Kwa nini mleta uzi anatuuliza?Kwanini usipite kimya ? Ushabiki wa ki shule za kata dv 4 pereka Lumumba
SwadakitaHuenda hata maisha yako Niya kufunga unga kwa haya unayoongea.
[emoji1787][emoji1787]sijui ni njaa au vipi
Hatupo salama kabisa tunahitaji katiba mpya ili siku moja wale wote walihusika kuumiz watu wachukuliw hatua kaliMbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa kifedha au tusiokuwa na majina.
Kesi hizi za kubambika zimewaweka watu wangapi jela au kuvuruga Maisha yao? Maana kila kona Polisi na TAKUKURU, na TRA wanalalamikiwa kwa manyanyaso ya kuwafunga na hata kuwafilisi watu wasiokuwa na hatia Nyendo zinaonyesha haya ni mambo ya Polisi. Je nini ifanyike ili nchi yetu iwe nchi ya haki? maana hapa tunachokiona ni uonevu na dhulma
Je kama Mbowe anaweza kuonewa, vipi mimi na wewe?
SISI TUNAWEZA HATA KUCHINJWA PALE POSTA KWENYE PICHA YA ASKARIMbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa kifedha au tusiokuwa na majina.