Kama mitandao ya kijamii ingekuwa inapiga Kura basi CHADEMA ingekuwa madarakani vinginevyo acheni CCM itawale

Mwaka 2020 magufuli alipigiwa kura za ndiyo siku 2 kabla ya uchaguzi mkuu. Vijana waliofanya hiyo kazi waliahidiwa kupewa 5000/= mpaka leo hawajapewa . ( ushahidi upo)
Vituo vilifunguliwa saa 9 usiku na kazi ilikuwa kutumbukiza kura kwa wagombea wa ccm
 
Hata Mungu wako aliyeko kuzimu kabla hajafa alaitamani mitandao ya simu ingefungwa yote lakini ameiacha mitandao ikiendelea kumuelezea kuwa alikuwa shujaa wa wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…