Kama Mbowe atatangaza kustaafu, Wajumbe wote mnatakiwa kumuunga mkono Lissu

Mwaka 2015 wakati Lowassa anaenguliwa kugombea urais ndani ya CCM ukumbi mzima ulilipuka na kuanza kuimba 'Tunaimani na Lowassa' maana 80% ya Wenyeviti wa mikoa CCM walikuwa upande wake.

Lakini baada ya Magufuli kuteuliwa kugombea wote waliokuwa upande wa Lowassa walitangaza kuvunja kambi na kumuunga mkono Magufuli.

Kwa ustawi wa chama, baada ya Mbowe kutangaza kung'atuka (kitu ambacho ni obvious), wajumbe wote waliokuwa upande wa M/Kiti Mbowe kuanzia Wenyeviti wa Mikoa, Wilaya vivyo hivyo kwa wanachama mnatakiwa kuvunja kambi zenu na kumuunga mkono Lissu kwa maslahi mapana ya chama, vinginevyo mtagawana mbao.

***Asubuhi njema na tafakuri njema wakati dunia ikisubiri kwa hamu tamko la Mwenyekiti.
Boni Yai, Yericko na Ntobi watafute kazi zingine. Haya ndiyo madhara ya uchawa.Wasiyemtaka kaja.
 
Ndio maana nikasema hata kama wanafanya ujanja wa kujifanya wanataka sitaki, twende nao hivyo hivyo.
Hatua inayofuata ni Katibu Mkuu au hata Mwenyekiti wa CCM kumsifia Mbowe kuwa ni kiongozi mahili ambae ameshirikiana nao vizuri katika kuleta amani na mshikamano katika nchi.

Amandla...
 
Lissu angetaka kuukwaa uewenyekiti ki ulaini asingetumia approch kama hiyo - kuanza kuwashambulia viongozi wenzake kwa tuhuma ambazo ni za ki jumla jumla wakati yeye pia akiwa miongoni mwa hao hao watoa maamuzi wa chama.

Sasa mtu kama huyo unamwamini vipi kumkabishi taasisi nyeti kama CDM.

Ni hivi, mwenyekiti mpya ajaye wa CDM either katika uchaguzi huu au ama ujao ni LAZIMA apate baraka toka kwa Mwemyekiti wa sasa Mbowe, yaani hata kama hujui siasa ila hili ni la wazi kabisa.

Kwa hiyo Lissu kama hatapata baraka zote za Mh. Mbowe katika hili jambo lake alilotangaza basi ausahau uwenyekiti kabisa sababu hatapata kura hata 15.
Kwa mtu anayefuatilia siasa za Tz kwa umakini, atakuwa anamfahamu Mbowe na Lissu vizuri sana.

Kwa mtu anayewafahamu hawa viongozi wawili, naamini atakuwa na uhakika wa Lissu kushauriana na Mbowe kuhusu ugombeaji wa nafasi ya uenyekiti.

Kwa hayo mawili ya hapo juu,nahitimisha kwa kuamini kuwa Lissu amepata baraka zote za Mbowe kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CDM - Taifa.
 
Mwaka 2015 wakati Lowassa anaenguliwa kugombea urais ndani ya CCM ukumbi mzima ulilipuka na kuanza kuimba 'Tunaimani na Lowassa' maana 80% ya Wenyeviti wa mikoa CCM walikuwa upande wake.

Lakini baada ya Magufuli kuteuliwa kugombea wote waliokuwa upande wa Lowassa walitangaza kuvunja kambi na kumuunga mkono Magufuli.

Kwa ustawi wa chama, baada ya Mbowe kutangaza kung'atuka (kitu ambacho ni obvious), wajumbe wote waliokuwa upande wa M/Kiti Mbowe kuanzia Wenyeviti wa Mikoa, Wilaya vivyo hivyo kwa wanachama mnatakiwa kuvunja kambi zenu na kumuunga mkono Lissu kwa maslahi mapana ya chama, vinginevyo mtagawana mbao.

***Asubuhi njema na tafakuri njema wakati dunia ikisubiri kwa hamu tamko la Mwenyekiti.

Tuko miliman tumefunga kwa maombi tunasubiri Kona moshi mweupe, lissu akiibuka mshindi
 
Kwa mtu anayefuatilia siasa za Tz kwa umakini, atakuwa anamfahamu Mbowe na Lissu vizuri sana.

Kwa mtu anayewafahamu hawa viongozi wawili, naamini atakuwa na uhakika wa Lissu kushauriana na Mbowe kuhusu ugombeaji wa nafasi ya uenyekiti.

Kwa hayo mawili ya hapo juu,nahitimisha kwa kuamini kuwa Lissu amepata baraka zote za Mbowe kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CDM - Taifa.
Afadhali uwafumbue macho machawa wa cdm na ccm
Siasa ni sayansi, siasa ni akili

Mbowena lisu wamekubaliana
 
Haya tupe uchambuzi wako. ukisikia kuwa mbowe hagombei na ndo ameridhia lissu achukue form

Hizi Habari si zitamlaza mama Abdul nagenge lake na viatu
nimeeleza bayana hapo juu, kwamba Mbowe asipogombea uenyekiti,

Tundu Lisu atapigiwa kura nyingi mno kupindukia za hapana,

na kwahivyo hatakua mwenyekiti wa chadema Taifa, na italazimika Mbowe kuendelea na wadhifa huo wa mwenyekiti, mpka pale itakapotangazwa vinginevyo 🐒
 
Unaota kaka, moyoni wajumbe wengi wanamkubali lissu
 
Lisu apigiwe kura ya hapana ikiwa mbowe atatangaza kustaafu,

na kwa hivyo Lisu akibaki pekeyake ulingoni, inafaa akataliwe kwa kura ya hapana, maana haukuna namna nyingine sasa ya kidemokrasia :pedroP:
Yuko mtu anaitwa Odero hata kama Freeman Mbowe hatagombea...

Huko kwa wenzenu (CHADEMA) hawako kama nyie huko kwenye kijani chenu - CCM ambako Mwenyekiti wa chama hujiteua halafu anawaita na kuwaambia nipigieni kura ya HAPANA au NDIYO...

Wakati mnapiga kura hiyo, mnakuwa mesimamiwa na mitutu ya bunduki na macho mekundu ya askari waliokula bhangi kuhakikisha hakuna fala wa kijani hata mmoja wa kupiga ya HAPANA na mwisho eti Mwenyekiti kapata kura asilimia 💯 💯 💯 💯 💯

Aisee, huu ni uchizi, kutojitambua na ujinga uliovuka mipaka ya ujinga na kuwa upumbavu kwa mi-CCM yote inayoburuzwa kama kondoo waendao kula kisu...!!
 
walikuwa hawana any other option ya keho ya matumbo yao! short of that hakuna ambaye angelikubli kwenda kwa Magufuli....
VIvyo hivyo wapambe wa Mbowe sio kwamba wanampenda Mbowe kama Mbowe, bali Mbowe awalishaye kwa mirija ya dola.
Usijifanye mjinga, mikono mitupu hailambwi na machawa
 
Kwa mtu anayefuatilia siasa za Tz kwa umakini, atakuwa anamfahamu Mbowe na Lissu vizuri sana.

Kwa mtu anayewafahamu hawa viongozi wawili, naamini atakuwa na uhakika wa Lissu kushauriana na Mbowe kuhusu ugombeaji wa nafasi ya uenyekiti.

Kwa hayo mawili ya hapo juu,nahitimisha kwa kuamini kuwa Lissu amepata baraka zote za Mbowe kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CDM - Taifa.
 
nimeeleza bayana hapo juu, kwamba Mbowe asipogombea uenyekiti,

Tundu Lisu atapigiwa kura nyingi mno kupindukia za hapana,

na kwahivyo hatakua mwenyekiti wa chadema Taifa, na italazimika Mbowe kuendelea na wadhifa huo wa mwenyekiti, mpka pale itakapotangazwa vinginevyo 🐒
Wewe ni kyima wa lumumba, tunakujua, una njaa kali, bwana maslahi, mtu mjinger na mpumbav kuliko hata upumbav wlwenyewe🤣🤣🤣
 
Gentleman,
mambo ya kitaalamu saa zingine yana kera na kuchefua watu sana, japo ndio ukweli mahususi..

hata hivyo,
hekima na busara ni mambo muhimu zaidi ili hatimae kujifunza na kuongeza uelewa na ufahamu wa mambo haya,

mihemko, ghadhabu na makasiriko vitakuchelewesha tu na kufanya wadau wakutambue kama mtu ambae ni zero IQ 🐒
 
Yuko mtu anaitwa Odero hata kama Freeman Mbowe hatagombea...

Huko kwa wenzenu (CHADEMA) hawako kama nyie huko kwenye kijani chenu - CCM ambako Mwenyekiti wa chama hujiteua halafu anawaita na kuwaambia nipigieni kura ya HAPANA au NDIYO...

Wakati mnapiga kura hiyo, mnakuwa mesimamiwa na mitutu ya bunduki na macho mekundu ya askari waliokula bhangi kuhakikisha hakuna fala wa kijani hata mmoja wa kupiga ya HAPANA na mwisho eti Mwenyekiti kapata kura asilimia 💯 💯 💯 💯 💯

Aisee, huu ni uchizi, kutojitambua na ujinga uliovuka mipaka ya ujinga na kuwa upumbavu kwa mi-CCM yote inayoburuzwa kama kondoo waendao kula kisu...!!
Gentleman,
elezea wadau wa JF not me,

maoni na mtazamo wangu kitaalamu ni kama nilivyoeleza hapa juu,
kwamba Lisu atapigiwa kura za hapana kwa kishindo kikuu, na kwahivyo chairman Mbowe ataendelea kua kiongozi wa chadema mpaka pale itakapotangazwa vinginevyo..

masuala ya vyama tofauti na chadema iliyogawanyika, nitaeleza kwenye majukwaa mengine 🐒
 
Back
Top Bottom