Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
πππMbona unaongea vitu vya hovyo, Hawa jamaa mbona njaa kali sana tunakaa nao na mikuki Yao ya bia kibao mara nauli, mkuu usiseme vitu ambavyo huna uhakika navyo kuwapaisha watu hawana lolote naongea kwa experience siyo hearsay!!
Uchawi huo.Nimekusoma
Ila wanakutanaga na vyuma kuna wanaume
Wengine wakishajua kinguvu hawawezi wao
Wana mshtakia mungu
Kuna mtu alikuwa mzito alikuwa anajipigia mke wa jamaa tena kibabe dharau
Mme akasoteshwa,akaamua kukaa pembeni
Yule kigogo mpk leo mtu wa kukaa kitandani tu
Sijui nn alifanyiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Upo sahihi kabisa.Wapo wengine ni ndugu zetu wana njaa kali hela hawana wanagongea hadi hela za nauli.Mbona unaongea vitu vya hovyo, Hawa jamaa mbona njaa kali sana tunakaa nao na mikuki Yao ya bia kibao mara nauli, mkuu usiseme vitu ambavyo huna uhakika navyo kuwapaisha watu hawana lolote naongea kwa experience siyo hearsay!!
Mambo mengine siwezi zungumza hapa ila machache nimesema wazazi, madogo, binamu, Kaka, dada was there and others still there don't live live with assumptions man of God
Usipime kina kwa kudumbukia, ipo siku hutaamini macho yako!!! Again don't ever trust a wamanWenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
HahahahUchawi huo.
Waafrika uchawi wetu una nguvu sana. Hivi kwanini tusitumie uchawi kuroga tuchukue kombe la dunia?
Daaah usifanye hivi mkuu, usitoe nambaWenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Ushaanza kutishiaIla tu mke wa mtu ni sumu
Unaweza ukawa na nguvu nk
Ila ukakutana na mme chuma hakubali
Utashugulikiwa hutakuja sahau
Ova
Wewe hagongi nje !!?? Mtakuja kufa kizembe ... Kujiwazisha msiyowezaMgegedewaji hatajuwa kuwa mgegedaji anatumia gegedole kumgegeda nkewe.
Yani mkeo kaliwa ndio mrejesho au mimi tuu ndio sielewi apaWale vijana kwenye ile idara kwanza ni wapole na sio wazungumzaji Sana Ila vikao vyote top vya DC au DED wanakuwepo. Na huwa hawaongei Sana ni wakimya Ila wenye nguvu za kimamlaka hatar.
Kama mke ni pis Kali wakimtaka watamla tuuuu huwezi bisha. Kwanza wanafahamika kwa uwazi kutokana na shughuli za kila siku za kiserikali halafu kitengo Chao kinaogopewa kinyama halafu kwasababu wana hela chafu na wako smart aisee nkeo piskali itakuwa tu jamaa yangu.
Hayo ndio maisha.
Mkuu tema mate chini . We ndio wakumwamin mwanamke kwa asilimia tajwa apo?? Uwiiiii....ngoja tusubir mzunguko wa dunia ukamilike π€£π€£ila ....dah ! Time will tellWenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Wale vijana kwenye ile idara kwanza ni wapole na sio wazungumzaji Sana Ila vikao vyote top vya DC au DED wanakuwepo. Na huwa hawaongei Sana ni wakimya Ila wenye nguvu za kimamlaka hatar.
Kama mke ni pis Kali wakimtaka watamla tuuuu huwezi bisha. Kwanza wanafahamika kwa uwazi kutokana na shughuli za kila siku za kiserikali halafu kitengo Chao kinaogopewa kinyama halafu kwasababu wana hela chafu na wako smart aisee nkeo piskali itakuwa tu jamaa yangu.
Hayo ndio maisha.
NIPATIE NAMBA YAKE ILA ISIWE YAKO TUU..Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Wengine hawaangalii chura, wanakula tu chochote!!Kama mke wako ana chura aka msambwanda imekula kwako
Ova
[emoji106]Kulikon mkuu, saa kumi za usiku sasa hivi, uko kitandani unawaza vitu viwili
1. Idara pendwa
2. Pisi kali ya mtu kuliwa
Mkuu maisha mepesi sana if you take it easy, na maisha ni magumu sana if you realy complicate it
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitakuwa zile suti zao ndo hela chafuEti wana hela chafu! Hela chafu ni bei gani? Ile million kasoro na posho ya katikati ya mwenzi?