Kama mkeo yupo Facebook mchunguze tena kwa umakini

Kama mkeo yupo Facebook mchunguze tena kwa umakini

Sio umbea mtu amekuza maandishi mpaka mwisho ukiona utashindwa soma?
Unajua maana ya umbea??

Wewe hapo uliofanya ni umbea, hilo jambo za convo za huyo bi mdashi wala hazikuhusu ila wewe kwa umbea wako ukachungulia na umekuja kuyaleta huku ambako wala hujaombwa hizo habari ambazo si zako.
 
Mbona face book mchoshoo, Whatsap unatumiwa mipicha pichaa hadi ya mpenz wa mtu akiwa sebuleni amenunaa ama anakoromaaa usikuu.

anyway kila mtu na mtu wakeee waishi waishivyoo
Ahhahah kiboko
 
A
Unajua maana ya umbea??

Wewe hapo uliofanya ni umbea, hilo jambo za convo za huyo bi mdashi wala hazikuhusu ila wewe kwa umbea wako ukachungulia na umekuja kuyaleta huku ambako wala hujaombwa hizo habari ambazo si zako.
Ta zako niikiziona nitasoma tu
 
Huwezi mzuia kahaba kuutumia mwili hata kwa email wanawasiliana Nini fb na telegram.
Kila mwanadamu kaumbwa na chembe ya uhalifu ndani yake
 
Watu wa humu ni takataka, umepewa angalizo, kuwa kama mkeo yupo FB kuwa makini huenda akawa na mahusiano ya Siri huko.
Wewe umekomalia jamaa aliyeleta mada ni mbeya
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Acha kujitoa ufaham haijalishi ni wapi ila wake za watu skuizi wanaliwa mnoooo,hapo unashangaa anawasiliana na huyo kwenye fesibuku wakati kaolewa,kumbe pia yupo magroup ya kuuza k,na kashaitembeza Kila mkoa
 
Sio umbea mtu amekuza maandishi mpaka mwisho ukiona utashindwa soma?
kuna siku nipo kwenye daladal nikiwa nakodolea simu ya watu mdada alikuwa akiandika text kwenye simu yake alivyoona navizia akafuta alafu akaandika "wewe unaesoma text zangu k lako" nilitaman nimle likibao kwa kunitusi ila ndio hvy
 
👋

Juzi morng nilikuwa ndio nimefika DSM nikachukua usafiri kwenda nyumban sasa nikiwa kwenye usafir mbele alikuwa maeekaa mama wa makamo nahisi alikuwa kwenye miaka 40 hivi.

Sasa alikuwa Facebook yupo messenger anachat na jamaa niliangaza macho kuona ase jamaa ana mwambia kuwa nakupigia video call nione kama kweli unakuja upo.

Kweli baada ya dakika moja tu alampigia video call mm nausoma mchezo tu akakata ndio naona tena jamaa anamuuliza mam yule kuwa umeagaje mama mwenyewe anafuraha ana mwambia nimeaga naenda kanisani jamaa alituma emoj ya kucheka baada ya muda akashuka kitu kinachofuata.

Sasa mke ndio huyu ukija kujua unafanyaje kama mkeo yupo Facebook azima simu yake ingia fb messenger unaweza jikuta unashare na mdogo wako kabisa.
Umbea huo mwanaume haukupendezi
 
kuna siku nipo kwenye daladal nikiwa nakodolea simu ya watu mdada alikuwa akiandika text kwenye simu yake alivyoona navizia akafuta alafu akaandika "wewe unaesoma text zangu k lako" nilitaman nimle likibao kwa kunitusi ila ndio hvy
Wewe nawe hujui kuiba
 
Unakuta mke kaposti picha yake kajipodoa, muda mfupi kala like mia tano, reply za kutosha na imoji za kumwaga plus mengine ya kutongozwa. Inaudhi sana, kama hauko vizuri kichwani utaanza kuwapa nakoz za uso watu wanaomtongoza mitandaoni. Sometime ni ulimbukeni tu
 
😅😅😅😅 kumbe unapitia account ya mkeo
 
Back
Top Bottom