City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
'.......hutajua milele.' huku wewe ukiwa unajua tayari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'.......hutajua milele.' huku wewe ukiwa unajua tayari!
Omba na wewe utapewaDemu wa jamaa analiwa mbususu naumia Sana.
" transgressions without consequence" haiko kwenye my vocabularyShida ni kwamba ameshafanywa
Eti wana hela chafu! Hela chafu ni bei gani? Ile million kasoro na posho ya katikati ya mwenzi?
Tuma namba sasahivi mkuu! Mrejesho ntakupatia baada ya mwezi mmoja.Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787] hiyo asilimia tajwa inafikirisha sana ni vile hajui akili za hawa viumbe zinavobadilika badilika kutokana na mazingiraMkuu tema mate chini . We ndio wakumwamin mwanamke kwa asilimia tajwa apo?? Uwiiiii....ngoja tusubir mzunguko wa dunia ukamilike [emoji1787][emoji1787]ila ....dah ! Time will tell
Acha aliwe si ni ya kwake?!!.Demu wa jamaa analiwa mbususu naumia Sana.
Shangaa na wewe!Tunwajua,hawanaga hela,wanaendesha vi-lST na pikipiki used
Niko poa mkuu wangu! Niko safarini nikifika Dodoma ntakupigia inshallah.😂😂😂😂😂😂😂😂.
Uko poa lakini boss wangu!
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ila tunanangwa jmnAcha kabisa kusema hivi bro! Hii jinsia ina akili za ziada kuliko hiyo uliyonayo wewe hapo na kusema una muamini 100% unajidanganya sana haki tena. Mwanamke ana tabia kama Amoeba au kirusi, yaani anaishi kulingana na ugumu wa mazingira aliyopo wakati huo.
Acha mnangwe tuu, hivi unajua nyie ni wapuuzi puuzi tu. Mawe yenyewe ya kusuasua. Kasumbueni wasiojielewa![emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ila tunanangwa jmn
Safari njema boss. Naona bata zimerudi😋😋😋😋Niko poa mkuu wangu! Niko safarini nikifika Dodoma ntakupigia inshallah.
[emoji23] Dah mko complicated sana aisee![emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ila tunanangwa jmn
Kwa hiyo ni Bora kutokuoaMambo yapo kinyume nyume we ukimtomba mke wa mtu na wako mtaani hachomoki lazima atombwe so ni yale yale tu
Ingia kwenye ndoa ukiwa umejiandaa kisaikolojia.Kwa hiyo ni Bora kutokuoa
"Usinga" au "ushinga"Nimekusoma
Ila wanakutanaga na vyuma kuna wanaume
Wengine wakishajua kinguvu hawawezi wao
Wana mshtakia mungu
Kuna mtu alikuwa mzito alikuwa anajipigia mke wa jamaa tena kibabe dharau
Mme akasoteshwa,akaamua kukaa pembeni
Yule kigogo mpk leo mtu wa kukaa kitandani tu
Sijui nn alifanyiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Kwanini uingie chumba ambacho unajua kabisaa humo ndani Kuna Simba?Ingia kwenye ndoa ukiwa umejiandaa kisaikolojia.
Ila muda mwengine Hawa vijana wa DSO huwa nawaonea wivu hebu fikiria;Eti wana hela chafu! Hela chafu ni bei gani? Ile million kasoro na posho ya katikati ya mwenzi?