Na kweli πππKm kuliwa ataliwa tu hata amfungie CCTV
Mimi ni me,kwanini unadhani mi ni ke!?Mi najua we me, kumbe keπ€π
π€£π€£π€£π€£Wanaume wa Dar mnachoweza ni umbea tuu na kushinda vibarazani na kanga moja.
Mapenzi sio kushikiana SIMU km anachezea mtinyama auchezee tu huko Ila asiuchezee mbele yakoNa kweli πππ
AhahahhUnanipangia tena matumizi na simu yangu bro
Suo siri bas tuHapo ukute na ana watoto wakubwa tuπ
Na Tanzania watumiaji ni wangapi?US na Canada Facebook inawatumiaji milioni 269. Europe ina watumiaji milioni 411.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa Dar mnachoweza ni umbea tuu na kushinda vibarazani na kanga moja.
Nimeona mna itana shem na mwachiluwi, ndo mana nikauliza??Mimi ni me,kwanini unadhani mi ni ke!?
Hilo ndo la msingi...heshima tu iwepoMapenzi sio kushikiana SIMU km anachezea mtinyama auchezee tu huko Ila asiuchezee mbele yako
Atuambie vizuri basi tujikinge na sisi,, au unasemaje ππ€£π€£Kumbe kuna magonjwa mapya mjini na hatupeani tahadhari, aki sijapendaππ
Rudi usome post za nyuma mkuu, Mwachiluwi anataka kunipa binamu yake nimuoeNimeona mna itana shem na mwachiluwi, ndo mana nikauliza??
Mwachiluwi ni lofa wa kiwango Cha lamiπππ, ye mwenyewe Hana hata dem,ππRudi usome post za nyuma mkuu, Mwachiluwi anataka kunipa binamu yake nimuoe
Aaaahaaa,asije akawa anataka kuniuzia mbuzi kwenye gunia mkuuMwachiluwi ni lofa wa kiwango Cha lamiπππ, ye mwenyewe Hana hata dem,ππ
Yeah wewe km unaenda kuuchezea mtinyama uko nje nenda kauchezee tu Ila kikubwa heshima sio unaenda kuuchezea mtinyama huko unanogewa huko ukirudi ndani unaanza kuleta dharau hapo lazima nukutifue haiwezekaniHilo ndo la msingi...heshima tu iwepo
Sawasawa ππ€Yeah wewe km unaenda kuuchezea mtinyama uko nje nenda kauchezee tu Ila kikubwa heshima sio unaenda kuuchezea mtinyama huko unanogewa huko ukirudi ndani unaanza kuleta dharau hapo lazima nukutifue haiwezekani
Nadhani TCRA watakua wanalo jibuNa Tanzania watumiaji ni wangapi?