Wewe ukiambiwa umtoe madaraka mwinyi zanzibar ili tuwe na rais mmoja utakubali ? Hao wote ni Soviet Union .Mimi Naona jeshi la urusi hawataki kumtoa zellenskyTulia we mmarekani wacha watu wapo kwenye mission
Kwa nn unaforce kaa utulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ukiambiwa umtoe madaraka mwinyi zanzibar ili tuwe na rais mmoja utakubali ? Hao wote ni Soviet Union .Mimi Naona jeshi la urusi hawataki kumtoa zellenskyTulia we mmarekani wacha watu wapo kwenye mission
Kwa nn unaforce kaa utulie
Sio kweli Ukraine no chi kubwa eneo Kama laki sita wakati Irak Kama laki nneUkraine ni kainchi kadogo huwezi kulinganisha na Iraq
Kwani hujasikia Putin is a mad man .ukrain wanapigaania nchi Yao .Remember ukraine ni nchi ya vijana urusi walevi tu na wazee ikifika jioni washakunywa vodkaPanahitajika uangalifu Kwa sababu inawezekana wakauwawa Watu wasio na hatia, kwahiyo wanaweza wakauzunguka huo mji lakini kuingia pale ikahitajika hesabu Kali zaidi ili kuepusha maafa na umwagaji wa damu.
Sasa Hivi kumbuka hana hata cent moja Ata mchina kamfungia Jana .so what next to a crazy Putin cyber attack na kuomba pesa .Wame hack McDonald’s Sasa Hivi wanataka pesa Sasa Hao ndio Akili ya Putin crazy crazy men na Sasa anatishia sweden na FinlandTulia we mmarekani wacha watu wapo kwenye mission
Kwa nn unaforce kaa utulie
Mbona unaongea mwenyewe sasa we na putin nan ana njaa 😀😀😀Sasa Hivi kumbuka hana hata cent moja Ata mchina kamfungia Jana .so what next to a crazy Putin cyber attack na kuomba pesa .Wame hack McDonald’s Sasa Hivi wanataka pesa Sasa Hao ndio Akili ya Putin crazy crazy men na Sasa anatishia sweden na Finland
We mwanamama una akili sawasawaSasa Hivi kumbuka hana hata cent moja Ata mchina kamfungia Jana .so what next to a crazy Putin cyber attack na kuomba pesa .Wame hack McDonald’s Sasa Hivi wanataka pesa Sasa Hao ndio Akili ya Putin crazy crazy men na Sasa anatishia sweden na Finland
Marekani na NATO zilichukua siku ngapi kuiteka Baghdad?Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Wewe Putin Sasa Hivi Yupo extremely isolated ,he is narcisstic and very dangerous Sasa Hivi ashaanza kutishia Finland na sweden .Hana Ata dollar 1 vita Hii inabitaji pesa kupigana .Putin is derranged and crazy crazy .Mchina alikuwa ana msupport Ata mchina mwenyewe anamwona HitlerUkweli upi mbona unaforce sasa lazima wafe wengi kwanza 😂😂😂tunaenda taratibu
We mwanamke una akili sawasawa lkn?? Yaan Urusi apigane bila kuwa na pesa za akiba??Wewe Putin Sasa Hivi Yupo extremely isolated ,he is narcisstic and very dangerous Sasa Hivi ashaanza kugishia Finland na sweden .Hana Ata dollar 1 vita Hii inabitaji pesa kupigana .Putin is derranged and crazy crazy .Mchina alikuwa ana msupport Ata mchina mwenyewe anamwona Hitler
Hawana huku s control ya airWapo kati kati ya mji wa kiev alafu wanajeshi wa ukrain wamevunja madaraja mengi so warusi jana walifanya air attack wa kuwadhoofisha vita sio kukurupuka dogo
They seize the banks USA hana transaction na watu wa Russia hawawezi kupokea pesa au kutoaWe mwanamke una akili sawasawa lkn?? Yaan Urusi apigane bila kuwa na pesa za akiba??
Inge, Inge hata wewe TZ ungekuwa una mfumo mzuri wa uzalendo leo hii ungekuwa sawa na China kimaendeleo sababu miaka ya 1960 ulikuwa unalingana naye kiuchumi.Kuamini Urusi anaweza kuishinda NATO kwenye vita ni matumizi mabaya ya akili. Russia ni overrated, Ukraine angekuwa na mfumo mzuri wa air defense ni wazi Russia asingetoboa. Kwa namna Urusi alivyopanga majeshi yake tena kwa kushirikiana na Belarus niliamini ingekuwa vita ya siku 2. Ingawa Urusi anaweza kuangusha majengo na kuteka miji, vita inahamia mtaani, na hii ndio vita ngumu zaidi.
Lini US walienda Damascus, au unaandika tu kama keyboard worrior.Mmarekani wa burigi unatafuta kuikosoa urusi kwa kila namna kwani USA + NATO walichukua muda gan kufika Damascuss? Unadhani vita ni kula michembe? Look very u will go and water! Ndani ya siku mbili ameteka the largest powe plant Chernobyl huko Pripyat na pia yupo mji mkuu Kiev bado hukubali? Mbona huwazungumzii US na NATO walosema Putin akithubutu kuishambulia Ukraine atakiona cha MDUMULA NGWAGU mbona kimya hadi leo?
Hebu tulia blaza amuadabishe dogo jeuri.
Iraq ni ndo kijeshi na size sijui mara ngapi kwa Ukraine but USA+UK+FRANCE +GERMANY iliwachukua almost 3 weeks kuchukua kanchi kale.Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Mbona Jeshi la USA lilichukua muda mrefu zaidi kumng'oa Sadam, haipiti wiki yule comedian atakuwa chaliHuo ndio ukweli. Kwa mikwara yenu, mpaka muda huu mngekuwa mmeshaiteka Kyiv, ila mpaka sasa mmeshindwa na ni wazi ingekuwa ni nchi kama Ujeruman au France, mngekuwa bado mpkani na hapa ndio najiuliza uwapi uwezo wa nyinyi kupambana na Majeshi ya NATO kama mnavyojisifu.