Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

Malipo ni apa2 mbingun ni kuhesabiwa tyu
 

Hahahahaaaaa!
Haya mambo bwana ni shida tupu, akiwa mfanyakazi ndo hivyo. Akiwa mama wa nyumbani kuna mabodaboda na mahouseboy........yaani shida tupu. Kuna comment #3 hapo juu muhimu sana kuishi nayo katika maisha haya.

Mbunye hua hainaga ubabe aisee, ukiotewa ni ama zako ama zake

Pole, mwachishe kazi huko ukizubaa watamchukua kijumla.

Mambo yapo kinyume nyume we ukimtomba mke wa mtu na wako mtaani hachomoki lazima atombwe so ni yale yale tu

Maisha ndivyo yalivyo. Muombe Mungu akupe mwanamke mwenye hekima kwani hutakuwa naye 24/7 .

Sio mke wangu,,,akitoka kuliwa lazima nijue

Kwahyo tusiowe?


Unaweza usigonge wa mwezio lakini wako akagongwa.
Simba hawezi kukuacha msituni Lisa wewe hauli nyama ya Simba.

Nimejiuliza ni hawa ninaowajua mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watu tunadanganywa sana.

Mtu umsaliti Mumeo kisa mfanyakazi wa Idara?

Huyo Mke Uhuni ni tabia yake.

Eehee sawa! ,kwani wanaondoka nayo si wanambakizia mwenye mke,anarudi nayo nyumbani mume nae anatumia!?

Hata wake zao ni wa namna hiyo hiyo na wanakulana sana wao kwa wao hata kama wako kwenye ndoa

Kama ni wa kuliwa, ataliwa tu hata na muuza mkaa

Hata mm nimempongeza yule jamaa wa ile comment sasa ule ndio uanaume. Kama unaishi nyumba ya kupanga halafu kuna wapangaji bachelor hawana mishe za maana muda mwingi wapo magetoni ujue pia umeumia. Chamsingi kula maisha usijitie stress

Si hapo tu,mkeo akiwa ameajiriwa na ana shepu matata, jiandae kisaikolojia

Punguzeni KUOA ili MUACHANE NA MATATIZO.

Sijui ""jiandae kisaikolojia"" sijui "kitanda hakizai haramu" sijui "ukiwa ndani ya ndoa ishi maisha yako"

Sasa mnao huku mkijua kabisa Kuna Majanga kibaoo yanakuja ya nini?

Yaani unatembea porini ukijua kabisa Kuna Simba, HUYAPENDI MAISHA YAKO?

#YNWA
 
Km umemuumba mwenyewe sawa lkn km jibu ni hapana washkuru mabaharia wanaokusaidia kukulindia ndoa kpnd chote ambacho hua unakua mbal nae
 
Eti wana hela chafu! Hela chafu ni bei gani? Ile million kasoro na posho ya katikati ya mwenzi?
Wanakatwa...
 
Huyo pisi Kali hata boda boda wanawala tu Kama kawaida......na Kama hujui mwanamke kwenye gegedo anafuata wanaume wa hali ya chini. Ndio maana mwanamke akipata hela tu.....hela za jashi halali anajitafutia kamwanaume ka chini kabisa .... Angalia wanaume wenye hela wote ndoa zao zikifa wanawake wao wanaenda kwa watu gani......? [emoji38][emoji38] Siongelei wanawake wanaoishi kwa nguvu ya papuchi.

Bro ukiwa na mke mzuri imekula kwako hakuna sehem atasalimika
 
Watu wanatafuta uhakika wa kukaa kati
 
wanawake unawajua shekhe wakianza yaoo ni ngumu tena
 
Haina tofauti na kusema, watu waache kusafiri kisa ajali zipo....
 
Kumbuka pia wanataaluma ya kutunza Siri zote kuanzia embargo mpaka Siri kuu hivyo shemela atagegedwa na wala hutajua milele. Wana zingatia ;

S isemi
I isipokuwa
R uhusa
I kitolewa
 

Ndiyo nimejua leo kumbe Wanawake na sisi huwa tunaoa.
 
Kumbuka pia wanataaluma ya kutunza Siri zote kuanzia embargo mpaka Siri kuu hivyo shemela atagegedwa na wala hutajua milele. Wana zingatia ;

S isemi
I isipokuwa
R uhusa
I kitolewa
Km hujajua kuna shida gani mzee
 
Acha utoto sasa utapataje familia au utabeba mimba wewe mwenyewe na utaingia leba kuzalishwa na dada zako
 
Pole weeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…