Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Wanajeshi 3,500 hata mimi nakataa hilo kwa vita ya siku mbili tu. Ila wapo warusi waliokufa wanafika hata 100 ingawaje wao Urusi wanadai ni 30 hadi sasa.Haya subur tumalize wiki na maneno yako ya kimagharibi hayo mara wamekufa wanajeshi 3500 wa urusi [emoji16][emoji16]
Hii vita sio yakuisha leo maana jeshi na raia wa Ukraine wameshikamana na Rais wao tofauti na matarajio ya Urusi kwamba asingekutana na ukinzani mkubwa ndo maana aliwataka wanajeshi wa Ukraine wampindue Rais wao wakagoma.
Marekani pekee kaanza kupeleka zana za kivita Ukraine zenye thamani ya zaidi ya trilion 1. Umoja wa ulaya nao wamepeleka vifaa vya kivita kuisaidia Ukraine kupambana na Urusi.
Urusi kaanzisha vita bila kufanya calculation zake vema.