johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sina wasiwasi bwashee..... Ila Tundu Lisu mtamuonea hadi lini wapendwa?!Mbona una wasiwasi sana? If anything, nadhani lengo lao limetimia.😀
Huu ni wakati wa upanzani kuachiwa nchi maana anagombea upinzani mtu waoMbona una wasiwasi sana? If anything, nadhani lengo lao limetimia.[emoji3]
Hapa nilipo na Ufipa siyo mbali bwashee..... Vijana wamevurugwa!Aliyekuambia uongozi wa juu unamtaka Membe nani? Mnajazana ujinga huko halafu mnakuja kupima upepo hapa.
Hahahaaaa....... Manka msiache mbachao kwa msala upitao!johnthebaptist unatokwa na mate kwa harufu ya papa inayochomwa nyumba ya jirani.
Heka heka za pale Ufipa leo mnaweza kugawana mbao huko mbele!Lumumba mbona mnahangaika sana leo?!
Buashee mpiga ramli. I will keep your ass in a guess mode fosho. Na nyie mtawakandamiza watanzania hadi lini? GTFOH!Sina wasiwasi bwashee..... Ila Tundu Lisu mtamuonea hadi lini wapendwa?!
Tundu Lisu arudi zake Nccr mageuzi kwani mfupa uliowashinda Selasini na Komu yeye atauweza?!Buashee mpiga ramli. I will keep your ass in a guess fosho. Na nyie mtawakandamiza watanzania hadi lini? GTFOH!
Wapashe kabisa. Maana wana viherehere sana. Kwao kunaungua moto, wanarusha mkaa kwenu.Aliyekuambia uongozi wa juu unamtaka Membe nani? Mnajazana ujinga huko halafu mnakuja kupima upepo hapa.
Yaliyomkuta Dr Slaa ndio yanamkuta Tundu Lisu!Don't panic. Mbona JK alimtaka Membe na kete akachukua JPM? Acheni demokrasia ndani ya chama ifanye kazi. Kuna ubaya gani Membe kuchukua form ya urais ndani ya chama? Hayo ni mazungumzo tu. Uteuzi wa mgombea wa chama kwa ngazi ya urais bado. Wana CCM msihahe. Mjali mambo yenu.
Dodoma yote kijani!Wapashe kabisa. Maana wana viherehere sana. Kwao kunaungua moto, wanarusha mkaa kwenu.
Kwani vipi??Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona mnahangaika kama kuku anayetaka kutaga kwa Mara ya kwanza?Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.
Maendeleo hayana vyama!
Tundu has payed an ultimate price for the party! Huwezi kumfananisha na hao kina Selasini na Komu. Mvua na jua.Tundu Lisu arudi zake Nccr mageuzi kwani mfupa uliowashinda Selasini na Komu yeye atauweza?!