Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manzoki bado tunamhitaji sana. Maana hadi sasa hivi kikosi chote cha Simba striker wa maana ni mmoja tu, huyo Phiri.Kama Moses Phiri ataendelea na moto huu huu maana yake hatumhtaj manzoki kwa sasa.
PHIRI ameonyesha ni goal scorer mzuri. Kufika January tutaona mwenendo wake lakini anaonyesha ni mzuri wa kujiposition, CHAMA asiumie tu.
SIMBA NGUVU MOJA
Bado mnamuota Manzoni? Mnaujuwa mkataba wake China?Manzoki bado tunamhitaji sana. Maana hadi sasa hivi kikosi chote cha Simba striker wa maana ni mmoja tu, huyo Phiri. Sasa kwa mashindano yote ambayo Simba inashiriki, ni risk kuna mambo mengi; Kuumia, game kukataa, kadi za njano, misumari, na kadhalika. Ili kuleta dhana halisi ya kikosi kipana, ni muhimu sana kumnasa Manzoki kipindi cha dirisha dogo la usajili, la sivyo hali ya safu yetu ya ushambuliaji itakua ya kumtegemea mtu mmoja tu.
Bado mnamjadili Manzoki.? DaaaaahKama Moses Phiri ataendelea na moto huu huu maana yake hatumhtaj manzoki kwa sasa.
PHIRI ameonyesha ni goal scorer mzuri. Kufika January tutaona mwenendo wake lakini anaonyesha ni mzuri wa kujiposition, CHAMA asiumie tu.
SIMBA NGUVU MOJA
Halafu kile kishika uchumba chetu utarejesha wewe?Kama Moses Phiri ataendelea na moto huu huu maana yake hatumhtaj manzoki kwa sasa.
PHIRI ameonyesha ni goal scorer mzuri. Kufika January tutaona mwenendo wake lakini anaonyesha ni mzuri wa kujiposition, CHAMA asiumie tu.
SIMBA NGUVU MOJA
Manzoki bado tunamhitaji sana. Maana hadi sasa hivi kikosi chote cha Simba striker wa maana ni mmoja tu, huyo Phiri.
Sasa kwa mashindano yote ambayo Simba inashiriki, ni risk kuna mambo mengi; Kuumia, game kukataa, kadi za njano, misumari, na kadhalika.
Ili kuleta dhana halisi ya kikosi kipana, ni muhimu sana kumnasa Manzoki kipindi cha dirisha dogo la usajili, la sivyo hali ya safu yetu ya ushambuliaji itakua ya kumtegemea mtu mmoja tu.
Ukiwa na washambuliaji zaidi ya mmoja unaongeza chances za kuwa na mshambuliaji at least mmoja ambae yuko fiti kwa kila mechi mkuu. Unawaongezea kazi wapiga misumari, kuliko ukiwa na mmoja tu, ni rahisi kwao wanajua pa kupiga ni pamoja tu. Easy.Hapo kwenye misumari.. hata akija huyo mwingine hatapigwa misumari?