Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

Hii simulizi kwa wengine ni kama ndoto vile.
 

HAPO INACHANGANYA SANA. HATA SISI TUNAPENDA KWENDA KUISHI HUKO.
 
We dogo hizo akili zako kama unadhani watu wakipenda nchi basi ni sababu ya dini unapindi ukapime akili.

Watu wanapenda ushetani kuliko uhalali duniani. We huoni zinaa inavyo pendwa ni halali hiyo? Huoni ribaa inavyo pendwa ni halali hiyo.

US lazima ipendwe sababu kila upumbafu uko huko, we kama mlevi uta enjoy kule, kama mvuta bangi au mtumia ma drugs kule ni peponi, we kama gay huko umefika lazima watu wataipenda tu US.

Mtu mwenye dini yake ataipenda nchi ilio tulia hakuna zina au ulevi.

Hio Saud Arabia sasa hivi wazungu wananza kupeleka utamaduni wao wa ushoga, drugs na zina karibu watu watanza kwenda Saud Arabia badala ya Thailand hahaha. Watu wanapenda uchafu na ushetani hauwendi bila uchafu.
 
Kwa ivo Marekani hakuna watu watakatifu...??
Leo hii ukienda Marekani ukataka kuona mwanaume mwenzio utampata,ukitaka kuona Mbwa ruksa,ukitaka,kuolewa kama wewe ni mwanaume utaolewa.Yote hayo yanafanyika waziwazi kabisa na katiba Yao inaruhusu.
 
Siku zote vitu vya shetani vinakimbiliwa. Mfano waseme Kuna sehemu wanawake wanaocheza uchi au wanafanya ngono hadharani watu wengi watatamani kwenda ingawa ni haramu Tena wengine utakuta ni watumidhi wa Mungu.
 
Jibu rahisi tu. Mambo ya kishetani ndiyo yenye kuvutia zaidi watu hapa duniani. Si unaona hata night clubs....
Kwenda night club sio dhambi mbele za mwenyezi Mungu, sasa mtu akienda night club hapo utasemaje kafanya dhambi ni dini ndizo zimekuja kupotosha mambo.

Dini zinadanganya sana watu, sasa ukienda night club kisha baadae ukajiondokea ukarudi zako nyumbani hapo utakuwa umemkosea Mungu nini.

Unapomfanyia mwenzako kile ambacho wewe hupendi ufanyiwe hapo ndipo utakua umetenda dhambi, tofauti na hapo ni porojo tu za dini ambazo zimeletwa na wanadamu na sio Mungu.

Eti dini zinataka watu wavaeje na hata majina watumie majina gani na hata waowe wake wangapi kisha wanadai eti ni maagizo ya Mungu..!! Uongo mtupu na kutapeli watu kiakili.
 

kwani hujui kazi ya shetani jombi?
shetani kazi yake kukushawishi ufanye kitu opposite na Mungu anavyotaka...usinywe pombe yeye anakwambia kunywa,usidhini yeye anakwambia peleka moto,usiibe yeye anakwambia ibia wajinga hao,usiende USA ushetani ndo ulipozaliwa kule shetani mwenyewe anakwambia wacheni ufala nyie njooni huku Amerika tuendeleze ushoga ndo mpango mzima
 
Ni kheri nikaishi nchi za kiislamu kuliko huko, huko ni kwenda kutembea tu
 
Leo hii ukienda Marekani ukataka kuona mwanaume mwenzio utampata,ukitaka kuona Mbwa ruksa,ukitaka,kuolewa kama wewe ni mwanaume utaolewa.Yote hayo yanafanyika waziwazi kabisa na katiba Yao inaruhusu.
Mbona hata Africa Kusini haya yote yanaruhusiwa??
 
Wafia dini hapa watakupiga mawe vibaya sana kwa hili
 
Ni kheri nikaishi nchi za kiislamu kuliko huko, huko ni kwenda kutembea tu
Wewe ni mnafiki tu, mbona hujaenda Afghanistan, Yemen au hata Iran na kwanza watakufukuza kwamba wewe ni nyani na tena kafiri usiyestahili raha ya mabikra 72 wa akhera.
 
Kwann watanzania wanatamani kwenda dar es Salaam wakati kila aina ya uchafu inaanzia na ipo ya kutosha kuanzia lbgt+ mpaka mauwaji, utekaji nk?
 
Ndo maana idadi kubwa ya wanadamu wanatamani mambo ya dunia hii ambayo yamejaa marekani
 
Wewe ni mnafiki tu, mbona hujaenda Afghanistan, Yemen au hata Iran na kwanza watakufukuza kwamba wewe ni nyani na tena kafiri usiyestahili raha ya mabikra 72 wa akhera.

Ushawahi kusikia mtu yeyote katika nchi za kiarabu akimwambia mtu mweusi ni NYANI! Ewe msemaji wa mzayuni na mmarekani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…