Kama Mgunda anaokoteza wachezaji na anapata matokeo angekuwa na akina Babacar, Chama, Kibu, Saido ingekuwaje?

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nimejaribu kuangalia mechi ya Simba na Namungo kule Ruangwa ambako nilikwenda kushuhudia live mtanange huo, nikaangalia Simba vs Mtibwa na jana Simba vs Tabora naona wachezaji wanaotumika ni wa kawaida mno lakini Simba inapata matokeo chini ya Mgunda, kwa mfano kule Namungo nilivyoona listi na wachezaji waliopo benchi nikasema mh Mgunda kapewa zigo la mavi, wachezaji hawa wamfunge Namungo, lakini mpira ulipigwa na bahati mbaya jamaa wakasawazisha mwishoni.

Gemu na Mtibwa nako hivyo hivyo wachezaji sio wale tuliokuwa tunawategemea kama akina Chama ambaye amefungiwa, Kapombe, Inonga, Micquisone, Onana, Babacar, Saido na hata Kibu lakini timu ikashinda, jana tena na Tabora ndio ilikuwa balaa kila nikiangalia wachezaji wa kikosi cha kwanza na kule benchi sipati picha, benchi wa maana ni Karabaka tu.Yaani Mzamiru jana alikuwa akicheza namba 10!

Kama Simba itaingia dimbani na wachezaji wale waliocheza vs Tabora nna uhakika Azam watatufanyia mauaji.
 
Jamaa nae pombe tu mpira sio matako ya akina posh queen mpira sio kama unavyodhihaki hao unao wazarau wamecheza na team nzur na wamepat matokeo hata huyo azam atapigik tu azam ndo nani hapa bongo
 
Sasa mara wachezaji wa kuokoteza ila wana perform mara wakiingia hao wa kuokoteza kwenye mechi ya Azam itakua mauaji ya shorobera Kwa Simba tukuelewe vipi mbumbumbuzzzz.
Wapigwe sana.
 
Nimejaribu kuangalia mechi ya Simba na Namungo kule Ruangwa ambako nilikwenda kushuhudia live mtanange huo, nikaangalia Simba vs Mtibwa na jana Simba vs Tabora naona wachezaji wanaotumika ni wa kawaida mno lakini Simba inapata matokeo chini ya Mgunda, kwa mfano kule Namungo nilivyoona listi na wachezaji waliopo benchi nikasema mh Mgunda kapewa zigo la mavi, wachezaji hawa wamfunge Namungo, lakini mpira ulipigwa na bahati mbaya jamaa wakasawazisha mwishoni.

Gemu na Mtibwa nako hivyo hivyo wachezaji sio wale tuliokuwa tunawategemea kama akina Chama ambaye amefungiwa, Kapombe, Inonga, Micquisone, Onana, Babacar, Saido na hata Kibu lakini timu ikashinda, jana tena na Tabora ndio ilikuwa balaa kila nikiangalia wachezaji wa kikosi cha kwanza na kule benchi sipati picha, benchi wa maana ni Karabaka tu.Yaani Mzamiru jana alikuwa akicheza namba 10!

Kama Simba itaingia dimbani na wachezaji wale waliocheza vs Tabora nna uhakika Azam watatufanyia mauaji.
kawaokoteza wapi? wale ni wachezaji wa tim gan? be wise usiandike kwa kuwa naandika
 
Back
Top Bottom