Mbona face book mchoshoo, Whatsap unatumiwa mipicha pichaa hadi ya mpenz wa mtu akiwa sebuleni amenunaa ama anakoromaaa usikuu.I once said "facebook is a sex marketplace"
Unajua maana ya umbea??Sio umbea mtu amekuza maandishi mpaka mwisho ukiona utashindwa soma?
Ahhahah kibokoMbona face book mchoshoo, Whatsap unatumiwa mipicha pichaa hadi ya mpenz wa mtu akiwa sebuleni amenunaa ama anakoromaaa usikuu.
anyway kila mtu na mtu wakeee waishi waishivyoo
Ta zako niikiziona nitasoma tuUnajua maana ya umbea??
Wewe hapo uliofanya ni umbea, hilo jambo za convo za huyo bi mdashi wala hazikuhusu ila wewe kwa umbea wako ukachungulia na umekuja kuyaleta huku ambako wala hujaombwa hizo habari ambazo si zako.
Ahha unatumiaga wa madukan?Hapana hapana mi situmiigi wa mitandaoni π€π€π€π€πππππ
Acha umbea kijana, mwanaume hapendezi kua mbea.A
Ta zako niikiziona nitasoma tu
Sheik Mwaipopo na akizingua tu Kunuti juu.Unafunga kwa
Kunuti tena? DoohSheik Mwaipopo na akizingua tu Kunuti juu.
kuna siku nipo kwenye daladal nikiwa nakodolea simu ya watu mdada alikuwa akiandika text kwenye simu yake alivyoona navizia akafuta alafu akaandika "wewe unaesoma text zangu k lako" nilitaman nimle likibao kwa kunitusi ila ndio hvySio umbea mtu amekuza maandishi mpaka mwisho ukiona utashindwa soma?
Umbea huo mwanaume haukupendeziπ
Juzi morng nilikuwa ndio nimefika DSM nikachukua usafiri kwenda nyumban sasa nikiwa kwenye usafir mbele alikuwa maeekaa mama wa makamo nahisi alikuwa kwenye miaka 40 hivi.
Sasa alikuwa Facebook yupo messenger anachat na jamaa niliangaza macho kuona ase jamaa ana mwambia kuwa nakupigia video call nione kama kweli unakuja upo.
Kweli baada ya dakika moja tu alampigia video call mm nausoma mchezo tu akakata ndio naona tena jamaa anamuuliza mam yule kuwa umeagaje mama mwenyewe anafuraha ana mwambia nimeaga naenda kanisani jamaa alituma emoj ya kucheka baada ya muda akashuka kitu kinachofuata.
Sasa mke ndio huyu ukija kujua unafanyaje kama mkeo yupo Facebook azima simu yake ingia fb messenger unaweza jikuta unashare na mdogo wako kabisa.
Wewe nawe hujui kuibakuna siku nipo kwenye daladal nikiwa nakodolea simu ya watu mdada alikuwa akiandika text kwenye simu yake alivyoona navizia akafuta alafu akaandika "wewe unaesoma text zangu k lako" nilitaman nimle likibao kwa kunitusi ila ndio hvy
Hii sio tabia yangu mamy ni bahat mbaya tuUmbea huo mwanaume haukupendezi
Na watamu kwelikweli ,wanajuaga kitandani wanafanya nnUmri wa miaka 40 huyo bado binti tena kigori kabisa aiseeee....
π π π π kumbe unapitia account ya mkeoUnakuta mke kaposti picha yake kajipodoa, muda mfupi kala like mia tano, reply za kutosha na imoji za kumwaga plus mengine ya kutongozwa. Inaudhi sana, kama hauko vizuri kichwani utaanza kuwapa nakoz za uso watu wanaomtongoza mitandaoni. Sometime ni ulimbukeni tu