Mwaka 2015 wakati Lowassa anaenguliwa kugombea urais ndani ya CCM ukumbi mzima ulilipuka na kuanza kuimba 'Tunaimani na Lowassa' maana 80% ya Wenyeviti wa mikoa CCM walikuwa upande wake.
Lakini baada ya Magufuli kuteuliwa kugombea wote waliokuwa upande wa Lowassa walitangaza kuvunja kambi na kumuunga mkono Magufuli.
Kwa ustawi wa chama, baada ya Mbowe kutangaza kung'atuka (kitu ambacho ni obvious), wajumbe wote waliokuwa upande wa M/Kiti Mbowe kuanzia Wenyeviti wa Mikoa, Wilaya vivyo hivyo kwa wanachama mnatakiwa kuvunja kambi zenu na kumuunga mkono Lissu kwa maslahi mapana ya chama, vinginevyo mtagawana mbao.
***Asubuhi njema na tafakuri njema wakati dunia ikisubiri kwa hamu tamko la Mwenyekiti.