Kama Mbowe anaweza kuonewa. Je, mimi na Wewe tuko Salama?

Kama Mbowe anaweza kuonewa. Je, mimi na Wewe tuko Salama?

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
Mbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa kifedha au tusiokuwa na majina.

Kesi hizi za kubambika zimewaweka watu wangapi jela au kuvuruga Maisha yao? Maana kila kona Polisi na TAKUKURU, na TRA wanalalamikiwa kwa manyanyaso ya kuwafunga na hata kuwafilisi watu wasiokuwa na hatia Nyendo zinaonyesha haya ni mambo ya Polisi. Je nini ifanyike ili nchi yetu iwe nchi ya haki? maana hapa tunachokiona ni uonevu na dhulma

Je kama Mbowe anaweza kuonewa, vipi mimi na wewe?
 
Tupo salama maana mimi ni mimi na wewe ni wewe wala Mbowe si wewe wala mimi
 
Mbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa kifedha au tusiokuwa na majina.

Kesi hizi za kubambika zimewaweka watu wangapi jela au kuvuruga Maisha yao? Maana kila kona Polisi na TAKUKURU, na TRA wanalalamikiwa kwa manyanyaso ya kuwafunga na hata kuwafilisi watu wasiokuwa na hatia Nyendo zinaonyesha haya ni mambo ya Polisi. Je nini ifanyike ili nchi yetu iwe nchi ya haki? maana hapa tunachokiona ni uonevu na dhulma

Je kama Mbowe anaweza kuonewa, vipi mimi na wewe?
Dogo Mtwara kimemkuta nini?
 
Je kama Mbowe anaweza kuonewa, vipi mimi na wewe?
Jibu ni hapana angalia Mtwara kwenye tukio la sindano ya sumu.
damedamn.png
 
Kuna sehemu za utáni, na sehemu za kutafakari kwa undani
Binafsi nasema tupo salama kwa nini mbowe mmoja atupe hofu zaidi ya Watu 60M.
Yaani Mtu mmoja apime mamilioni kiusalama.
 
Policcm hawa ambao wakikukuta na shilingi wako teyari kukumaliza. Hatuko salama
Wanatisha na wanaogopesha kwa sasa. Watu wanazidi kupoteza imani nao kwa tamaa zao za fedha, vyeo na utajiri wa haraka.
Kimsingi hakuna aliye salama kwa matukio yanayoendelea... Leo ikipita salama unamshukuru Mungu maana kesho hakuna mwenye uhakika nayo hususan kwa watafutaji kwenye "mifugo, madini na majini!"
 
Mm na wewe ni maiti zinazotembea. Ndiyo maana hatuoni uonevu tunaotendewa mpk Sasa.
 
Ni dhahiri kuwa kwa sasa hakuna aliye salama. Hadi walinzi wa usalama, raia na amani nao wamewekwamo mule mule...
 
Mimi niko salama usalimini. Kama ni issue ya uonevu huo upo duniani kote, hata huko USA watu weusi bado wanaonewa mpka leo! Huwezi kuweka maisha yetu kwenye jicho la mbowe, he is a mere dude just any other.
 
Binafsi nasema tupo salama kwa nini mbowe mmoja atupe hofu zaidi ya Watu 60M.
Yaani Mtu mmoja apime mamilioni kiusalama.
Huenda hata maisha yako Niya kufunga unga kwa haya unayoongea.
 
Back
Top Bottom