Uchaguzi 2020 Kama Mbowe anataka Membe ndio agombee urais ina maana hamuamini kabisa Tundu Lisu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.

Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?

Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mbona una wasiwasi sana? If anything, nadhani lengo lao limetimia.[emoji3]
Huu ni wakati wa upanzani kuachiwa nchi maana anagombea upinzani mtu wao

"CCM ITAANGUSHWA NA WANA CCM"JKN
 
Lumumba mbona mnahangaika sana leo?!
 
Don't panic. Mbona JK alimtaka Membe na kete akachukua JPM? Acheni demokrasia ndani ya chama ifanye kazi. Kuna ubaya gani Membe kuchukua form ya urais ndani ya chama? Hayo ni mazungumzo tu. Uteuzi wa mgombea wa chama kwa ngazi ya urais bado. Wana CCM msihahe. Mjali mambo yenu.
 
Buashee mpiga ramli. I will keep your ass in a guess fosho. Na nyie mtawakandamiza watanzania hadi lini? GTFOH!
Tundu Lisu arudi zake Nccr mageuzi kwani mfupa uliowashinda Selasini na Komu yeye atauweza?!
 
Don't panic. Mbona JK alimtaka Membe na kete akachukua JPM? Acheni demokrasia ndani ya chama ifanye kazi. Kuna ubaya gani Membe kuchukua form ya urais ndani ya chama? Hayo ni mazungumzo tu. Uteuzi wa mgombea wa chama kwa ngazi ya urais bado. Wana CCM msihahe. Mjali mambo yenu.
Yaliyomkuta Dr Slaa ndio yanamkuta Tundu Lisu!
 
Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.

Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?

Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani vipi??
 
Mbona mnahangaika kama kuku anayetaka kutaga kwa Mara ya kwanza?
 
Back
Top Bottom