Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Tulia we mmarekani wacha watu wapo kwenye mission

Kwa nn unaforce kaa utulie
Wewe ukiambiwa umtoe madaraka mwinyi zanzibar ili tuwe na rais mmoja utakubali ? Hao wote ni Soviet Union .Mimi Naona jeshi la urusi hawataki kumtoa zellensky
 
Panahitajika uangalifu Kwa sababu inawezekana wakauwawa Watu wasio na hatia, kwahiyo wanaweza wakauzunguka huo mji lakini kuingia pale ikahitajika hesabu Kali zaidi ili kuepusha maafa na umwagaji wa damu.
Kwani hujasikia Putin is a mad man .ukrain wanapigaania nchi Yao .Remember ukraine ni nchi ya vijana urusi walevi tu na wazee ikifika jioni washakunywa vodka
 
Kiev wanajeshi wanajificha kwenye makazi ya watu sio kwamba jamaa wameshindwa ila ukiwapiga hapo ni war crimes
 
Tulia we mmarekani wacha watu wapo kwenye mission

Kwa nn unaforce kaa utulie
Sasa Hivi kumbuka hana hata cent moja Ata mchina kamfungia Jana .so what next to a crazy Putin cyber attack na kuomba pesa .Wame hack McDonald’s Sasa Hivi wanataka pesa Sasa Hao ndio Akili ya Putin crazy crazy men na Sasa anatishia sweden na Finland
 
Mbona unaongea mwenyewe sasa we na putin nan ana njaa 😀😀😀
 
We mwanamama una akili sawasawa
 
Marekani na NATO zilichukua siku ngapi kuiteka Baghdad?
 
Ukweli upi mbona unaforce sasa lazima wafe wengi kwanza 😂😂😂tunaenda taratibu
Wewe Putin Sasa Hivi Yupo extremely isolated ,he is narcisstic and very dangerous Sasa Hivi ashaanza kutishia Finland na sweden .Hana Ata dollar 1 vita Hii inabitaji pesa kupigana .Putin is derranged and crazy crazy .Mchina alikuwa ana msupport Ata mchina mwenyewe anamwona Hitler
 
We mwanamke una akili sawasawa lkn?? Yaan Urusi apigane bila kuwa na pesa za akiba??
 
Inge, Inge hata wewe TZ ungekuwa una mfumo mzuri wa uzalendo leo hii ungekuwa sawa na China kimaendeleo sababu miaka ya 1960 ulikuwa unalingana naye kiuchumi.
 
Russia waangalie wako kwenye hatari kubwa sana kwani kinachofuata wanajeshi wa Ukraine watavua magwanda na kuvaa kiraia sasa hapo ndipo wataanza "Guerrilla Warfare" na ndio itakuwa kyama kwa warusi na nimemsikia Putin akiongea asubuhi ya leo inaonekana wana hofu na hiyo mbinu.

No army on earth, however sophisticated it is, that can prevail against a Guerrilla Force, Russia won't be exception.
 
Lini US walienda Damascus, au unaandika tu kama keyboard worrior.
 
Iraq ni ndo kijeshi na size sijui mara ngapi kwa Ukraine but USA+UK+FRANCE +GERMANY iliwachukua almost 3 weeks kuchukua kanchi kale.
 
Mbona Jeshi la USA lilichukua muda mrefu zaidi kumng'oa Sadam, haipiti wiki yule comedian atakuwa chali

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…