Kama Mkubwa wako anatamka Maneno haya hadharani wewe ni nani hadi ubishe?

Kama Mkubwa wako anatamka Maneno haya hadharani wewe ni nani hadi ubishe?

Hahahaa Yule Mzee Manyau nyau
images.jpeg
 
Hujajibu swali dada.
Sawa Kesho ndio mnakuja na #bring back sijui nani mara nani baadae kidogo mnachoka mnaendelea na shughuli nyingine … Dunia ni uwanja wa vita , HAKI MBINGUNI … usianzishe vita usivyoweza kuvimaliza
 
Mwenzake alipiga pushup, mwaka huu mama atafutiwe dela acheze kisingeli staili ya kuinama na kutikisa kalio moja moja
Usipende kufanya jambo kufurahisha watu joka litakukuta uko peke yako unalia kama mtoto.
 
Usipende kufanya jambo kufurahisha watu joka litakukuta uko peke yako unalia kama mtoto.
Una vitisho kama utaishi milele.
Nenda pale Makumbusho uliza mtu alikuwa anaitwa "kinyonga" yupo wapi au nini kilimtokea!!
 
Lakini Rais Bora hawezi kutoka nje ya CCM. Ni CCM pekee yenye uwezo wa Kutoa Rais Bora. Na Taifa letu haliwezi kuongozwa na Rais nje ya CCM kwa kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kutoa RAIS bora .
Sawa muumini wa majizi.
 
Back
Top Bottom