Kama mkristo ama muislam uko kwenye mfungo inakuhusu angalia kabla ujawa unapoteza swaumu yako..mbarikiwe mmalize salama

Kama mkristo ama muislam uko kwenye mfungo inakuhusu angalia kabla ujawa unapoteza swaumu yako..mbarikiwe mmalize salama

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
5 Things You Must Remove From Your Life Before Fasting

Fasting is not just about stopping food — it is about preparing your spirit to host God. If these things remain in your life, your fasting may become hunger strike instead of spiritual power.

1. Unforgiveness

If you are still holding someone in your heart, your fasting will be blocked.

The Bible says in Mark 11:25 — when you stand praying, forgive.

Unforgiveness shuts heaven’s door. Release people before you seek release from God.

2. Secret Sin

You cannot fast and still romance what God hates.

Isaiah 59:1-2 makes it clear — sin separates.

Before you fast, repent deeply. Don’t cover sin — confront it.

3. Distraction

Fasting without prayer is dieting.

Remove:

Excess phone use

Gossip

Social media addiction

Idle conversations

Even Jesus Christ withdrew to lonely places to pray. If He needed separation, how much more you?

4. Pride

Some people fast to prove a point.

In Matthew 6:16-18, Jesus warned against fasting to be seen by men.

If your fasting is for applause, your reward ends with men.

5. Doubt

Don’t fast with fear in your heart.

James 1:6-7 says the one who doubts should not expect to receive anything.

Fasting must be mixed with faith.

Before You Begin Any Fast, Ask Yourself:

Have I forgiven everyone?

Have I repented sincerely?

Have I reduced distractions?

Is my motive pure?

Am I fasting in faith?

If you remove these five things, your fasting will produce: 🔥 Clarity
🔥 Power
🔥 Direction
🔥 Speed
🔥 Open heavens
 
🙏 MAOMBI YA KUWARUDISHA WANAUME KWENYE NAFASI ZAO
(Ndoa – Kazi – Uchumi)

Evangelist Neema Lutengano

📖 UTANGULIZI

Katika Bustani ya Edeni, Mungu alimpa mwanaume wajibu wa kulima, kutunza na kulinda. Mwanaume aliwekwa kama kuhani, mlinzi na mtoa maamuzi ya familia.
Lakini leo tunaona wanaume wengi:
Wamechoka kiroho
Wamepoteza mwelekeo wa kifamilia
Wamevunjika kiuchumi
Wameacha kusimama kwenye nafasi zao
Huu ni wakati wa kusimama katika maombi ili Mungu awarejeshe kwenye kusudi lao la kwanza.

1️⃣ MAOMBI YA KUMRUDISHA MWANAUME KWENYE NAFASI YA NDOA
📖 “Waume, wapendeni wake zenu…” — (Waefeso 5:25)
Omba hivi:
Ee Bwana, rudisha upendo ndani ya mioyo ya wanaume.
Ondoa roho ya kukimbia majukumu.
Wape ujasiri wa kuwa viongozi wa familia zao.
Fufua madhabahu za maombi ndani ya nyumba zao.
Wape moyo wa uaminifu, heshima na uwajibikaji.
Katika jina la Yesu, warejeshe kwenye nafasi zao kama waume na baba. Amina.

2️⃣ MAOMBI YA KUREJESHA MWANAUME KWENYE NAFASI YA KAZI
📖 “Kila mfanyalo, lifanyeni kwa moyo…” — (Wakolosai 3:23)
Bwana, ondoa uvivu, hofu na kukata tamaa.
Fungua milango ya ajira na fursa mpya.
Rejesha heshima ya kazi mikononi mwa wanaume.
Watie bidii, ubunifu na nidhamu.
Wape neema ya kupandishwa vyeo na kuaminiwa.
Katika jina la Yesu, warejeshe kwenye kazi zao. Amina.

3️⃣ MAOMBI YA KUFUFUA UCHUMI WA MWANAUME
📖 “Bwana atakuamuru baraka…” — (Kumbukumbu 28:8)
Mungu wa mbinguni, vunja minyororo ya umaskini.
Ondoa madeni yanayowanyima amani.
Fungua vyanzo vipya vya mapato.
Wape hekima ya kusimamia fedha.
Bariki biashara, kazi za mikono na miradi yao.
Katika jina la Yesu, warejeshe katika uthabiti wa kiuchumi. Amina.

🔥 MAOMBI YA KINABII
Leo natamka:
Mwanaume aliyelala ataamka!
Aliyekata tamaa atapokea nguvu mpya!
Aliyeanguka atasimama tena!
Nyumba zitarejea kuwa na vichwa vinavyoogopa Mungu!
Kama Mungu alivyomwita Adamu katika Bustani ya Edeni akisema, “Uko wapi?” — leo anawaita wanaume warudi kwenye nafasi zao!

✨ HITIMISHO

Wakati wa kulaumu umekwisha.
Wakati wa maombi umefika.
Tusimame kama waombezi wa wanaume wetu waume, kaka, baba na vijana.
Mungu bado ana mpango nao.
🙏 Baba, rudisha wanaume kwenye nafasi zao katika ndoa, kazi na uchumi. Amina. Kubwaa
 
Funga ya wakristo na waislam ni tofauti, mkristo anaruhusiwa kuchagua aache kula nini mfano anaweza kuamua kufunga kula makande akaacha kula makande tu ila vyakula vingine akafakamia hiyo ndo funga yao.

Waislam wao hawali chochote kwanzia Alfajiri ya kweli hadi kuzama kwa jua , pamoja na kuacha mambo yote machafu kwahiyo ushauri wako uzingatie hayo mambo, unaweza kumwambia mkristo aache kufatilia umbea mtandaoni ili asiharibu funga yake kumbe ya hajafunga kuacha kufatilia umbea
 
Funga ya wakristo na waislam ni tofauti, mkristo anaruhusiwa kuchagua aache kula nini mfano anaweza kuamua kufunga kula makande akaacha kula makande tu ila vyakula vingine akafakamia hiyo ndo funga yao.

Waislam wao hawali chochote kwanzia Alfajiri ya kweli hadi kuzama kwa jua , pamoja na kuacha mambo yote machafu kwahiyo ushauri wako uzingatie hayo mambo, unaweza kumwambia mkristo aache kufatilia umbea mtandaoni ili asiharibu funga yake kumbe ya hajafunga kuacha kufatilia umbea
Mtoto wa kike kama wewe mwezi huu mtukufu yakupasa ujihifadhi vyema, vaa nguo za kufunika mwili wako.
 
Back
Top Bottom