Kama Mbowe na Marafiki zake wamegharamia Mkutano mkuu wa Chadema mbona mizigo ya Wajumbe imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yalipwe?

Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe

Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?

Jumaa Mubarak πŸ˜‚

Nimekaa pale 🐼
Wee jamaaa ni mbeaaa,kwa jf unaweza kuwa unaongoza kwa upande wa Tanganyika,mange kimambi ni wifi yako? Mbowe ana mke na ni mkristo hawezi kukuoa ili uwe nyumba ndogo
 
Saa100 naye ataiachia nchi madeni makubwa na mikataba mibovu! Vumilieni sindano iwaingie
 
Labda mbowe amezira kulipa baada ya kushindwa, wajumbe watajilipia wenyewe
 
Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe

Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?

Jumaa Mubarak πŸ˜‚

Nimekaa pale 🐼
Itakuwa bada ya kuliwa kichwa, bwana Mbowe kagoma kuwalipia wajumbe malazi. Walipe wenyewe. πŸ˜›
 
Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe

Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?

Jumaa Mubarak πŸ˜‚

Nimekaa pale 🐼
Jo endelea kukaa hapo hadi fweza zimwagwe kutoka kwa jirani mbaya.Jirani mbaya yupo tayari kuongeza sifuri kwenye bili za wajumbe ili aonewanavyoshindwa kulipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…