Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Kuna sehemu za utáni, na sehemu za kutafakari kwa undaniTupo salama maana mimi ni mimi na wewe ni wewe wala Mbowe si wewe wala mimi
Kuna sehemu za utáni, na sewhemu za kutafakari kwa undani
Dogo Mtwara kimemkuta nini?Mbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa kifedha au tusiokuwa na majina.
Kesi hizi za kubambika zimewaweka watu wangapi jela au kuvuruga Maisha yao? Maana kila kona Polisi na TAKUKURU, na TRA wanalalamikiwa kwa manyanyaso ya kuwafunga na hata kuwafilisi watu wasiokuwa na hatia Nyendo zinaonyesha haya ni mambo ya Polisi. Je nini ifanyike ili nchi yetu iwe nchi ya haki? maana hapa tunachokiona ni uonevu na dhulma
Je kama Mbowe anaweza kuonewa, vipi mimi na wewe?
Jibu ni hapana angalia Mtwara kwenye tukio la sindano ya sumu.Je kama Mbowe anaweza kuonewa, vipi mimi na wewe?
🤣🤣sijui ni njaa au vipiPoliccm hawa ambao wakikukuta na shilingi wako teyari kukumaliza. Hatuko salama
Utayeyuka fastaaaKama wanaifanyia hivyo miti mibichi, na mikavu je?
Watu wamefika mahali wanatembea na Poronium daaahJibu ni hapana angalia Mtwara kwenye tukio la sindano ya sumu.
View attachment 2098878
Mbali na kukatwa tozo, maisha yako pia yanakatizwa.Watu wamefika mahali wanatembea na Poronium daaah
Binafsi nasema tupo salama kwa nini mbowe mmoja atupe hofu zaidi ya Watu 60M.Kuna sehemu za utáni, na sehemu za kutafakari kwa undani
Wanatisha na wanaogopesha kwa sasa. Watu wanazidi kupoteza imani nao kwa tamaa zao za fedha, vyeo na utajiri wa haraka.Policcm hawa ambao wakikukuta na shilingi wako teyari kukumaliza. Hatuko salama
Kwanini usipite kimya ? Ushabiki wa ki shule za kata dv 4 pereka LumumbaBinafsi nasema tupo salama kwa nini mbowe mmoja atupe hofu zaidi ya Watu 60M.
Yaani Mtu mmoja apime mamilioni kiusalama.
Huenda hata maisha yako Niya kufunga unga kwa haya unayoongea.Binafsi nasema tupo salama kwa nini mbowe mmoja atupe hofu zaidi ya Watu 60M.
Yaani Mtu mmoja apime mamilioni kiusalama.