwa hadhi yake, aidha kwa wachangiaji kutoelewa au kwa ushabiki wetu kwa wagombea husika au vyama.
 
Originally Posted by Field Marshall ES

...Mtikila na elimu yake suspect ndiye aliyekwenda kusimama mahakamani na kudai wagombea Independent, Sokoine na elimu yake ya Suspect ndiye aliyetuletea Dala Dala...

Hivi Mtikila elimu yake ni nini hasa? Kuna gazeti moja uchwara la IPP Media limeripoti siku chache za nyuma kwamba ni Mwanasheria. Lakini haijulikani amesomea wapi. Sijawahi kuona mtu ameshwalisha Elimu ya Mtikila.

Pia sikufahamu kwamba ni Sokoine ndio alituletea Dala Dala. Ni kitendo cha kijasiri mno kuruhusu ubinafsishaji wa nyanja za Uchumi za Usafirishaji wakati wa Nyerere. Ni kama vile alimwambia Nyerere, Mzee haya makampuni yako ya Ujamaa na Kujitegemea ya UDA na KAMATA yanafeli. Ruhusu watu wamiliki vyombo vya uchumi. Alichapa kibao kwenye uso wa Nyerere, na Azimio la Arusha.

Wandugu,
Dala dala zililetwa na Mzee Rukhsa na sio Sokoine.

Sokoine yeye alikuwa anakamata 'walanguzi' waliokuwa wanaficha bidhaa kama sukari n.k., na wanaouza vitu kwa 'mchoromchoro'. Alikamata pia wenye TV na wenye magari ya mitumba. Hii ndio legacy yake.
 
Field Marshall, hapo ndio unapokosea!

Hata Mungu hajui kila kitu kwa sababu anatuambia ukitenda mema utaenda ahera. Kwa maana ya kwamba, hajui kama tutatenda mema au mabaya. Vinginevyo angesema msihangaike, atakaekwenda ahera anajulikana tayari. Hiyo dhana ya Mungu kutokujua kila kitu cha binadambu inaitwa " Free Will. "
Sasa wewe "mtu mzima" ulimuumba Mungu? Wewe unaekosea na kugundua mwenyewe umekosea, bila kuhitaji kuambiwa na mtu!

mkuu kwanza samahani after this sitakujibu tena maana huwa sina mjadala na watu wanaotumia majina mengi kama wewe, nikikosea nitasema mwenyewe kuwa nimekosa hata kabla ya kuambiwa na wewe, lakini kama sijakosa huwezi kunilazimisha, wewe huwezi kunifundisha mimi dini wakati ninajua madhambi yako mengi sana mkuu ya kutisha, sasa kama hujui kuwa kwenye mijadala ya siasa kuna kushindwa na kushinda sina la kukusaidia tena, ulileta ubishi ukakushinda kwenye ile ishu ya Balali, sasa naona mpaka leo unajaribu tu kwa nguvu kunitafuta lakini unapoteza muda wako bure mkuu huniwezi, huwezi kunilazimisha kukosea wewe ndio hujui unachosema! kumbuka kwenye viza ya Balali ulivyoleta ubishi wako na kuidai wewe una shule sana on it! ukaishia kuwa humbled na watu hapa kuwa hujui!

Ukimsifu Hitler kwa mafanikio ya Ujerumani ya leo utachekwa. Hii ni taaluma iliyotathminiwa na wengi, siyo mawazo au "dataz' zangu mimi.

Ni mawazo kama haya huwa ninayaita ujuha, Mwalimu ametuongoza wabongo ambao wengi mapka leo tupo hai, lakini mpaka leo hatukubaliani kama alikuwa kiongozi bora au hapana, sasa itakuwa Hitler wa Germany? Mkuu acha kujifanya unajua sana wakati hujui lolote atakayechekwa ni wewe kwa kujaribu klazimsha theory unazozijua wewe tu, it does not work that way bro, anayechekesha hapa ni wewe kwa sababu mimi nimekaa Hamburg, Germany na ninawajua wajerumani wengi sana ambao huwezi kuwaambia neno lolote kuhusu Hitler ingawa hawawezi kusema hadharani kwa sababu ya kuogopa political correctness, taaluma inayotahminiwa na wengi ni kwamba Mwalimu was the best ever mbona wewe kila siku unakataa hapa kwa kulumbana na Mwanakijiji, mkuu kua kidogo na usitudanganye na elimu njiwa hiyo ulioyonayo ya Urusi hapa!

Nimesema, hakuna uchambuzi unaoheshimika unaomsifu Hitler kwa mafanikio ya Ujerumani ya leo. Nikimaanisha kwamba inawezekana wapo waandishi wanaodai hivyo,

Look at this, unachokubali ni nini na unachokataa ni nini? Wewe kwenye accademic world ni nani kwamba ukisema basi ndio authority? Wewe umesoma vitabu vya Hitler na kumuona unavymuona na mimi nimesoma na kumuona ninavyomuona, tena besides mkuu mimi nimeishi kule, haya maneno ya kusema hakuna uchambuzi wa kushehsimika kuhusu Hitler umayatoa wapi bro? Mimi nimeishi Germany watu karibu wote wanazimia na Hitler, the matter of fact all the local politics za Germany zinaongozwa na vyama vinavyokuabaliana na itikadi zake, sasa haya yako umeyatoa wapi? Acha kudanganya watu hapa mkuu!

kama ambavyo wapo waliowahi kumchambua Nyerere kama Fisadi, mpaka ikabidi Nyerere asema "sina senti nje!" Japo wapo walioandika hivyo, ukisema Nyerere alikuwa Fisadi utachekesha! Sijui unanielewa we mtu?

Unaona always unajiweka kwenye position ya kwamba uksiema wewe basi ndio mwisho, kuna wanaooona kitendo cha Mwalimu kutokemea baadhi viongozi waliokuwa karibu naye kuwa ni mfisadi na they have a very strong case to watu kama Mtikila wana very strong case against ufisadi wa MWalimu, kwa hiyo mkuu unachojua wewe, sio mwisho wa dunia kuna wanaojua zaidi yako kitu ambacho hutakikukubali lakini huna choice! Halafu usiniite hayo majina yako ya mutu, mimi sio mutu mimi hapa ni Field Marshall ES, sio Mutu acha mabmo ya bara bro mijini hatuitani mutu!

Na hukusu kutoka nje ya mada, tukiwa tunaongelea mada X, halafu ukaunganisha vitu vilivyopinda kuhusu Y, utaambiwa mjomba umechemsha kuhusu Y, na kwamba, hata huo uchambuzi wa mada X unaoungaunga kutoka Y iliyopinda, inawezekana unaharibu. Natumaini unaninelewa!

Juzi ulisema hutaki double standard nikafikiri uko serious, sasa naona ni yale yale tu ya majina yako kwa hiyo mkuu you can have this debate vipi ukiendelea kama uluvyokuwa unafanya, yaani kuandika na kujijibu mwenyewe, mimi huwa sina huo muda wa ujinga!
 
Wandugu,
Dala dala zililetwa na Mzee Rukhsa na sio Sokoine.

Mkuu acha kujiabisha, aliyekuwa akipita pale posta mjini Dar na kuangalia hali ya usafiri na kuamuru dala dala na vipanya kwa mara ya kwanza alikuwa ni Sokoine bro, sisi tulikuwa mjini huenda hukuwepo umesimuliwa tu, Mwinyi alizikuta zipo!

mkuu sisi tuliomuona Sokoine pale posta akipita kwa mguu na kuangalia mwenyewe matatizo ya usafiri karibu wiki nzima, na badaye zikaja dala dala akiwa bado waziri mkuu, vipi ulikuja lini mijini?
 
mkuu kwanza samahani after this sitakujibu tena maana huwa isna mjadala na watu wanaotumia majina mengi kama wewe, nikikosea nitasema mwenyewe kuwa nimekosa hata kabla ya kuambiwa na wewe, lakini kama sijakosa huwezi kunilazimisha, wewe huwezi kunifundisha mimi dini wakati ninajua madhambi yako emngi sana mkuu ya kutisha, sasa kama huji kuwa kwenye mijadala ya siasa kuna kushindwa na kushinda sina la kukusaidia tena, ulileta ubishi ukakushinda kwenye ileishu ya Balali, sasa naona mpaka leo unajaribu tu kwa nguvu kunitafuta lakini unapoteza muda wako bure mkuu huniwezi, huwezi kunlizimihsa kukosea wewe ndio hujui unachosema!

Ni mawazo kama haya huwa ninayaita ujuha, Mwalimu ametuongoza wabongo ambao wengi mapka leo tupo hai, lakini mpaka leo hatukubaliani kama alikuwa kiongozi bora au hapana, sasa itakuwa Hitler wa Germany? Mkuu acha kujifanya unajua sana wakati hujui lolote atakayechekwa ni wewe kwa kujaribu klazimsha theory unazozijua wewe tu, it does not work that way bro, anayechekesha hapa ni wewe kwa sababu mimi nimekaa Hamburg, Germany na ninawajua wajerumani wengi sana ambao huwezi kuwaambia neno lolote kuhusu Hitler ingawa hawawezi kusema hadharani kwa sababu ya kuogopa political correctness, taaluma inayotahminiwa na wengi ni kwamba Mwalimu was the best ever mbona wewe kila siku unakataa hapa kwa kulumbana na Mwanakijiji, mkuu kua kidogo na usitudanganye na elimu njiwa hiyo ulioyonayo ya Urusi hapa!

Look at this, unachokubali ni nini na unachokataa ni nini? Wewe kwenye accademic world ni nani kwamba ukisema basi ndio authority? Wewe umesoma vitabu vya Hitler na kumuona unavymuona na mimi nimesoma na kumuona ninavyomuona, tena besides mkuu mimi nimeishi kule, haya maneno ya kusema hakuna uchambuzi wa kushehsimika kuhusu Hitler umayatoa wapi bro? Mimi nimeishi Germany watu karibu wote wanazimia na Hitler, the matter of fact all the local politics za Germany zinaongozwa na vyama vinavyokuabaliana na itikadi zake, sasa haya yako umeyatoa wapi? Acha kudanganya watu hapa mkuu!

Unaona always unajiweka kwenye position ya kwamba uksiema wewe basi ndio mwisho, kuna wanaooona kitendo cha Mwalimu kutokemea baadhi viongozi waliokuwa karibu naye kuwa ni mfisadi na they have a very strong case to watu kama Mtikila wana very strong case against ufisadi wa MWalimu, kwa hiyo mkuu unachojua wewe, sio mwisho wa dunia kuna wanaojua zaidi yako kitu ambacho hutakikukubali lakini huna choice! Halafu usiniite hayo majina yako ya mutu, mimi sio mutu mimi hapa ni Field Marshall ES, sio Mutu acha mabmo ya bara bro mijini hatuitani mutu!

Juzi ulisema hutaki double standard nikafikiri uko serious, sasa naona ni yale yale tu ya majina yako kwa hiyo mkuu you can have this deabte vipi ukiendelea kama uluvyokuwa unafanya, yaani kuandika na kujijibu mwenyewe, mimi huwa sina huo muda wa ujinga!
Wewe vipi bana kama ukikosea hapa UTAKOSOLEWA TU hakuna mtu anaekubali kulishwa sumu zako.Toa facts zako kama zinakinzana na "zetu" tutaelewashana tu mkuu.
Usiwe na hasira na kua attack watu namna hii mkuu
 
Wewe vipi bana kama ukikosea hapa UTAKOSOLEWA TU hakuna mtu anaekubali kulishwa sumu zako.Toa facts zako kama zinakinzana na "zetu" tutaelewashana tu mkuu. Usiwe na hasira na kua attack watu namna hii mkuu

Kati ya mimi na nyinyi nafikiri kila mtu anelewa hapa mwenye hasira ya kushindwa ni nani, mimi sitishiki na majina yenu hayo mengi jina langu ni moja tu lakini sitishiki na vitisho vyenu na maneno yenu yasiyokuwa na elimu ndani,

kama hamtaki kulishwa sumu hapa, msitegemee kuwa mtamlisha sumu mtu yoyote mwingine hapa, kunikosoa ni mpaka nikikosa ila hamuwezi kunilazimisha nikose kwa nguvu kama mnavyojaribu toka wiki tatu zilizopita hamuwezi bro, mimi siwaogopi na nitaendela kuwajbu pumba zenu to the end, na ninatka mjue kuwa hakuna anyetihsika na huo "umoja wenu" ni hoja tu ndio zitakazosimama hapa, haya acheni hasira mksihndwa badala ya kujaribu luazimisha kukosoa maana sasa mnaharibu hata maana ya kukosoa na kukososlewa!

Wala siwakimbiii I m here, watisheni wengine sio mimi bro!
 
Huu Utahaira Wa Kuelimika Eti Kwa Sababu Umesoma Oxford Au Harvard Ni Hasara Mno. Sasa Kama Wana Jamii Forum Mnategemea Kuvimba Vichwa Kwa Sanabu Ya Kusoma Vyuo Kama Hivyo Mnajipoteza. Kukubali Kufundishwa Na Kufuata Reli Ni Ukosefu Wa Kutumia Akili Yako Uliyozaliwa Nayo. Hayo Ndiyo Mambo Ya Memo-intelgence
 
Itakuwa ni jambo la ajabu sana kwetu, ambapo tuna wasomi kwenye kila chama, kurudi kwenye kibatali au kandili. Ni vema tukabadilisha ile karabai isiyofanya kazi vema kwa kuweka karabai nyingine ili tuendelee kuwa na mwanga wa kutosha, badala ya kukimbilia kibatali ambacho tunajua kabisa kuwa mwanga wake hautoshi.

Unachotakiwa kuweka wazi hapa ni vipi viongozi wenye elimu kubwa bongo ambavyo wameweza kutusaidia na ufisadi na vipi viongozi wasiokuwa na elimu kama kina Sokoine na Mrema waliweza kutusaidia kuondoa ufisadi, tumejaribu waliosoma na hakuna faida yoyote tuliyopata, sasa ni lazima tuywe open kwa kiongozi yoyote mwenye kuonyehsa uwezo, kwa sababu hata akili ya kujua viongozi gani wanotufaa hilo wananchi imetushinda, Mwalimu angekuwa anajua umuhimu wa elimu kama unavyosema basi asingempiga vita msomi Kambona na kumpa Kawawa uongozi wa juu, mkuu bado unahangaika tu aktika kujaribu kui-elimisha chuki yako na Mbowe so far sioni hoja ya msingi!

Namalizia tu kwa kuhimiza, tusiache elimu ikashushiwa hadhi yake, aidha kwa wachangiaji kutoelewa au kwa ushabiki wetu kwa wagombea husika au vyama

Haya ni mawazo finyu sana kwa maendeleo ya taifa, mimi niko open kwa kiongozi yoyote yule mwenye kuonyesha uwezo wa uongozi, mimi ni CCM lakini siku zote ninaheshima nzito sana kwa Freeman kwa kazi kubwa aliyoifanyia taifa, akiwa mwenyekiti wa Chadema, hilo mkuu hata useme nini historia itasema ukweli tu!

Maneno matupu hayavunji mfupa nafikiri umefika wakti wa vitendo sasa wakuu, maana tumetishana vya kutosha lets do it kama mnaweza kweli naona vitisho vimezidi lakini mnaweza noma?

Be right back........!
 
Kati ya mimi na nyinyi nafikiri kila mtu anelewa hapa mwenye hasira ya kushindwa ni nani, mimi sitishiki na majina yenu hayo mengi jina langu ni moja tu lakini sitishiki na vitisho vyenu na maneno yenu yasiyokuwa na elimu ndani
Unafika mbali mzee umeshaniita "Nyinyi" niko mie kama mie siko kama kundi hapa mkuu.
Hakuna wa kutisha mtu hapa mkuu wewe kuwa huru na kama vipi unaona hatuna elimu wewe unayo poa si yako na familia yako sisi inatuhusu nini.Wewe unanijua mimi? Sikujui hunijui na sina haja ya kukujua,wewe toa hoja sio unatoa kejeli zisizokuwa na moango hapa jamvini

Kama ww msomi is up to u buddy kuan vichwa kibao humu havijisemi wamekaa kimya
 
Mkuu check vizuri historia yako kuhusu Germany. Hitler wajerumani wengi wenye mrengo wa kulia wanamwona shujaa.

You must be joking! Unaweza ukatuwekea hata ka-article kamoja kanakoonyesha kwamba "wajerumani wengi wenye mrengo wa kulia wanamuona [Hitler] shujaa? I mean any evidence to substantiate your bold assertion?
 
Mkuu check vizuri historia yako kuhusu Germany. Hitler wajerumani wengi wenye mrengo wa kulia wanamwona shujaa. Mapinduzi kwenye sector ya kivita yalipelekea pia mafanikio kwenye mambo mengine. Hujawahi kusikia msemo kuwa ukitaka injinia bora duniani basi tafuta mjerumani mwanajeshi?

Katika hili wote mko sawa kwenye mtizamo na labda vile vile kwenye facts. Wewe una mtizamo hasi kwa hitler (justifiably) na ES ana mtizamo chanya kwake accordingly. Yote ni mitizamo sawa inategemea unatumia chanzo kipi.

You must be joking! Unaweza ukatuwekea hata ka-article kamoja kanakoonyesha kwamba "wajerumani wengi wenye mrengo wa kulia wanamuona [Hitler] shujaa? I mean any evidence to substantiate your bold assertion?

Kitila,

Huyo jamaa nilishindwa hata kumjibu, nikaamua kumshukuru na kuendelea mbele. Hajui anachokiongea!

Hajui tofauti ya siasa za "mrengo wa kulia" na siasa radicle, ambazo sio mainstream. Nikatoa mfano kwamba unaweza kupata mtu akasema Nyerere alikuwa fisadi mkubwa. Hiyo itakuwa ni far-right opinion ndio, lakini ni fringe and out-of-whack opinion, sio moja ya mainstream criticisms against JKN. Haelewi kabisa hicho kitu!

Ujerumani yoyote aliyoijenga Hitler iliangamizwa na Vita. Ikaja kujengwa upya baada ya vita kuisha, Hitler alipokufa. Kwamba Hitler hana hiba katika maendeleo ya Ujerumani ya leo ni suala la kitaaluma, sio mawazo yangu au ya kitabu kimoja. Isitoshe, Ujerumani ilkuwa imeshapiga hatua kubwa sana za maendeleo siku nyingi kabla ya Hitler, na walishapata michango mikubwa kutoka kwa kina Bismarck, Luther, Marx, Gutenberg, na German greats wengi wengine. Wakati Ujerumani wameshajenga Military Industrial Complex waliyoitumia wakati wa vita vya kwanza, ka Hitler kalikuwa Kaaskari ka miguu tu.

Alichokuja kuachangia yeye ni kuwaunganisha Wajerumani nyuma ya itikadi za kibaguzi- Ujerumani ambayo kwa kweli ilikuwa imeshaunganishwa na kina Bismarck - na kuchochea tena Uchumi kutumia Military Industrial Complex yake mpya. Lakini yote aliyoyajenga yalishabomoko, kwa sababu uchumi wa Ujerumani ulivunjwa vunjwa vipande na vita. Baada ya vita, walioongoza "Maajabu ya Uchumi" wa Ujerumani ya leo ni kama vile ma-Chancellor Konrad Adenauer na Willy Brandt. Hitler hayupo!

Kitika, nilipokosea nisahihishe, sio Masaka na nadharia zake mashaka mashaka, kunambia eti "check vizuri historia yako kuhusu Germany," wakati hata hujui kwamba kuna general consensus kuhusu hiba ya Hitler!
 
FMES,

..naomba kwa heshima zote kutofautiana na wewe kuhusu suala la Sokoine na Daladala.

..walioleta usafiri wa daladala ni WAJASIRIMALI wazalendo walioona kwamba public transportation ime-fail na kuna opportunity ya kusafirisha wananchi kutokana na demand iliyojitokeza.

..usafiri wa daladala ulianza kwa wananchi kujiiba-iba na kujificha kutumia usafiri huo. askari wa Sokoine walikuwa wakiwawinda na kuwakamata wasafirishaji wa daladala. kwa mtizamo aliokuwa nao Sokoine wasafirishaji wa daladala walikuwa ni sawa na WAHUJUMU UCHUMI.
 
Huu Utahaira Wa Kuelimika Eti Kwa Sababu Umesoma Oxford Au Harvard Ni Hasara Mno. Sasa Kama Wana Jamii Forum Mnategemea Kuvimba Vichwa Kwa Sanabu Ya Kusoma Vyuo Kama Hivyo Mnajipoteza. Kukubali Kufundishwa Na Kufuata Reli Ni Ukosefu Wa Kutumia Akili Yako Uliyozaliwa Nayo. Hayo Ndiyo Mambo Ya Memo-intelgence

tupo pamoja !!
 
Mkuu Joka,

Vipi bro, sisi watu wa Salamander tulipata habari kuwa mkuu Sokoine yupo Posta wote tukakimbia na kuacha deals pale ili kumuona masai akitembelea vituo vyote vya UDA, hiii haikuishia kuwa siku moja tu, alikuja pale wiki nzima mkuu, na baada ya pale Posta alihamia Lugalo barracks,

Ni Sokoine ndiye aliyeamua mkuu kama Salim alivyoamua mitumba kuletwa South, ni kweli zilikuwepo za kuiba lakini baada ya Sokoine kutoa uamuzi ndipo ikawa kweli na mabaharia tukaambiwa kuacha kuleta Nguruwe na sasa tukaruhusiwa kuleta Pickup, bila matata makubwa bandarini, na hii dela wote watu wa meli tuliiita ahsante Sokoine!

Kwenye hili mkuu hapana, aliyeruhusu ni Sokoine mkuu, unless labda na wewe ulikuwa hujaingia mijini mkuu, mimi nilikuwepo mjini na ninauhakika kabisaa bro kwenye hili wala sio kwamba ninabahatisha, kwa sababu Dala Dala ziliruhusiwa baada tu ya zile ziara za Sokoine pale Posta.

Ahsante Mkuu!
 
afika mbali mzee umeshaniita "Nyinyi" niko mie kama mie siko kama kundi hapa mkuu.
Hakuna wa kutisha mtu hapa mkuu wewe kuwa huru na kama vipi unaona hatuna elimu wewe unayo poa si yako na familia yako sisi inatuhusu nini.Wewe unanijua mimi? Sikujui hunijui na sina haja ya kukujua,wewe toa hoja sio unatoa kejeli zisizokuwa na moango hapa jamvini

Kama ww msomi is up to u buddy kuan vichwa kibao humu havijisemi wamekaa kimya

Mkuu ninasema hivi wewe na majina yako na hao wenzio hamuwezi fanya anything, zaidi tu yakurusha ujinga hapa, kama kuna anything zaidi unaweza fanya ninaomba unionyeshe either hapa JF au nje ya hapa, otherwise sina uoga kabisa bro, kejeli hujibiwa kwa kejeli, hoja hujibiwa kwa hoja, na lugha za chooni hujibiwa exactly vile vile, sasa uamuzi ni wako mkuu na wenzako na majina yenu mengi mimi jina moja tu mkuu si unaona mnavyohangaika,

Sasa umauzi ni wenu ila whatever you want jua kuwa nipo imara wala sina wasi wasi, can't you see that I am having fun! Na nilisema toka last two weeks nilipowatwanga kuwa I having a lot of fun ulifikiri ninatania unafikiri utanitisha mimi wewe bwana mdogo na majina mengi hapa? Tisha hao wengine kijana mdogo, hapa utaumia bure!
 
Heshima mzee Es,

kwa kweli siwezi kuacha duku duku langu liendelee hivi hivi..nafikiri utatusaidia sana uwataje hawa watu maana kwangu mimi binafsi naona imekuwa kero ya "HAO" watu wanaozingua wenzao humu na "hayo majina mengi wanayotumia".... hii imekuwa kero kweli sasa, naomba uwaexpose !!

wataje tu mzee !
 
Back
Top Bottom