Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

Nani alishalazimishwa kufata dini asoitaka?
 
Kwanini jamii za imani ya kikristo zionekane kama ni wavamizi, wapitaji na wageni waliokosa mwenyeji kila mara huko Zanzibar?
 

Acha porojo mkuu.. katiba yetu ni moja na ndio aheria kuu.. kama kungekuwa na shida wananchi wangeripoti, utaratibu ungefuatwa na hata kama ni kuvunja basi serikali ndo ingechukua na kisimamia hayo maamuzi. Uislam sehemu kubwa huwa siuelewi kwakweli, labda waislam wa dar ndio wastaarabu
 

Sio waonekane Kama wavamizi ni kuwa ni wavamizi wametoa roho Za watu kwa maelfu Zanzibar , Na Hakuna mkristo hata mmoja aliyeuwawa au kutiwa kilema au kunajisiwa. Yaani pori lote la Tanganyika hajapata sehemuy ya kujenga Kanisa ?
 
Hili lidhihirisha kwamba jamii ya wa zenj au waislamu au waarabu (i.e sharia zinazotumika U.A.E) ni jamii isiyokuwa na ustraabu,uvumilivu na upana wa kufikiri...
hata Quran zinahubiri chuki na ubinafsi...
 
Majority ni Waislam lakini wakristu pia wapo.Haki za minority ziheshimiwe unless ingekuwa declared ni nchi inayoongozwa kwa sharia.
Zanzibar tuna jamaa zetu wakristu wengi tu wanakaa huko kwa hiyo hiyo notion ya kuwa ni nchi ya waislamu tupa kule.

Sema zaidi ya tupa kule au tupa wapi utakapo, at the end of the day hii ni nchi yetu na tutaamua sisi wapi makanisa na mabar yatajengwa na wapi hayatajengwa. Pigeni kelele mpaka majogoo warudi nyumbani hatubadili msimamo!
 
Sio hamtaki kupotoshwa ila mnataka nyie na watoto na vizazi vyenu visiione pepo kwa mafundisho ya uongo na ya chuki..... Eti ukijilipua unaenda peponi huyo allah wenu bana aisee....
Aliyekwambia ni nani kuwa anaejilipua anakwenda peponi? Ukitaka kuwa na majadiliano ya namna hii basi kwanza pata elimu sahihi. Hakuna sehemu yeyote ile katika dini yetu inaposema kuwa ukijiua unaingia peponi. Usibabaishwe na wanaojilipua au kuwaambia wenziwao wajilipue kwa manufaa ya siasa zao na za nchi zao. Pia jihad sio kujiua bali ni KUPIGANIA dini ya kiislamu kwa hali mali na nafsi. Nimeweka neno kupigana kwa herufi kubwa kwa sababu kupigana ni tafauti na kujiua.

Allah wetu? Hivi wewe unaamini vipi kuwa yesu ni mungu aloumba ulimwengu na watu wake halafu akamfanya mtu mmoja mja mzito ili azaliwe yeye! Akili gani hizo? sasa kwa muda wa miezi tisa nani kulikuwa hakuna mungu? Hivi nyinyi mna akili za aina gani hadi mkaamini utatu? Eti m ungu ndie huyo huyo mtoto, halafu tena mungu huyo huyo eti akawaezesha watu wamuue mtoto wake, ambae ni yeye mwenyewe ili aweze kuwasamehe! WTF?
 
Dini zote ni kero
 
Mimi naona huyo jamaa aliyejenga kanisa hapo hakufanya sawa. Kwasababu asilimia 98 ya wazanzibar ni waislam. Ni hatari hata kwa maisha yake japo gharama ya ukristo ni zaidi ya uhai na mali. Kuna vitu vingine unatumia tu common sense na kupotezea.
Tanzania kuna uhuru wa kuabudu, sasa mimi nikifungua kilinge changu ni kosa kisa 90% ni watu wa dini hilo eneo. Kama dini haikuhusu pita tuu
 
kama kununua tu ardhi shida basi huo muungano unashida
 
Wadanganyika mnakimbele mbele kweli kwenda kujenga makanisa huko kuna kipindi mlikuwa mnauliwa mnapigwa lakini hamkomi...Wangetia moto makanisa yote sio Catholic wala Anglican warelax wenyewe katika ardhi yao,nyinyi mnawawekea kiwingu
 
Wadanganyika mnakimbele mbele kweli kwenda kujenga makanisa huko kuna kipindi mlikuwa mnauliwa mnapigwa lakini hamkomi...Wangetia moto makanisa yote sio Catholic wala Anglican warelax wenyewe katika ardhi yao,nyinyi mnawawekea kiwingu
Kwa steji uliyofikia wakitokea wale jamaa wa itikadi kali wakakubrainwash kidogo tu unatembeza mjegeja hata kwa familia yako.
 
Hizi dini ni ujinga mtupu
Kuna umuhimu kufuata sheria na utamaduni katika kujenga Nyumba za ibada. Serikali ya Zanzibar inafanya vizuri kuthibiti ujengaji holela wa makanisa kama ilivyo sasa hivi huko bara!! Watu wanageuza makazi yao kuwa nyumba za ibada na hivyo kuwa kero kwa Majirani yote hiyo kwa kisingizio cha kuabudu. Kuabudu bila nidhamu na mpangilio inakuwa ni fujo!! Zanzibar msiruhusu huo utitili kwani mmejionea kero zinazopatikana na haya makanisa. Uzoefu pia umeonesha kuwa haya makanisa yamekuwa biashara na mengine hujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…