Kama mkeo yupo Facebook mchunguze tena kwa umakini

Kama mkeo yupo Facebook mchunguze tena kwa umakini

Akiamua kuliwa ataliwa tu hata uweke alarm atategeshea ikimaliza kupiga kelele ndo show itaendelea shukuru tu akirud mzima yaliyojili huko alikokuwa usitake kuyajua 😀
 
Kikubwa kumuomba Mungu azitulize nafsi za wake zetu na ajalie kizazi chema, hayo mengine achana nayo.
 
Back
Top Bottom