Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 422
- 489
.
Hayo ni maneno ya Nyerere! Rais wa Tanzania anaweza kutoka chama chochote, ila rais bora atatoka ndani ya chama cha mapinduzi!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.
Wewe ndiye juhaAcha ujuha luca
🤣🤣🤣🤣🙌Wewe ni marehemu
Kasinzia kitambo sana!!Anakoroma tu!!Wasira anasemaje?
Hahaha.2025
bibi arudi kizimkazi akaendelee kulea wajukuu na kula ugoro
Kumbuka, what you say in public may not be the same as what you say in private conversations. Wanalengwa watoa pesa wa ughaibuni hapo!
Amelala badoWasira anasemaje?
Nimecheka hii comment 😂😂😂😂 kwamba kaamua kumwambia Wasira acha ujinga kumekuchaSasa Kamanda huutaki ukweli 😄
Zambia pia kuliaminika hivi, wananchi wakisema basi ni basiKwa jinsi wizi wa kura unavyofanyika sioni Rais wa nchi akitoka chama cha upinzani
Mbona Lowassa alipohamia CHADEMA na kugombania Uraisi mlikataa kumtangaza?!Hayo ni maneno ya Nyerere! Rais wa Tanzania anaweza kutoka chama chochote, ila rais bora atatoka ndani ya chama cha mapinduzi!.
Mbona akisema, "Uchaguzi Mkuu ulikuwa wa huru na haki" mnapinga?
Sahihi kabisa lakini Rais bora anatoka CCM. Ishi nayo hiyo🤣🤣🤣
Unamaanisha Rais Bora ni yule anayeuza Rasilimali?Lakini Rais Bora hawezi kutoka nje ya CCM. Ni CCM pekee yenye uwezo wa Kutoa Rais Bora. Na Taifa letu haliwezi kuongozwa na Rais nje ya CCM kwa kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kutoa RAIS bora .
MwanasiasaAkiwambia ni Mchana toka nje uangalie.