Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

Lakini kwenye kutaja mataifa ya kiislamu kama umeedit hivi bro maana yako mengi na wanachnjana kweli sio utani.
Rudia kusoma nilicho andika halafu nitajie Mataifa ya Kiislamu niliyoyasahau ambayo wanachinjana kweli sio utani kama unavyosema..
 
Wanathibiti makanisa ila misikiti inajengwa kila uchochoro hapo unaona sawa? Kwenu kanisa mnaona kama nini kwa mfano ni threat kwenu?
Misikiti haijengwi tu huko chochoroni bila ya ridhaa ya wakaazi wa hizo chochoro.

Wazenji ni wakarimu sana kwa wageni wao, ongeeni nao vizuri wanaweza hata kukuachieni msikiti mkaugeuza kanisa almuhimu ridhaa ya wakaazi wa hilo eneo tu.
 

Yaani sisi kuamini utatu ndo mchome makanisa yetu? Nikiwa raisi mimi nawahamishia waislamu wote iraq na syria huko ndo kuna wenzao wasiopenda amani
 
Unaposema kero kwenye makanisa na misikiti inayojengwa kama utitiri je haileti kero?

Ni kero pale nyumba za kuishi zinapobadilishwa kuwa nyumba za ibada sehemu ambayo haikutengwa kujenga nyumba za ibada!! Kwa wale wanaoishi Dar. ni mashahidi Jinsi kero hii inavyoathiri amani ya watu kwa watu kukesha huku wakiimba kwenye makazi ya watu na hivyo kushindwa kupumzika baada ya kazi zao!! Utitili wa makanisa ya kilokole umekithiri na zaidi ya kusema wanafanya ibada wamejiingiza kwenye Biashara ya madawa ya kulevya wakishirikiana na wageni hasa wanigeria!!!
 
Zanzibar nchi nyingine mkuu , hivi Yule alisema tukiacha Zanzibar si itakua alqaida alikua nani vile?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sjajua kwanini huu uzi umenichekesha tu aisee
 
[emoji23][emoji23] masa alkhayr bwana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…