S saigilomagema JF-Expert Member Joined Jun 5, 2015 Posts 4,683 Reaction score 7,222 Mar 11, 2025 #101 Lord denning said: Yameshawahi kusemwa sana. Tatizo la vijana wa nchi hii na Watanzania wengi ham fuatilia historia ya nchi yenu na kusoma vitabu. Click to expand... Historia haitakusaidia kitu zungumzia mikakati yenu nyie nyumbu. Huwezi kuishinda CCM kwa kushinda humu JF nendeni kwa wananchi ingawa kila mara mnawatukana kuwa ni wajinga
Lord denning said: Yameshawahi kusemwa sana. Tatizo la vijana wa nchi hii na Watanzania wengi ham fuatilia historia ya nchi yenu na kusoma vitabu. Click to expand... Historia haitakusaidia kitu zungumzia mikakati yenu nyie nyumbu. Huwezi kuishinda CCM kwa kushinda humu JF nendeni kwa wananchi ingawa kila mara mnawatukana kuwa ni wajinga
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 12,096 Reaction score 15,393 Mar 12, 2025 #102 Lord denning said: Kwa hiyo hizi ndo hoja zako? Kakojoe tu ukalale! Huu uzi umekuzidi sana uwezo! Click to expand... Of course, sina uwezo na mada isiyokuwa na miguu kama hii.
Lord denning said: Kwa hiyo hizi ndo hoja zako? Kakojoe tu ukalale! Huu uzi umekuzidi sana uwezo! Click to expand... Of course, sina uwezo na mada isiyokuwa na miguu kama hii.