Kama mnaamini Rais anaweza kuiamrisha mahakama kwanini mnamchokoza au kumdhihaki?

Kama mnaamini Rais anaweza kuiamrisha mahakama kwanini mnamchokoza au kumdhihaki?

Utasikia oo Rais huyu ni katili sana ...kampeleka mahakamani anamtesa tu.anaweza kutoa neno moja tu na kesi hii ikaisha.

Kama tunaamini hivyo ni ipi sababu yakumchokoza,kumdhihaki na kumkasirisha Raia??
Dunderheads!
Kwa nini CCM mmefanya uongo kuwa ndio usahihi na mfumo wa maisha ya Kitanzania na ukweli kuwa dhambi inayostahili umauti!!??
 
Back
Top Bottom