Kama Mkubwa wako anatamka Maneno haya hadharani wewe ni nani hadi ubishe?

Kama Mkubwa wako anatamka Maneno haya hadharani wewe ni nani hadi ubishe?

Mbona Lowassa alipohamia CHADEMA na kugombania Uraisi mlikataa kumtangaza?!

Anyway Raisi bora ndio nini wakati wote wanauza Rasilimali za Nchi.
Kwani kila anayegombania urais anatangazwa au ni hadi ashinde ndio atangazwe na tume ya uchaguzi ?!
Kuhusu uuzwaji wa raslimali mheshimiwa Kikwete alishafafanua kuwa UKITAKA KULA LAZIMA UKUBALI KULIWA !
Serikali inafanya biashara!
Tunazo raslimali nyingi kila kona ya nchi!
Kuna ubaya gani tukiuza raslimali chache kati ya nyingi tulizonazo ili tupate fedha za kuwaletea wananchi maendeleo ?!
LAZIMA TULIWE KIDOGO ILI NA SISI TUWEZE KULA!
Wewe unataka kula tu bila kuliwa HAIWEZEKANI !



Sina maana hiyo !!😄😄😄😄😄
 
Lakini Rais Bora hawezi kutoka nje ya CCM. Ni CCM pekee yenye uwezo wa Kutoa Rais Bora. Na Taifa letu haliwezi kuongozwa na Rais nje ya CCM kwa kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kutoa RAIS bora .
Unaposema "lakini rais bora hawezi kutoka nje ya CCM" maana yake umekiri kuwa uwezekano wa rais kutoka nnje ya CCM upo!!

Rais hawezi kuwa bora bila ya kwanza kuwa rais.
CCM imetoa marais 6, lakini katika hao ni marais wawili tu ndio kwa mujibu wa "SI Unit" ya urais, ndio marais.
 
Siyo huyu alisema hata mkipigia Kura Chama Kingine ni CCM ndio itaunda Serikali ?!!!

Halafu mlikuwa mnamchukilia poa!
Na baada ya uchaguzi mambo yaka kama alivyosema.
Nchi nzima ikawa kijani kitupu , majimbo yote yakachukuliwa na CCM isipokuwa viti viwili tu!
Sasa ngoja nikupe nyingine aliyozungumza ambayo ni ngumu kumeza ngumu kutema!

" Kuna watu wanasema sijui wamepigwa risasi sijui vitu gani!,
Ngoja niwaambie!, asikari wa serikali yetu akikupiga risasi tatu akikukosa anawajibishwa !.
 
 
Mwenzake alipiga pushup, mwaka huu mama atafutiwe dela acheze kisingeli staili ya kuinama na kutikisa kalio moja moja
Ndugu zangu mkipotea ndugu zenu wanahangaika sana
 
Nauona mwisho wa CCM 2030 maana bi mkubwa ataharibu kinyama na ufisadi utavunja record ya ule wa kikwete na sioni msafi wa kuokoa jahazi kama JPM 2015
 
Back
Top Bottom