Kama Mbowe anaweza kuonewa. Je, mimi na Wewe tuko Salama?

Kwanini usipite kimya ? Ushabiki wa ki shule za kata dv 4 pereka Lumumba
Kwa nini mleta uzi anatuuliza?
Hivyo kila mtu anatoa maoni yake kama hatajakupendeza kwa nini usikae kimya upite kushoto kwenye comment yangu.
 
Mbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa kifedha au tusiokuwa na majina.

Kesi hizi za kubambika zimewaweka watu wangapi jela au kuvuruga Maisha yao? Maana kila kona Polisi na TAKUKURU, na TRA wanalalamikiwa kwa manyanyaso ya kuwafunga na hata kuwafilisi watu wasiokuwa na hatia Nyendo zinaonyesha haya ni mambo ya Polisi. Je nini ifanyike ili nchi yetu iwe nchi ya haki? maana hapa tunachokiona ni uonevu na dhulma

Je kama Mbowe anaweza kuonewa, vipi mimi na wewe?
Hatupo salama kabisa tunahitaji katiba mpya ili siku moja wale wote walihusika kuumiz watu wachukuliw hatua kali
 
Mbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa kifedha au tusiokuwa na majina.

Kesi hizi za kubambika zimewaweka watu wangapi jela au kuvuruga Maisha yao? Maana kila kona Polisi na TAKUKURU, na TRA wanalalamikiwa kwa manyanyaso ya kuwafunga na hata kuwafilisi watu wasiokuwa na hatia Nyendo zinaonyesha haya ni mambo ya Polisi. Je nini ifanyike ili nchi yetu iwe nchi ya haki? maana hapa tunachokiona ni uonevu na dhulma

Je kama Mbowe anaweza kuonewa, vipi mimi na wewe?
SISI TUNAWEZA HATA KUCHINJWA PALE POSTA KWENYE PICHA YA ASKARI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom