Kama mnaamini Rais anaweza kuiamrisha mahakama kwanini mnamchokoza au kumdhihaki?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Utasikia oo Rais huyu ni katili sana ...kampeleka mahakamani anamtesa tu.anaweza kutoa neno moja tu na kesi hii ikaisha.

Kama tunaamini hivyo ni ipi sababu yakumchokoza,kumdhihaki na kumkasirisha Raia??
Dunderheads!
 
Serikali kubaki na Lissu ni kujichafua tu … bora angeachwa arudi zake ubeljiji
 
Utasikia oo Rais huyu ni katili sana ...kampeleka mahakamani anamtesa tu.anaweza kutoa neno moja tu na kesi hii ikaisha.

Kama tunaamini hivyo ni ipi sababu yakumchokoza,kumdhihaki na kumkasirisha Raia??
Dunderheads!
Wewe unazungumzia rais yupi kwani?

Kama unamzungumzia Samia, huyo siyo rais. Huyo ni mhalifu anayesubiri tu kupata haki yake inayomstahiki.

Pamoja na kutopenda kushiriki kwenye mada za kipuuzi unazojaza humu, nimeona nikukumgbushe tu, hata kama unapenda kujisahaulisha jambo lililowazi.
 
Utasikia oo Rais huyu ni katili sana ...kampeleka mahakamani anamtesa tu.anaweza kutoa neno moja tu na kesi hii ikaisha.

Kama tunaamini hivyo ni ipi sababu yakumchokoza,kumdhihaki na kumkasirisha Raia??
Dunderheads!
Huyu muuaji hatakiwi kupata heshima hata kidogo. Ulivyo mjinga na mpumbavu huoni kwamba watu wanasema hivyo kwa sababu wanajua ni yeye katoa amri kinyume na sheria plus katiba. Kwa ubwege wako unataka watu wamnyenyekee na kumpigia magoti japo ameua na kufunga watu bila makosa.
 
Utasikia oo Rais huyu ni katili sana ...kampeleka mahakamani anamtesa tu.anaweza kutoa neno moja tu na kesi hii ikaisha.

Kama tunaamini hivyo ni ipi sababu yakumchokoza,kumdhihaki na kumkasirisha Raia??
Dunderheads!
Kwani wewe yupo aliye wahi kukudhihaki?
 
CCM mmezikanyaga Sheria za nchi, katiba nayo mmezikanyaga.
 
Nyakati zaja ambapo kweli mwenye akili timamu atamkitaa shetani muuaji. Shetani atasalia na mapunguani yalisyo na akili lakini yaliyojaa uovu mioyo mwao tu
 
Utasikia oo Rais huyu ni katili sana ...kampeleka mahakamani anamtesa tu.anaweza kutoa neno moja tu na kesi hii ikaisha.

Kama tunaamini hivyo ni ipi sababu yakumchokoza,kumdhihaki na kumkasirisha Raia??
Dunderheads!
Kwakuwa watu hawana silaha. Sio kwamba wanamuheshimu ama kumuogopa, bali wanamuanika kwa matumizi mabaya ya madaraka. Heshima utapewa kama upo madarakani kihalali na hujaua.
 
Back
Top Bottom