Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Tuma namba sasahivi mkuu! Mrejesho ntakupatia baada ya mwezi mmoja.
 
Mkuu tema mate chini . We ndio wakumwamin mwanamke kwa asilimia tajwa apo?? Uwiiiii....ngoja tusubir mzunguko wa dunia ukamilike [emoji1787][emoji1787]ila ....dah ! Time will tell
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787] hiyo asilimia tajwa inafikirisha sana ni vile hajui akili za hawa viumbe zinavobadilika badilika kutokana na mazingira
 
Acha kabisa kusema hivi bro! Hii jinsia ina akili za ziada kuliko hiyo uliyonayo wewe hapo na kusema una muamini 100% unajidanganya sana haki tena. Mwanamke ana tabia kama Amoeba au kirusi, yaani anaishi kulingana na ugumu wa mazingira aliyopo wakati huo.
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ila tunanangwa jmn
 
Si hapo tu,mkeo akiwa ameajiriwa na ana shepu matata, jiandae kisaikolojia
 
Nimekusoma

Ila wanakutanaga na vyuma kuna wanaume

Wengine wakishajua kinguvu hawawezi wao
Wana mshtakia mungu

Kuna mtu alikuwa mzito alikuwa anajipigia mke wa jamaa tena kibabe dharau

Mme akasoteshwa,akaamua kukaa pembeni

Yule kigogo mpk leo mtu wa kukaa kitandani tu

Sijui nn alifanyiwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
"Usinga" au "ushinga"

Kama kuna msambaa happ karibu muulize akufafanulie
 
Eti wana hela chafu! Hela chafu ni bei gani? Ile million kasoro na posho ya katikati ya mwenzi?
Ila muda mwengine Hawa vijana wa DSO huwa nawaonea wivu hebu fikiria;
Mshahara haukatwi NSSF, PAYE, sijui CHAMA yaani wao ni NHIF tu ndio inakatwa. Hapohapo House allowance juu.

ila sisi wengine kamshahara kadogi ila wanakata makato kibaoo na hakuna allowance yoyotee..!!

serikali ya CCM haijawahi kuwa sawa.

#YNWA
 
Back
Top Bottom