Kama Mama Malecela hafai, je Mbowe anafaa?

Kama Mama Malecela hafai, je Mbowe anafaa?

[B
]kwa kweli siwezi kuacha duku duku langu liendelee hivi hivi..nafikiri utatusaidia sana uwataje hawa watu maana kwangu mimi binafsi naona imekuwa kero ya "HAO" watu wanaozingua wenzao humu na "hayo majina mengi wanayotumia".... hii imekuwa kero kweli sasa, naomba uwaexpose !!

wataje tu mzee !
[/B]

Watajisema wenyewe tu mkuu hakuna haraka, ila ninawaambia hivi lets take this war nje ya hapa, maana sasa tunawasumbua watu hapa, niliwatwanga hapa kwenye ule mjadala na nje ya hapa pia nitawafundisha adabu, mkuu kama unajua kuwa huhusiki vipi ukikaa pembeni ukawaachia wenyewe wajibu maana wanajijua, ninasema hivi now it is about time tukahamia nje ya hapa na hii vita maana naona mmepania sana mimi sina noma, the matter of fact I love it na ninawasubiri kwa hamu sana!
 
Naomba kuchukua nafasi hii kumpa pongezi Mheshimiwa Freeman Mbowe, kwa kazi kubwa ambayo amelifanyia taifa letu, toka awe mwenyekiti wa Chadema, kuna wa-Tanzania wengi ambao tumeiona kazi yake ya kishujaa, na ni mategemeo kuwa hata atakapooamua kupumzika na siasa au Chadema, basi kutatokea wananchi wengine wenye uchungu na taifa letu na kulisogeza pale atakapoliachia, tunajua kuwa angeweza kukaa nyumbani na kula utajiri wake ambao wengi wetu tunaufahamu, lakini akaamua kujitoa mhanga na kulipigania taifa,

Tunaambiwa mengi kuhusu mapungufu yake kama kiongozi, lakini hatujasikia mahali alipoiba hela za wananchi kutokana na kisomo chake, hatujaambiwa jinsi alivyochukua hela za EPA kutokana na kisomo chake, au kama alichukua hela zetu wananchi kule BOT kutokana na kisomo chake, iwapo ameiba hela za Chadema kutokana na kisomo chake, iwapo ameshusha kkiwango cha heshima ya Chadema kutokana na kisomo chake, iwapo amesababisha kupungua kwa wanachama wa Chadema kutokana na kisomo chake,

lakini tunajua kuwa dhana ya kuwaumbua na kuwatokomeza mafisadi imetokea Chadema kutokana na uongozi wake imara wa Chadema, leo taifa zima tunaweza kuongelea mafisadi bila uoga wala kutishwa na serikali, Mkuu FReeman kwa haya machache na mengine mengi ya ufanisi wa kazi yako kwa taifa, ninasema kutoka rohoni kwangu kuwa ninakutakia mafanikio makubwa katika maisha yako na shughuli zako za kila siku, kwa taifa na kwa wananchi wote wwenye kuhitaji misaaada ya kisiasa kutoka kwako,

ninakumbuka ile siku tukiwa na Mayor wa Bukoba mjini, alipokuuliza "..hiivi kijana kweli huogopi na mambo ya kisiasa unayoyafanya?" ninalikumbuka lile jibu lako mpaka leo mkuu kuwa "..niko radhi kufa mzee kuliko kuona wananchi wanavyoonewa...na niko very serious..." nilikuwa ninakuangalia usoni wakati unalijibu lile swali mkuu, ingawa hukujua, unajua kwenye investigation tunaambiwa kuangalia usoni ili kujua ukweli wa mtu wakati anajibu swali zito kama lile, ninaamini kuwa ni Mungu tu ndiye atakulipa, maana ninajua ni mapesa mangapi ya kwako binafsi umayetumia ndani ya Chadema, kwa ajili tu ya kulipenda taifa lako,

Tanzania Mbele, na Mungu Akubariki mkuu Uendelee na Moyo Huo Huo, yaani Taifa Mbele!
 
napata wakati mgumu kuelewa !Umesema kama mie simo basi nisihusike then ukasema "mmepania".. wewe wataje tu bana tuwajue ili waache hiyo tabia ! si ndio unakuita kumkoma nyani huko au umesahau tena ? wataje tu !
 
Ninachofanya sasa hivi mkuu ndio kumkoma nyani kwenyewe, nafikiri mwenye macho haambiwi ona mkuu!

....anyways okay later wakuu
 
Naomba kuchukua nafasi hii kumpa pongezi Mheshimiwa Freeman Mbowe, kwa kazi kubwa ambayo amelifanyia taifa letu, toka awe mwenyekiti wa Chadema, kuna wa-Tanzania wengi ambao tumeiona kazi yake ya kishujaa, na ni mategemeo kuwa hata atakapooamua kupumzika na siasa au Chadema, basi kutatokea wananchi wengine wenye uchungu na taifa letu na kulisogeza pale atakapoliachia, tunajua kuwa angeweza kukaa nyumbani na kula utajiri wake ambao wengi wetu tunaufahamu, lakini akaamua kujitoa mhanga na kulipigania taifa,

Tunaambiwa mengi kuhusu mapungufu yake kama kiongozi, lakini hatujasikia mahali alipoiba hela za wananchi kutokana na kisomo chake, hatujaambiwa jinsi alivyochukua hela za EPA kutokana na kisomo chake, au kama alichukua hela zetu wananchi kule BOT kutokana na kisomo chake, iwapo ameiba hela za Chadema kutokana na kisomo chake, iwapo ameshusha kkiwango cha heshima ya Chadema kutokana na kisomo chake, iwapo amesababisha kupungua kwa wanachama wa Chadema kutokana na kisomo chake,

lakini tunajua kuwa dhana ya kuwaumbua na kuwatokomeza mafisadi imetokea Chadema kutokana na uongozi wake imara wa Chadema, leo taifa zima tunaweza kuongelea mafisadi bila uoga wala kutishwa na serikali, Mkuu FReeman kwa haya machache na mengine mengi ya ufanisi wa kazi yako kwa taifa, ninasema kutoka rohoni kwangu kuwa ninakutakia mafanikio makubwa katika maisha yako na shughuli zako za kila siku, kwa taifa na kwa wananchi wote wwenye kuhitaji misaaada ya kisiasa kutoka kwako,

ninakumbuka ile siku tukiwa na Mayor wa Bukoba mjini, alipokuuliza "..hiivi kijana kweli huogopi na mambo ya kisiasa unayoyafanya?" ninalikumbuka lile jibu lako mpaka leo mkuu kuwa "..niko radhi kufa mzee kuliko kuona wananchi wanavyoonewa...na niko very serious..." nilikuwa ninakuangalia usoni wakati unalijibu lile swali mkuu, ingawa hukujua, unajua kwenye investigation tunaambiwa kuangalia usoni ili kujua ukweli wa mtu wakati anajibu swali zito kama lile, ninaamini kuwa ni Mungu tu ndiye atakulipa, maana ninajua ni mapesa mangapi ya kwako binafsi umayetumia ndani ya Chadema, kwa ajili tu ya kulipenda taifa lako,

Tanzania Mbele, na Mungu Akubariki mkuu Uendelee na Moyo Huo Huo, yaani Taifa Mbele!

ES thumbs down mzee ! Unamtetea Mbowe kwa kusema hayo aliyotufanyia tanzania kama taifa, naomba niulize mbowe kama mbowe kafanyia nini watu wa tanzania ? tanzania ipi hiyo ? ile ya tanganyika na zanzibar ? mimi sielewi !

Najua vyema kwamba hapo awali ulishasema kamwe hautoweza kuwa AGAINST NA MBOWE.. hivyo sishangai kwa nini unamtetea hivyo !

Mbowe katumia pesa zake binafsi kwa chadema ?? how ? hawapati ruzuku ? haitoshi ? je walishawahi kutoa malalamiko kwa serikali ? na kama kweli alitumia pesa zake binafsi am starting to sense "kuleeeee", au "yale yale " kwamba hii kitu (chadema) ni ya familia,...there is no way kwamba mbowe akawa that passionate kuhusu tanzania na jinsi hali iliyo mbaya amwage ukwasu wake ili kuendeleza chadema
! Je tunaweza kumuuliza Mnyika hili swali kama Mbowe hutoa pesa zake binafsi kuendeleza chadema ?

Mzee inawezekana Mbowe akawa amefanya personal favors kwa wachache lakini nijuavyo mie kama kada tena kada wa kweli huyu jamaa hajawahi kufanya lolote kwa ajili ya tanzania ! Nakataa, kata kata !

Kweli Es upo dunia hii hii au nyingine ? unasema hujawahi kusikia mbowe akiiba pesa sehemu fulani na kutumia kwa mambo yake binafsi ? No, hapana ! Nafikiri ulishawahi kusikia lakini ulipuuzia. Mchunguze zaidi, nadhani hautotaka kumsikia tena !

Anyway tuendelee na mjadala ! this is nothing personal bali tunachoongea ni kuhusiana na maandishi na sio mtoa maandishi !
 
Simtetei Mbowe mkuu ila ninalitetea taifa, alilolisaidia sana Mbowe kama kiongozi wa Chadema, mimi kwangu muhimu ni taifa sio vyama vya siasa, kwa sababu betweeen Mbowe na Chenge, nani kwangu ni safi kwa taifa langu?

I mean mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake, mkuu ameyafanya aliyoyafanya kutokana na uwezo wake, aliyoyafanya sio madogo, mimi ninamhukumu kutokana na kazi aliyoifanya akiwa Chadema, kwa taifa naomba kwanza tukubaliane kwenye hilo mkuu.
 
Hitler's campaign was called "Hitler über Deutschland" (Hitler over Germany)./

[38] The name had a double meaning; besides a reference to his dictatorial ambitions, it also referred to the fact that he campaigned by aircraft.[38] This was a brand new political tactic that allowed Hitler to speak in two cities in one day, which was practically unheard of at the time. Hitler came in second on both rounds, attaining more than 35% of the vote during the second one in April. Although he lost to Hindenburg, the election established Hitler as a realistic alternative in German politics.
 
What's the point?
 
Outside of Hitler's birthplace in Braunau am Inn, Austria is a stone marker engraved with the following message:

Für Frieden Freiheit ,Und Demokratie ,Nie wieder Faschismus ,Millionen Tote mahnen ,Loosely translated, it reads: "For Peace, Freedom and Democracy - Never Again Fascism - Remember the Millions Dead."

However some people have referred to Hitler's legacy in neutral or favourable terms.

1. Former Egyptian President Anwar Sadat spoke of his 'admiration' of Hitler in 1953, when he was a young man, though it is possible he was speaking in the context of a rebellion against the British Empire.

2. [83] Louis Farrakhan has referred to him as a "very great man".

3. [84] Bal Thackeray, leader of the right-wing Hindu Shiv Sena party in the Indian state of the Maharashtra, declared in 1995 that he was an admirer of Hitler.

4. [85] Friedrich Meinecke, the German historian quotes of Hitler, "It is one of the great examples of the singular and incalculable
 
Tussauds defends planned Hitler display in Berlin 3 days ago

BERLIN (AP) — Madame Tussauds on Tuesday defended its decision to include a wax likeness of Adolf Hitler at its new Berlin museum, arguing that it would make little sense to ignore his role in German history.

Berlin Mayor Klaus Wowereit had urged the museum to carefully consider whether to include Hitler and, if it does, to ensure that he not be shown as a "cult figure."

In a statement, the museum said Hitler's rule "stands for an important, though also appalling, turning point in the development of modern Europe."

"To ignore Hitler's role in this era would allow a strange gap to develop in the German and Berlin history that we show from (19th century chancellor Otto von) Bismarck to the present day," the museum added, stressing that Madame Tussauds is "nonpolitical."

Madame Tussauds Berlin, which opens July 9, will feature many prominent Germans, including former Chancellor Helmut Kohl, current Chancellor Angela Merkel and scientist Albert Einstein — who left Germany shortly before Hitler took power in 1933, never to return.

The museum's statement Tuesday said market research showed that Hitler was among the figures both Berliners and tourists believe significantly marked German history, and visitors expect to find him at the new branch.

The museum said it would portray Hitler "with regard to possible sensitivities and far from any glorification," as he would have looked shortly before his 1945 suicide.

The likeness will be displayed behind glass, preventing visitors from having their pictures taken with it, and the exhibit will be constantly monitored by video cameras.

Stephan Kramer, general secretary of Germany's Central Council of Jews, said the figure must be accompanied by information on Hitler and the Nazi era.

However, he told the Netzeitung online newspaper that the exhibit may help "demystify" Hitler.

"Trying to erase Hitler from history doesn't work and is counterproductive," he said.
 
Hitler Historical Museum:- "If freedom is short of weapons, we must compensate with willpower."-- Adolf Hitler, Landsberg, 5 November 1925

Introduction

1. The Hitler Historical Museum is a non-biased, non-profit museum devoted to the study and preservation of the world history related to Adolf Hitler and the National Socialist Party. True to its role as an educational museum, these exhibits allow for visitors to understand and examine historical documents and information for themselves.

2. Instead, all materials and resources are provided as a documentation of the time period and as scholastic resources with notes for clarification. No biased judgments, slanderous labels or childish name calling exist here as they do in most of the writings on this topic.

3. The Museum's chief concern is to provide documents and information that shed light on Adolf Hitler and the National Socialist Party. Because of the numerous contradicting, disjoint, biased, confused, and deficient interpretations that exist, few scholars are able to gather the facts and to understand and explain them coherently. Whether this failure is from a lack of information, scholarship ability, or honesty is unimportant. What is important is that historical information be made freely available and gathered into exhibits that allow researchers to derive indepedent conclusions from the relatively well preserved writings of this time period.

4. Ideological Statement

The teaching of history should convey only facts and be free from political motives, personal opinions, biases, propaganda, and other common tactics of distortion.

Every claim that is made about history should also be accompanied by documentation proving its basis.

Only responsible scholarship and teaching should be permitted. Those who intend to support particular political interests and agendas should have their biased historical interpretations criticized for lacking proof.
 
What's the point?
__________________
'Bahati ya Serikali Watu Hawafikiri' A. Hitler

I love JF!, Where We dare Kumkoma Nyani Mchana Kweupeeeeeee! Nyani hukomwa Usoni sio mgongoni, tena mchana kweupeeeeeeeeeeeeee! Yaaani ni maweee tu!

Mayiiiiiiiii weeeeeeeeeeeeeeeeeee! Acha kutishia nyau mkuu, hapa wote ni watu wazima! OOH! Long Live JF Kumkoma Nyani Giladi!

Haya tuendelee kukata ishus taifa liko njia panda mkuu
 
Duh! Siyo mchezo, talk about a thread devolving... from Mama Malecela to Hitler!
 
1.
Mkuu check vizuri historia yako kuhusu Germany. Hitler wajerumani wengi wenye mrengo wa kulia wanamwona shujaa. Mapinduzi kwenye sector ya kivita yalipelekea pia mafanikio kwenye mambo mengine. Hujawahi kusikia msemo kuwa ukitaka injinia bora duniani basi tafuta mjerumani mwanajeshi?

Katika hili wote mko sawa kwenye mtizamo na labda vile vile kwenye facts. Wewe una mtizamo hasi kwa hitler (justifiably) na ES ana mtizamo chanya kwake accordingly. Yote ni mitizamo sawa inategemea unatumia chanzo kipi.

2.
You must be joking! Unaweza ukatuwekea hata ka-article kamoja kanakoonyesha kwamba "wajerumani wengi wenye mrengo wa kulia wanamuona [Hitler] shujaa? I mean any evidence to substantiate your bold assertion?

3.
Huyo jamaa nilishindwa hata kumjibu, nikaamua kumshukuru na kuendelea mbele. Hajui anachokiongea!

Hajui tofauti ya siasa za "mrengo wa kulia" na siasa radicle, ambazo sio mainstream. Nikatoa mfano kwamba unaweza kupata mtu akasema Nyerere alikuwa fisadi mkubwa. Hiyo itakuwa ni far-right opinion ndio, lakini ni fringe and out-of-whack opinion, sio moja ya mainstream criticisms against JKN. Haelewi kabisa hicho kitu!

Ujerumani yoyote aliyoijenga Hitler iliangamizwa na Vita. Ikaja kujengwa upya baada ya vita kuisha, Hitler alipokufa. Kwamba Hitler hana hiba katika maendeleo ya Ujerumani ya leo ni suala la kitaaluma, sio mawazo yangu au ya kitabu kimoja. Isitoshe, Ujerumani ilkuwa imeshapiga hatua kubwa sana za maendeleo siku nyingi kabla ya Hitler, na walishapata michango mikubwa kutoka kwa kina Bismarck, Luther, Marx, Gutenberg, na German greats wengi wengine. Wakati Ujerumani wameshajenga Military Industrial Complex waliyoitumia wakati wa vita vya kwanza, ka Hitler kalikuwa Kaaskari ka miguu tu.

Alichokuja kuachangia yeye ni kuwaunganisha Wajerumani nyuma ya itikadi za kibaguzi- Ujerumani ambayo kwa kweli ilikuwa imeshaunganishwa na kina Bismarck - na kuchochea tena Uchumi kutumia Military Industrial Complex yake mpya. Lakini yote aliyoyajenga yalishabomoko, kwa sababu uchumi wa Ujerumani ulivunjwa vunjwa vipande na vita. Baada ya vita, walioongoza "Maajabu ya Uchumi" wa Ujerumani ya leo ni kama vile ma-Chancellor Konrad Adenauer na Willy Brandt. Hitler hayupo!

Kitika, nilipokosea nisahihishe, sio Masaka na nadharia zake mashaka mashaka, kunambia eti "check vizuri historia yako kuhusu Germany," wakati hata hujui kwamba kuna general consensus kuhusu hiba ya Hitler!

Talking about a melt down, yaaani hiii ni aibu, Mkuu Wangu Masaka, everything is under control kutoka kwa station ya FMES! Hoja hujibiwa kwa hoja tu, na sio viroja!
 
Unajua kwa kawaida huwa sipendi debate na mtu kama wewe, kwa sababu nyingi sana ambazo sitazisema, lakini kwa leo nitakujibu, maana sasa unatoka kwenye elimu na kukimbilia kwenye Casino, okay:-

Toa hizo sababu, we dare to talk here!! Wewe ndio uliyekimbilia kwenye Casino, kwa madai eti kuna watanzania wangapi wenye "Big Casino" na elimu ya form six..In short wako watanzania wengi tu! Hicho si kigezo cha kua raisi
Field Marshall said:
1. Anayoimiliki Mbowe ni Casino, tena ya kimataifa sio tu Club peke yake, halafu uende hazina, uwaulize taifa letu linapata kodi kiasi gani pale yaani Bilicanas, ningekuelewa kama wewe ungekuwa nazo kama kumi zile Bilicanas, na kwamba wabongo wote waliomaliza Form Six wanazo hizo Bilicanas type of Casinos,
Kaulize na madeni pia na kodi alizopiga chenga!! Pia usitake kusema huyu ni form six kama wengine, huyu alikua ana choice, kwa sababu ametoka kwenye familia yenye uwezo. Kwa hiyo si ajabu kua na Casino, wako wafanyabiashara wengi tu wasiokua na elimu ata hiyo ya form six, mfano kina Said Bakheresa, kwa hiyo kuwa na Casino sio sababu ya msingi hapa.
FM said:
2. Mkuu I grew up with the guy, nimemuona akisoma Ihungo, akipanda treni kwenda shule, wakati huo Mbowe Hotels ikiendeshwa na kaka yake Marx, baadaye ilikuwa under Sudi Space 19000, ndipo Freeman aliporudi kutoka shule na kuanza kufanya kazi BOT, huku akijishughulisha na Hotel ikiwa ni pamoja na kusafirisha Mananasi kupeleka Uarabuni, haikupita muda mkuu akaenda Uk na kununua vyombo vyake vya kisasa vya Disco, kabla hajarudi mjini Sudi na kundi lake wakaahamia Margott, na Freeman akafungua rasmi Disco lake la RSVP pale Mbowe Hotels na ndio kwa mara ya kwanza Marehemu Baba yake anamuachia kuiendesha ile Hotel, Disco na Guest House, huku Free akiendelea na kupeleka mananasi Uarabuni tena sasa akikodi ndege nzima, this is in the late 80s,

Mwanzoni mwa 90s, Free akaamua kuiongeza na kuwa Casino na Club, ni hii renovation ndiyo iliyompa nafasi Mkuu wangu Joe Kusaga, kuweka vyombo vyake vya nyumbani pale Motel Agip as an alternative ya kufungwa kwa matengenezo kwa Mbowe Hotels, na mpaka Joe kuhamia Leaders club na kuchana mpaka leo Clouds Prime Time, hatimaye Free kufungua tena sasa ikiwa Casino, sio Hotel tu, tena this time ikawa na Hard-Rock Cafee, sasa haya yote ameyafanya akiwa mbongo wa kwanza, hakuna urithi wala utapeli mkuu, kuna tulioshuhudia all this mkuu, na hatutasita kusema ukweli,

Sasa ndio unaongea...muamba ngozi... Haya mambo ya "Mkuu mkuu" kwanza yanatokea wapi? uchagani? Sasa ninakuelewa vizuri sana, sio wewe peke yako, mko wengi JF. Eti ulipomwangalia machoni ukamuona kweli anauchungu na nchi..kwi kwi kwi, Hapa tunaongea kuendesha nchi, si biashara au urafiki
FM said:
3. Now back to the ishu ya elimu yake, mimi ninasema kuwa it took Hitler na whatever he was, kuikomboa Germany to what Germany is today, tumekuwa na viongozi wengi wenye elimu kubwa, na ndio waliotufikisha hapa tulipo, sasa wakati umefika kwa wabongo kukaa chini na kukubali kuwa viongozi wote waliotangulia wametufikisha pabaya, pamoja na elimu zao zote kubwa,
Ushauri...lets experiment with this one??
 
Mkuu acha kujiabisha, aliyekuwa akipita pale posta mjini Dar na kuangalia hali ya usafiri na kuamuru dala dala na vipanya kwa mara ya kwanza alikuwa ni Sokoine bro, sisi tulikuwa mjini huenda hukuwepo umesimuliwa tu, Mwinyi alizikuta zipo!

mkuu sisi tuliomuona Sokoine pale posta akipita kwa mguu na kuangalia mwenyewe matatizo ya usafiri karibu wiki nzima, na badaye zikaja dala dala akiwa bado waziri mkuu, vipi ulikuja lini mijini?

Mkuu FMES,
Nashukuru kwa kunifanya mimi kuwa wa kuja na wewe pekee ndie uliyekulia kwenye traffic lights. Ila tusitunge story na kuzifanya kuwa ni facts.

Dala dala zilianza zenyewe mwaka 1983 kutokana na UDA kutotosheleza mahitaji, na zikawa zikikamua watu TShs. 5 au dala kama ilivyokuwa inaitwa mitaani. Hilo la Sokoine kuzisimamia sijui umelitoa wapi maana kama angefanya hivyo, hii industry ingeendelea siku nyingi sana. Badala yake wakati wake iliendelea kuwa biashara haramu hadi Mzee Mwinyi alipotangazia umma rukhsa ya kufanya biashara. Sokoine alishindwa kutofautisha entrepreneurship na uhujumu wa uchumi na kuhangaisha sana wafanyabiashara.
 
Hivi ni kweli unategemea mimi nijibu hizo hoja za pumba? Vipi ya Hitler yamewashinda? Sioni hoja hata moja zaidi tu ya emotions tena ambazo ni very low mind!
 
Hivi ni kweli unategemea mimi nijibu hizo hoja za pumba? Vipi ya Hitler yamewashinda? Sioni hoja hata moja zaidi tu ya emotions tena ambazo ni very low mind!

hahahaha sawa mkuu nakwaminia,ukiamua umeamua ukikataa umekataa nakwaminia.
 
Hivi ni kweli unategemea mimi nijibu hizo hoja za pumba? Vipi ya Hitler yamewashinda? Sioni hoja hata moja zaidi tu ya emotions tena ambazo ni very low mind!

Wewe to cut and paste ndio umeona hoja..Subiri wakuunge mkono Wakuu wenzako
 
Back
Top Bottom