saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Historia haitakusaidia kitu zungumzia mikakati yenu nyie nyumbu. Huwezi kuishinda CCM kwa kushinda humu JF nendeni kwa wananchi ingawa kila mara mnawatukana kuwa ni wajingaYameshawahi kusemwa sana. Tatizo la vijana wa nchi hii na Watanzania wengi ham fuatilia historia ya nchi yenu na kusoma vitabu.